uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi matukio 2025 yazuia waandishi wa habari kurusha na kurekodi shuhuda za wahanga

    Tume ya Rais ya Uchunguzi wa matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza kufanya vikao vyake kwa faragha, na kuzuia waandishi wa habari kuingia kwenye ukumbi ambapo waathirika wanatoa ushahidi wao. Rais Samia Suluhu Hassan aliunda tume hiyo kufuatia maandamano...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

    Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza. Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation. Siongezi maneno but within...
  3. JamiiForums Tanzania Je, uko tayari kukutana na Tume ya Uchunguzi wa yaliyotokea Oktoba 29 2025?

    A. Hapana..! Kwanini B. Ndio.. Kwanini
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufuatia Polisi kuwapiga Raia huko Nandi Hill, Mamalaka Huru ya Kusimamia Polisi yaanza Uchunguzi

    Mamlaka Huru ya Usimamizi wa Polisi (IPOA) imeanza uchunguzi baada ya video ya CCTV ya dakika nane, inayoonyesha polisi wakiwashambulia vijana katika ukumbi wa pool table wa Nandi Hills, kusambaa mitandaoni na kuzua hasira ya umma. Video hiyo, inayoonekana kurekodiwa saa 5:50 usiku wa tarehe 10...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Polisi kuanza uchunguzi vifo vinavyodaiwa kuhusisha Askari- Tarime, Arusha na Rufiji

    AARIFA KWA UMMA UCHUNGUZI WA MATUKIO MATATU YA VIFO Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa matukio matatu ya vifo vilivyotokea kwa nyakati tofauti Tarime/Rorya, Jijini Arusha na Rufiji. Tukio la kwanza ni la kifo cha Dickson Tadeus Joseph, mkazi wa Rebu Senta Wilayani Tarime kilichotokea...
  6. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya "Kipindi cha Uchaguzi" acheni kutusumbua na "SMS" za kila siku, ushahidi umejaa tele huko mitandaoni

    Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena? Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI, akiwapa jibu na mkajiridhisha siyo AI ndipo mje kuomba ushahidi kwa wananchi! Acheni kutujazia simu buree!
  7. JamiiForums Tanzania Je, mnataka kukwamisha tume ya uchunguzi ila propaganda zenu za chuki zishinde?

    Rais kwa utu ameunda tume ya uchuguzi juu ya vurugu za oktoba 29. Watu walipoteza maisha ila mpaka sasa ilianzia idadi ya 1000 ikaja 2000 - kwa sasa 10,000. Je, lengo la kupandisha data hizi ni nini? au kuendelea kukuza hasira na chuki ili mshinde kisiasa.? *Mlisema watu walipigwa riasi wakiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania na Wana CCM wote tujaze Ile form ya Tume ya uchunguzi inaeleweka vizuri sana

    Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29 Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze. Unaweza ukajaza hata ukiwa kwenye boda Wana CCM na watu wa vyama vyote tujaze Ile form inaeleweka...
  10. JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kutuma ushahidi kwa inayoitwa "Tume Huru ya Uchunguzi ya Jaji Othuman Chande" achukuliwa na 'wasiojulikana'

    NB: Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa.... Shetani yuko kazini jamani kulinda himaya na utawala wake ktk Tanganyika akiwatumia mawakala wanadamu wenzetu...
  11. JamiiForums Tanzania Tunasubiri uchunguzi ilioundwa na raisi(murder) itoe majibu

    Murder anaunda tume ili imechunguzee yeye kwamba watz hatuna akilia au ni vichaa ?? Alietoa amri ya kupigwa risasi ni raisi inakuaje muuaji anaunda tume yakumchunguza maujia yake ilihali anajua kila kitu? Ni vivhaa pekee wataamini hayo majibu ya tume . Mpaka sasa watu hawajapewa maiti za...
  12. JamiiForums Tanzania Enyi Tume ya uchunguzi, nendeni kwa Chacha Dereva aitwae na watawala AFISA msafirishaji, aliyevunjwa miguu na polisi ana mengi

    Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko? Kwanza niwambie siji. Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu RAIS. TATU nawasaidia nendeni kwa chacha awaeleeze alivyokamatwa ndo mtajua yakuwa tarehe 29 nchi YETU...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Mtendaji wa TEMESA na Menejimenti yake wafutwe kazi, uchunguzi ufanyike vivuko kuharibika mara kwa mara

    WAZIRI MKUU Dkt. Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi na kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) pamoja na Menejimenti ya wakala huo kutokana na ubadhilifu wa zaidi ya shilingi bilioni 2.5. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Message za tume ya uchunguzi wa mauwaji ya 29/10/2025 - 3/11/2025

    Nimepokea messages kwa namba zote ninazotumia Wanataka nitoe/tutoe maelezo au ushauri, juu ya kilichotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, kuisaidia tume. Sina tatizo na massages hizo. Shida yangu, ni,, je wako tayari kuupokea ukweli na watauandika ulivyo, watauwakilisha ulivyo na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Polisi: Uchunguzi kifo cha MC Pilipili bado unaendelea

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeeleza kuwa linaendelea kufanya uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa msanii maarufu wa vichekesho na mshereheshaji, Emanuel Mathias, maarufu MC Pilipili kilichotokea mkoani Dodoma. Akizungumza mapema leo Desemba 22,2025 jijini Dodoma, Kamanda wa Polisi mkoani humo...
  16. JamiiForums Tanzania Tume ya Jaji Chande wanahitaji picha na video ili "wajue" kilichotokea Oktoba 29?

    Mambo vipi wana JF.,. Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: maoni@tume.uchunguzi.go.tz au WhatsApp/SMS. Sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Uchunguzi unaweza kuchukua miezi na mwaka na majibu yakawa mepesi au kusitokee ila ushindi wa Rais ukawa siku mbili

    Leo tukisema wanakuja haraka kujibu na kuja ushaidi wa haraka. Mwenzetu naona kaleta swali ambalo asilimia 98 hata POLL ya mfumo kwenye JF na sehemu nyengine ijatumika ila wao walikuwa ni Ai.
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania. Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
  19. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya uchunguzi is officially jobless

    Tume yao haina kazi tena. Majibu yote kuanzia nguvu iliyotumika mpaka aliyetoa order wameyapata leo Waendelee kula pension tu
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi isiache kuhoji waliosimamia Uchaguzi. Waliosimamia wapo tayari kutoa ushirikiano

    Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…