udikteta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    John Heche: Hakuna sheria inayozuia mtu kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya Tanzania. Ni Udikteta.

    Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi.. Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe.. Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
  2. Allen Kilewella

    Uhuru bila mipaka ni vurugu, lakini mipaka kwenye uhuru ni udikteta

    CCM hupenda kusema "uhuru bila mipaka ni vurugu" kuashiria kuwa hakuna uhuru usio na mipaka. Na CCM hutumia msemo huo kuhalalisha matumizi ya nguvu dhidi ya wanaowapinga kisiasa. Lakini CCM huficha sehemu muhimu ya msemo huo inayosema "mipaka kwenye uhuru ni ugandamizaji". Dhana hizi mbili...
  3. Akilindogosana

    Sikiliza interview ya Oscar Kambona ya Mwaka 1968, akizungumzia udikteta

    Download hii video haraka Oscar kambona alikuwa mbele ya Muda. Alilalamikia mfumo wa kidikteta ulitengenezwa na Nyerere. Huo mfumo ndio unaitesa nchi hii mpaka sasa hivi.. https://youtu.be/-rSfRJVSXqI?si=xuFuPTWRF5lPsR3K
  4. Allen Kilewella

    Udikteta uharibu uchumi demokrasia huleta ubunifu na maendeleo

    Jamii nyingi zilizoendelea Duniani huwa na aina Fulani ya demokrasia. Na jamii nyingi maskini Duniani hujawa na mfumo wa kidikteta. Mifumo ya kidikteta huzaa viongozi walafi, katili na wasiowekeza kwenye jamii zao zaidi ya kuwekeza kwenye familia zao. Marekani kwa sasa wana kiongozi dikteta...
  5. M

    Uhuru wa Walimu vyuo vikuu unaingiliwa. Wakifundisha wanarekodiwa. Huu ni udikteta uchwara.

    Yaani tumefikia hapa?
  6. Logikos

    Udikteta pia ni Kipaji

    Siongelei Benevolent Dictator (yule anayefanya mazuri) naongelea hata yule anayeuma na kupuliza lakini kuweza kupuliza unahitaji kuwa na ruthless ambition, charisma, na manipulative skills... Tatizo mtu ambaye hana manipulative skills na charisma (watu wamkubali) anaweza akajikuta anachukua hio...
  7. Yoda

    Kwanini udikteta umeshindwa kuleta maendeleo Africa?

    Kwa nini Africa udikteta umeshindwa vibaya sana kuleta maendeleo endelevu na utulivu?
  8. Luca Paguro

    Africa na Udikteta ni very strong bond na haitokuja kuvunjika kipindi cha uhai wetu

    Sina mengi ya kusema ila Africa kwa madikteta, nainua mikono 😂😂🙌 “Africa never ceases to amaze the world with how it keeps producing new dictators every now and then.” Congratulations Africa, you just got yourself a female dictator 🏃🏽🏃🏽
  9. Yoda

    Marekani yazidi kutitia kwenye tope la uchawa na udikteta. Comedians wakosoaji wa Trump wazidi kupoteza kazi

    Huko Marekani chini ya utawala wa Trump wanaendelea kusogea mdogo mdogo kufanana kama tawala za China, Russia, Korea Kaskazini na nchi nyingi za Africa ambapo bwana au bibi mkubwa namba moja hapaswi kukosolewa na ukimkosoa ujiandae kunywea kikombe cha ghadhabu na uchungu. Comedians wawili...
  10. C

    TANZANIA hatuna udikteta wa mtu bali tuna UDIKTETA wa chama, udikteta ambao ni mbaya sana kupambana nao

    Ni kweli hatuna udikteta wa mtu ila tuna u dikteta wa chama, udikteta ambao chama na serikali vimeshindwa kabisa kujitenga yani kilipo chama ipo serikali na ilipo serikali kipo cha chama. Udikteta huu ni mbaya sana tena ni mbaya sana hasa kwa aina ya mwenendo wa siasa za tanzania siasa ambazo...
  11. AbuuMaryam

    CHADEMA sio waumini wa demokrasia kweli, wakipata dola watatunyanyasa kwa udikteta

    Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao. Wanalazimisha yule watakayemfanya adui, LAZIMA kila mtu amfanye adui. Ukiamua binafsi kwa maslahi na faida yako mwenyewe Ukamfanya rafiki...
  12. H

    Kwa Mara ya kwanza, ambao hawakuwahi kuelewa maana ya udikteta, wanapata maana halisi

    Wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete, kuna wakati baadhi ya watu walimwita ni dikteta, yeye akajibu kwa kuwauliza kama hao wanaosema kuwa yeye ni dikteta, wanaelewa maana ya udikteta. Akawauliza mmewahi kushuhudia udikteta nini? Wakati wa utawala wa Hayati Magufuli, Tundu Lisu alimwita Magufuli...
  13. Yoda

    Marekani yazidi kusogelea katika giza la udikteta, Trump atishia kuvifuta vyombo vya habari vinavyomkosoa.

    Yale mambo ya ulimwengu wa tatu ya banana republics ya mtawala hakoselewi sasa yameanza kushika kasi Marekani katika awamu ya pili ya Trump, tayari ameshamfukuzisha kazi comedian mmoja mkubwa maarufu Stephen Colbert wa CBS ambaye ni mmojawapo wa wakosoaji wake wakubwa, ameshavuna mabilioni ya...
  14. Investigation Unit

    David Kafulila: Ni ngumu kujenga Demokrasia kwenye nchi masikini

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema, Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
  15. G

    Leo hakuna gazeti hata moja lililoandika habari kubwa ya Polepole!

    Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka huukupitia chama chao. Kichekesho ni kwamba serikali imezuia media zote zesitangaze na...
  16. Prof_Adventure_guide

    Udikteta wa Akili Ndogo: Taifa Linalosherehekea Upumbavu na Kusaliti Mwelekeo wa Ukombozi wa Kifkra

    Ni jambo la kusikitisha mno na linalotia hasira kwamba katika karne ya 21, bado tunashuhudia watu wanaojiona wasomi wakishabikia mfumo wa utawala wa kijinga, wa kisultani, wa kibeberu uliovaa joho la kidemokrasia lakini ndani yake ukificha kiini cha udhalimu, uonevu, upumbavu na utekaji wa haki...
  17. Kirchhoff

    Utekaji Tanzania: Je Ni Ugaidi au Udikteta?

    Kwa kuwa polisi hawahusiki, maoni yangu Utekaji huu ni Ugaidi. Wenzangu mnasemaje? Kitengo cha kupambana na Ugaidi kimekwama?
  18. Mi mi

    Kama imeshindikana demokrasia basi upatikane mfumo wenye faida kama Asia mashariki

    Kama mfumo wa kidemokrasia umeshindikana kabisa kuwepo nchini jambo ambalo mpaka sasa nakiri kushindikana kwake basi upatikane udikteta wenye faida. Si jambo jema kukosekana vyote mnaweza kutunyima haki muhimu kama uhuru wa kisiasa,kimaoni,uchaguzi huru n.k lakini uhuru wa kiuchumi na kukuza...
  19. Lord Denning

    Mfano wa Kuigwa: Papa Leo XIV aliongoza kuupinga Utawala wa Kidikteka wa Fujimori nchini Peru miaka ya 1990. Hongereni TEC kwa kupinga Udikteta wa CCM

    Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje. Katika historia yake, inasemwa kuwa miaka ya 1990 akiwa Padre nchini Peru, utawala wa kidikteta chini ya Kiongozi Fujimori...
  20. S

    Bobi Wine ashutumu nchi za magharibi kwa kutokemea matendo ya serikali ya Uganda

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, ameshutumu nchi za Magharibi kwa kutokemea ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya Yoweri Museveni. Bobi Wine amedai baadhi ya viongozi wa mataifa ya Magharibi "wanahusika" na mateso wanayokutana nayo waganda kwa kuwa wanajali...
Back
Top Bottom