The University of Dodoma (UDOM) is a public university in central Tanzania located in Dodoma, the country's capital. Building is taking place on a 6,000-hectare site in the Chimwaga area about 8 kilometres (5.0 mi) east of downtown Dodoma.The University of Dodoma was formally established in March 2007 following the signing of the Charter by the President of the United Republic of Tanzania. The first academic programmes commenced in September 2007. Currently UDOM is the fastest growing university within the country, its biggest more than any other university within the country, and it's praised with producing competent and qualified candidate capable of competing in job market.
In line with Tanzania's Development Vision 2025, the University of Dodoma, when fully operational, will be able to enroll 50,000 students. This is more than triple the size of the University of Dar es Salaam when UDOM becomes fully operational. Up to now it is 80% complete and is already two times bigger the size and capacity of The university of Dar es salaam.The university of Dodoma currently has seven colleges: College of Earth Science, College of Natural and Mathematical Sciences, College of Informatics and Virtual Education, College of Education, College of Humanities and Social Sciences, College of Health and Allied Science and College of Business studies and Law, in recently there was also establishment of newly academic institute within college of humanities and social science UDOM named institute of Development studies(IDS) charged with responsibility of strengthening professionals within the field of Development studies.
Also is found in the Capital city of Tanzania
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Kampuni ya Barrick Gold Corporation zimeanza majadiliano ya kuimarisha ushirikiano wa kimkakati utakaolenga kukuza maendeleo ya sekta ya madini kupitia mafunzo kwa vitendo, tafiti za pamoja na ubadilishanaji wa utaalamu.
Majadiliano hayo yamefanyika leo Mei 5...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kukuza ubora wa elimu kwa kuandaa mashindano ya umahiri wa lugha ya Kichina, “Chinese Proficiency for Foreign College Students 2026” yaliyofanyika Jumanne tarehe 5 Mei 2026, katika ukumbi Mikutano wa Ndaki ya Sayansi za...
Kuna kozi za education zinatutesa sana. Kozi hizi nyingi zinatolewa UDOM.
Mfano bachelor of education in psychology, education in administration and management, education in policy planning, adult education and community development.
Zote hizi na nyingine zinatolewa kwenye vyuo vikuu lakini...
Hii Department ya Foreign Language na Literature ya University of Dodoma kuna tatizo kubwa sana.
Wanawafelisha wanafunzi bila msaada wowote. Mfano hai ni LG 102 (Communication Skills)—hili somo limekuwa kama “filter” ya kuangusha watu. Wengi wanakwama hapo, hakuna msaada, hakuna majibu.
Mimi...
Anonymous
Thread
future
idara
language
literature
lugha
udom
wanafunzi
Ndaki ya Uhandisi na Sayansi za Ardhi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na kampuni ya “Guideline Geo”, inayoongoza duniani katika suluhisho za jiofizikia za maeneo ya karibu na uso wa ardhi, imeandaa warsha ya siku mbili kuanzia leo Alhamisi tarehe 30 Aprili hadi 1 Mei 2026...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinatoa pongezi za dhati kwa Bw. Suleiman Risasi, Mhadhiri Msaidizi kutoka Ndaki ya Sayansi za Jamii (CHSS), Idara ya Sanaa na Taaluma za Habari (AMS), kwa kufanikisha ushindi wa tuzo ya Makala Fupi Bora (Best Short Documentary) kupitia kazi yake “The Spirit of the...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya nchini, kimeratibu kikao maalum cha kitaifa kilichowakutanisha wataalamu wa radiolojia na tiba ya mionzi kwa lengo la kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa.
Kikao hicho kilifanyika...
Timu ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) imeanza kwa mafanikio makubwa ushiriki wake katika mashindano ya michezo ya watumishi wa umma nchini Tanzania (Mei Mosi 2026), kwa kuibuka na ushindi wa kishindo katika mchezo wa kwanza.
Katika pambano la mpira wa wavu kwa wanaume lililochezwa...
Uongozi wa Chuo Kikuu cha UDOM uongeze umakini mkubwa katika usimamizi wa masomo ya postgraduate.
Wanafunzi wengi wa postgraduate wanacheleweshwa kimaksudi na kulazimishwa kulipa pesa nyingi za ziada (extension fees) licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujitahidi sana.
Mfano halisi:
Kuna...
Anonymous
Thread
chuo kikuu
postgraduate
tafiti
udom
uongozi
usimamizi
wanafunzi wengi
Viongozi mbalimbali kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria, leo tarehe 16 Aprili 2026 wamefanya majadiliano ya pamoja na wanafunzi wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Majadiliano hayo yamefanyika katika ukumbi wa CT1 uliopo Ndaki ya Biashara...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya kitaifa ya usalama wa mtandao ya Cyber Premier League (CPL), baada ya timu yake ya wanafunzi watano, S4LV4T0R3, kuonyesha umahiri mkubwa na kuibuka kidedea miongoni mwa timu 76 kutoka vyuo mbalimbali nchini Tanzania...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere amesema baadhi ya taasisi hazikuzingatia mapitio ya kisheria wala ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kusaini mikataba yenye thamani ya Tsh. Bilioni 56.
Ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kudhihirisha nafasi yake kama mdau muhimu katika sekta ya afya, baada ya kushiriki kikao cha tano cha kitaifa cha wataalamu wa afya kilicholenga kuimarisha huduma za afya kwa wanawake, watoto wachanga na vijana nchini Tanzania.
Kikao hicho...
Mafunzo ya ukusanyaji wa takwimu kwa ajili ya mradi wa “AI-Assisted Ultrasound Feasibility and Assessment of Resources and Integration (SAFARI)” yameanza rasmi Jumatatu, tarehe 30 Machi 2026, na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 1 Aprili 2026. Mafunzo hayo yanafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa...
Arusha, 28 Machi, 2026
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeibuka mshindi wa Kwanza katika mashindano ya Girls in ICT Hackathon 2026 baada ya wanafunzi wake kushiriki kubuni mfumo wa kuhakiki taarifa kwa kutumia Akili Unde (AI) unaoitwa “Hakiki Scanner.”
Timu hiyo iliwahusisha wanafunzi wawili...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Maafisa Usalama wanaosimama katika geti la kuingia Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuwasumbua wanaopita hapo hasa Boidaboda na baadhi kuwataka watoe fedha taslim, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo hicho.
Mdau alihoji uhalali wa fedha...
Wanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost.
Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye...
Kozi zinazotolewa CNMS hazina ajira moja kwa moja tofauti na kwenda kuwa Lecturer Chuoni.
Mfano ni Bsc. Physics na Bsc. Biology. Unakuta mtu umebobea kwenye masomo magumu ya Sayansi bila kuwa na Future inayoleleweka.
Serikali isiimize watu kusoma masomo ya Sayansi ikiwa wabobezi wa hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.