China ni nchi kubwa inayoendelea, ambayo imekuwa mstari wa mbele katika kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea duniani zikiwemo za Afrika, kujipatia maendeleo kwa njia na mazingira yanayoendana na nchi husika. Kwa kupitia njia mbalimbali, China imekuwa ikitoa misaada kwa nchi hizo katika sekta...