Tatizo la G-55 ni uchumi wao sio kutukanwa wala kunyanyashwa. Mbona hayo matusi hatujayaona ??. No reform no election
Wake wa viongozi wawili ni Covid 19. Tujiulize tu je nani ali sign kwa niaba ya Mnyika kuweka wake zao bungeni?
Walikuwa wanaibia na kufanya ubabe wa kuwaweka wawapendao kwenye...