udhibiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba serikali ituruhusu tulime bangi Ila tuuze nje na kuwe na udhibiti

    Naiomba serikali ituruhusu tulime bangi Ila tuuze nje Mimi ni mkulima wa mahindi na mpunga Nina jumla ya hekta 290 Ila za mahindi ni 150. Kilimo cha mahindi kimenitia hasara Sana na kwa mwaka huu mbolea imepanda mno mfuko wa kilo 50 unauzwa laki na ishirini nahisi naenda kufilisika. Ila...
  2. Tindo

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene tunataka vitambulisho vya taifa, udhibiti wa maoni ya watu mtandaoni utakuja mwisho

    Ndugu yetu Simbachawene, inaonekana majukumu yako yamekushinda, sasa hivi umerukia utoaji wa maoni ya wananchi mitandaoni. Ungetuonyesha kwanza ukamilikaji wa vitambulisho vya taifa kwa wananchi wote wenye kustahili, kisha ndio utake kuwafurahisha hao waliokuwa cheo kwa kudhibiti maoni ya...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Serikali idhibiti mfumuko wa bei

    Hali ya bei za bidhaa inadhidi kuwa tete. Bei ya petrol, dizel imeongezeka kwa kiasi kikubwa. Zaidi ya sh 40 kwa lita. Bei ya mafuta ya kula lita 5 kwa 50,000. Yaa 10,000 kwa lita. Kama inawezekana hata jeshi la polisi litumike kama ambavyo imewezekana sehemu tofauti. Nakumbuka msako wa...
  4. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania UCSAF yatakiwa kudhibiti mfumo wa taratibu za manunuzi na usambazaji wa vifaa vya TEHAMA shuleni

    UCSAF YATAKIWA KUDHIBITI MFUMO WA TARATIBU ZA MANUNUZI NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA TEHAMA MASHULENI Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew ameitaka taasisi ya mawasiliano ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuimarisha na kusimamia ipasavyo taratibu za...
  5. msigazi

    JamiiForums Tanzania Jinsi Serikali inavyotakiwa kudhibiti mfumuko wa bei

    JF nawasalimia kupitia jina la jamhuri, Nachukua nafasi hii kuleta nasaha zangu kwenu ikiwezekana serikali izipate. Kuna jambo ambalo nimewaza ni kwanini vitu huwa vinapanda bei bila mpangilio nikagundua kuwa kuna shida kwenye wasimamizi wa bishara. Kwenye wizara ya viwanda inatakiwa ipitie...
  6. Ally MO98

    JamiiForums Tanzania SoC01 Udhibiti wa posa chafu kwa Wanawake

    Posa ni kitu chenye thamani ambacho hutolewa katika familia ya mwanamke na kundi la watu wenye lengo la kuthibitisha uwepo wa ndoa kutoka kwa mwanaume. Katika karne hii ya 21, kundi la wazandiki wa kindoa hutumia mwanya huo kutokana na sababu za wanawake wenye msimamo kutokukubali kuingiliwa...
  7. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Hizi Marathon zinaendeshwa chini ya mamlaka gani na kwa udhibiti wa nani?

    Wakuu habarini za machweo. Kwa muda mrefu nimeona utitiri wa hizi mbio zinazoitwa za marathon ambazo zimeibuka kwa kasi sana kipindi. Sina upingamizi na hizi mbio zao ila ninachotaka kukisema ni kwamba regulation ya hizi marathon is very important. Zinaendeshwa chini ya mamlaka gani na kwa...
  8. SMU

    JamiiForums Tanzania Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Hivi karibuni na hata siku za nyuma tumeshuhudia malumbano kati ya wamiliki wa mabasi ya abiria kwa upande mmoja na serikali (Polisi, Sumatra) kwa upande mwingine juu ya ulazima wa kufunga vidhibiti mwendo (Speed Governor) kwenye mabasi. Wamiliki wa mabasi wanasema speed governor hazijasaidia...
Back
Top Bottom