udaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ethiopia Wanasiasa Marafuku PhD Za Heshima

    Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate). Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu...
  2. Hizi ndizo kauli walizoambiwa wanafunzi wa udaktari na machief kwenye mitihani ya vitendo(practical)

    Habari zenu wakuu. Hizi ndizo kauli walizo ambiwa wanafunzi wa udaktari na machief kipindi cha mitihani ya vitendo(practical). Kama ifuatavyo 1: Hiyo diagnosis inabidi tuiandikie kitabu chake yenyewe. 2: Umeona hilo koti lako lilivyo jeupe ndio kichwa chako kilivyo cheupe. 3: Hiyo dozi...
  3. Udaktari ni wito kama umesoma ili utajirike umepotea njia

    Eti wakulungwa udaktari ni wito kama uwalimu !?
  4. Udaktari wa Heshima lini atapewa Mrisho Mpoto na Mboso?

    Wadau wa Kiswahili wanaweza kunielewa kwa nini nauliza hivi. Mrisho mpoto na Mboso katika kazi ya sanaa wanakuza na kuendeleza Kiswahili kwa kasi yenye ubunifu wa hali ya juu. Watu kama hawa ili waibukeni wengine lazima kuwa na nafasi ya kutambua mchango wao hasa wa kupewa degree yao ya...
  5. Kijana wangu kamaliza shahada ya udaktari 2023 hadi leo hajaajiriwa, jumatatu nampeleka Veta akajifunze udereva wa malori

    Nimemsomesha kwa shida, shule za gharama, najuta, najuta najuta, Bora angeishia darasa la saba B tu aingie mtaani ajifunze hata ufundi makenika chini ya mwembe. Jumatatu nimeamia nimpeleke Veta Chang'ombe akajifunze kuendesha malori. Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi...
  6. Amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni, ameanza kuchanganyikiwa, kumbe anavuta bangi

    Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini. Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko Kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana...
  7. Mtu kama Dr. Janabi akipewa udaktari wa Timu, wachezaji watapata tabu sana

    Asubuhi mboga za majani na maji bilauri 3. Mchana parachichi 1 na kiganja cha karanga mbichi, maji bilauri 3. Saa 11 jioni kachumbari na maji bilauri 3. Imeisha hiyo.
  8. Naye Rais Mwinyi wa Zanzibar Atunukiwa PhD ya Heshima Katika Uongozi Unaoacha Alama na Chuo Kikuu Cha Zanzibar (SUZA)

    Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar. Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini...
  9. R

    Chuo Kikuu Mzumbe mmetumia vigezo gani kumtunukuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi?

    1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika 2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi...
  10. Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi

    https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili...
  11. J

    Muda wa kwenda chuo mwezi huu vitu gani vya msingi kwa mwaka wa kwanza kuwa navyo hasa kwa Kozi za Udaktari

    Na kuhusu vyuo vya udaktari Bora
  12. P

    Kwa matokeo ya Physics E, Chemistry D na Biology C anaweza kusoma lozi ya Afya kwa vyuo vya serikali au binafsi?

    Habari, Dogo kamaliza form six PCB ufaulu wake ni Phy-E, Chem-D na Bios-C, je, anaweza kusoma afya kwa vyuo vya serikali au binafsi? Binafsi anapenda Udaktari au Ufamasia, ushauri afanyaje? Nawasilisha.
  13. G

    Kisa kilichonitokea kutibiwa na mwanafunzi wa udaktari, Siwezi kuja kukubali tena kuwa mwili wa kujifunzia matibabu kwa wanafunzi wa field

    Kuna kipindi nilikuwa ninahisi maumivu kwenye jino la mwisho, nikaenda hospitalini kupiga xray ikaonekana nina jino chini ya fizi, inabidi litolewe. Nikaweka appointment ili niende kesho yake kulitoa. Asubuhi na mapema nikawahi hospitalini, Daktari nilekutana nae ni kijana mdogo mwenye rika la...
  14. PreGE2025 Namshukuru Rais Samia napata mshahara ninaostahili kama Bingwa katika fani yangu

    Wanaosema mi5 tena wanamaanisha. Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
  15. Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

    Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi?
  16. Awamu ya 6 Tuna Bunge la Ajabu linalodharau elimu na hadhi za Msoto na zenye thamani kwa Taifa hasa hadhi ya Maprofesa wa chuo cha SUA

    Shalom, Ifahamike kuwa ndani ya Bunge la Tanzania kuna wabunge wa Hovyo Sana ambao elimu za za darasa saba, na form 4 za hovyo tu. Hawa wabunge kinara wao ni yule Mbunge mpumbavu ambae amenunua hadhi ya kitaaluma ambayo hana akijiita Dr.Musukuma huyu kiumbe ni mpumbavu sana na katika mazingira...
  17. Leseni za udaktari kutumia kinyume na idhini ya mwenyewe

    Huu mchongo unawahusu wataalamu wa afya tabibu, daktar, nesi! Iko hivi kuna vigezo vimewekwa na Wizara ya afya kusajili kituo cha afya iwe zahanati, kituo cha afya nk. Sasa kuna idadi ya watalaam ukiwanao unaupgrade kituo ama kupata usajili. Mwenye kituo hawezi kuwa na idadi ya hao watalaam...
  18. Rais Samia atunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024 kutambua Jitihada zake za Kuendeleza Mageuzi ya Kijamii, Kisiasa na Kiuchumi-4R. https://youtu.be/k_A0yON0ZXg?feature=shared Rais wa Jamhuri...
  19. Rais Samia Atunukiwa Udaktari wa Uchumi (Doctorate of Economics Degree) Uturuki

    Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷 Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Uchumi kwa kutambua uongozi wake wa kipekee katika kuendeleza mageuzi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…