uchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Ikiwa wenye PhD feki wana manufaa na uchungu kwa nchi yetu, basi tunawataka waongoze nchi yetu

    Wahasimu wa Hayati JPM wanaendelea kutuaminisha kuwa, JPM hakuwa Mtanzania pia PhD yake ilikuwa feki. Licha ya hayo yote, wanaungana na wengi kuduwaa jinsi PhD feki ilivyo tofauti na PhD original. PhD original tulizonazo hapa Tanzania, hazitusaidii na hazijawahi kutatua matatizo yetu kama...
  2. JamiiForums Tanzania Records za Mgunda na Nabi kimataifa zinatia uchungu

    Nabi Yanga 1-1 Al Hilal Al Hilal 1-0 Yanga Yanga 0-0 Club Africain Yanga 0-2 Viper Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana. Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana ya kimataifa. Juma Mgunda Nyasa 0-2 Simba Simba 2-0 Nyasa Agosto 1-3 Simba Simba 1- 0 Agosto Juma...
  3. JamiiForums Tanzania Eng. Hersi hana uchungu na Yanga, atolewe kwa nguvu

    Hizi jeuri zinatoka wapi. Huku ni kulewa madaraka na kutukana watu kuita wala mihogo. Kwani mihogo ina tatizo gani mpaka uitumie kutukania? 😂😂😂😂
  4. JamiiForums Tanzania Kweli nawaambia, ili nchi hii iendelee inahitaji Rais Shupavu, Smart, Mwenye Uchungu na Nchi na Mapenzi kwa watu wake

    Tanzania haiji endelea hata siku moja kwa kuwa na Rais Legelege, mpiga porojo,chuma ulete,mpenda starehe,mdekezaji,mwivi,fisadi,asiyejiamini, anayeendeshwa na watu kadhaa. Nchi italiwa, itafisaidiwa kodi na mikopo. Wezi watakumbatiwa na kutamba kwenye korido za Ikulu. Maskini wana maskinika...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla na chozi la mamba, kama ana uchungu wa kweli vile

    Ukiwakuta hawa wamevaa ma scarfs ya bendera ya taifa na kushikilia ilani ya CCM kwenye makwapa yao unaweza kusema hii nchi imebarikiwa sana. Wengine walikwapua mabilioni ya wizara ya utalii na CAG akathibitisha lakini kimyaaaaa bado wanajifanya wazalendo, wakatumia hadi ndege za Tanapa kula...
  6. JamiiForums Tanzania Kongole TFF: Uchungu wa mwana aujuae mzazi

    TFF nawapongeza kwa kuamua kutumia wazawa kukinoa kikosi chetu Cha timu ya Taifa. Mtu chake. Mtoto wako ni wako hata akiwa na sura mbaya. Ninaimani na walioteuliwa. Tuwaunge mkono kwa hali yoyote ile, watatuvusha. "MECKY TAFADHALI MRUDISHE YONDANI NA NYONI KIKOSINI utakujanishukuru."
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania asiyelipa Kodi anakuwa hana uchungu na nchi yake. Asante sana system kwa kuweka hili sawa

    Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi. Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukwepaji kodi kupitia EFD ni mkubwa kweli mpaka nimeona uchungu Kariakoo leo

    Am very sorry, I was misled the information written were not true, tuzipuuze kwani hazina ukweli wowote and am sorry endapo kama thread hii imepelekea kuleta usumbufu wowote, infact all that written here are not truly. N. B: TUJITAYARISHE KWA SENSA AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 23 MWEZI HUU WA...
  9. JamiiForums Tanzania Hili la Yanga kupokea Sh.1,300 kati ya Sh.35,000 ya jezi, linatia uchungu sana

    Huu ni unyonyaji
  10. JamiiForums Tanzania Bwana Bonge alichanganywa na uchungu wa kuuguza mke na mapenzi ya mama wa kazi

    Bwana Bonge ni mmoja wa matajari wa nchi ya Kusadikika, alimuoa classmate wake ambae alijaliwa kupata nae watoto wanne. Wakike mmoja na wanaume watatu. Watoto wote walishakua na miji yao na wengine waliishi nchi za mbali. Mrs Bonge aligundulika na saratani ya ziwa akiwa na miaka 40, wakati...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Halima Mdee na Wenzake ni fundisho tosha kwa ambao hawana uchungu na taifa lao. Ikipendeza wapiga kazi mpaka 2025

    Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika! Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima, nawaomba CCM 2025 mtuletee Mgombea bora mwenye uchungu na nchi hii

    Baada ya kuona kabisa kwamba tuko kwenye uelekeo ambao hauna dira, napemda kutoa Rai kwa Chama cha Mapinduzi 2025 mtuletee mgombea Urais mwenye dira maono na mwenye uchungu na Rasilimali za nchi hii. Hatuhitaji mtuletee mtu ambaye kutwa kucha anawaza uchaguzi na jinsi ya kuendelea kuwa Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Nini husababisha baadhi ya viongozi kuongea kwa hisia kali na uchungu wanapokuwa majukwaani wakihutubia?

    Kuna baadhi ya viongozi wanapoongea huwa wanapenda kudhirisha kwamba wanamaanisha wanachokisema na sio mzaha mzaha, mfano muone huyu jamaa hapo kwenye video chini; Mfano awe anasema “ole wako nikukute unakula pesa za umma..., nakutapisha zote hadi utapike na damu kabisa!!!” Watumishi wa Umma...
  14. JamiiForums Tanzania Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

    umefika wakati maji yameanza kujitenga na mafuta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  15. JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 umefika ukingoni, mbaya zaidi ni watanzania wenye uchungu na taifa lao,ambao wanapinga ubadhilifu walibatizwa jina la Sukuma gang.

    Huu mwaka haukuwa mzuri sana kwa taifa letu maana tumepoteza ndugu na viongozi wetu. Wengine baada ya kuondoka na kuaga dunia yameibuka mambo mengi. Sasa kila mtanzania anayepinga ufisadi na kuenzi mazuri yaliokuwa yanafanywa na hayati JPM lazima atapachikwa jina la Sukuma gang. Kila mtanzania...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupewa uchungu ili mtu ajifungue mtoto

    Wakuu habari Ndugu yangu anasumbuliwa sana na kuumwa tumbo tangu alipopata ujauzito. Kwa Sasa ujauzito ni wa miezi tisa nadhani na siku kadhaa. Je anaweza kwenda hospitalini akapewa dawa au sindano apate uchungu wa kujifungua, ili ajifungue mtoto ili apumzike na maumivu Naomba kuwasilisha
  17. JamiiForums Tanzania Hivi tunapaswa kusherehekea siku zetu za kuzaliwa au kulia kwa uchungu?

    Kumekuwa na utamaduni wa kusherehekea siku zetu za kuzaliwa kwa kila namna na kila utaratibu je hii ni sahihi au tulipaswa tusikitike na kulia kwa uchungu maana siku zako za kuishi dunia zinaisha au hii ikoje wajuzi wa mambo mje hapa
  18. JamiiForums Tanzania Nimesikia uchungu sana kusikia haya maneno ya busara toka kwa Hayati Magufuli, inauma sana!

  19. JamiiForums Tanzania CCM wanawaza kubaki madarakani, hawawazi Uchaguzi Huru na hawataki Katiba Mpya

    Wasalaam, Leo ilikuwa maadhimisho ya cku ya demokrasia duniani ambapo kwa hapa tanganyika mgeni rasmi alikua mh Rais wa JMT. Sasa nimesikitika na vijembe alivyokua akirusha wakati akihutubia ikiwemo kauli za kibaguzi dhidi ya wanaume. Mh Samia hajaongelea hali ya demokrasia hapa tanganyika...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Iramba tusidangayike tena, Mbunge wetu Dkt. Mwigulu hana uchungu na sisi kabisa

    Ninatoa mfano wa Dr Mwigulu, mbunge wetu, akiwawakilisha Mawaziri na Viongozi wote wa Serikali, hasa wale wateule wa Rais. Kila siku pakikucha Dr. Mwigulu anakuta nje gari la Ofisi limepaki anachukuliwa na dreva - gari limejazwa mafuta na Ofisi, so kwa kuwa hatumii gari lake basi tozo ya mafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…