uchumi wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya Ujenzi na Ukuzi wa Uchumi wa Tanzania katika maendeleo endelevu

    Tanzania na nchi za afrika kwa ujumla wake tumekuwa na uduni katika kukuza SEKTA ya UJENZI kwa MAENDELEO ENDELEVU pamoja na usalama wa nnchi zetu 1. SEKTA YA UJENZI ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote Tanzania ikiwemo. Kati ya sekta inayotumia pesa nyingi katika mataifa...
  2. Kinumbo

    JamiiForums Tanzania Magari ya gharama kubwa yamekuwa mengi mtaani, nini kipo nyuma ya pazia?

    Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe ni mkazi wa Dar es Salaam utakubaliana nami, huko barabarani kwa sasa magari ya gharama ni mengi...
  3. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mtandao wa Masoko Sahili: Tufufue Uchumi wa Tanzania kwa Soko la Bidhaa za Ndani

    Sio ujinga kweli kudhania kwamba, tuyakuza uchumi kwa kuzalisha tu, bila kujali tunauzaje kilichozalishwa? Kufikiri nusunusu ni ishara ya kutokomaa kiakili. Nini hupelekea maonesho ya nanenane/sabababa na mengineyo kama ya viwanda na kilimo kufana sana? Ni mkusanyiko mkubwa wa wanunuzi, wauzaji...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Uchumi wa Tanzania ilivyo sasa, ukipewa nafasi kuwa Waziri wa Fedha utafanya nini kipya?

    Mimi ningekuwa Waziri wa Fedha wa Tanzania, ningechukua hatua zifuatazo ili kukuza uchumi wa wananchi na taifa: 1. Kuboresha Mazingira ya Biashara: - Kupunguza urasimu na kurahisisha taratibu za kuanzisha na kuendesha biashara. - Kuhamasisha uwekezaji wa ndani na nje kwa kutoa motisha...
  5. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Uhuru wa Habari katika Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Mwanzo wa kunukuu, UHURU WA VYOMBO VYA HABARI UNATOKANA NA UTASHI WA KISIASA - WAZIRI NAPE 03rd May, 2024 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amesema uhuru wa vyombo vya habari unaoshuhudiwa sasa unatokana na utashi wa Kisiasa wa Rais wa Jamhuri...
  6. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Rais Samia katika Kuendeleza Utalii kupitia Filamu kwa Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akiongoza Tanzania katika wakati wa mabadiliko makubwa, akilenga kuleta maendeleo na ustawi kwa nchi yake. Mojawapo ya mikakati ambayo Rais Samia ameifanya ni kutumia tasnia ya filamu kuendeleza utalii na kusaidia ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Katika miaka 25...
  7. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mustakabali wa Teknolojia na suluhisho la ukosefu wa ajira na kukuza uchumi wa Tanzania

    Teknolojia nini? Teknolojia ni hatua ya mabadiliko kutoka katika matumizi magumu ya kazi kuja katika njia rahisi ya utendaji kazi kwa urahisi na haraka. Au Teknolojia ni sayansi ya hali ya juu ya ubunifu wa vitu na kubadilisha vitu vilivyokuwa na mifumo wa njia nyingi za uchakataji wa jambo...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati uchumi wa Tanzania ukitegemea zaidi Kilimo ulipita wa Kenya na Ethiopia

    Ni muda wa kurudia misingi ya zamani. Ardhi kubwa yenye rutuba ipo.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%. Baada ya matokeo hayo...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
  11. Quraish Hussein

    JamiiForums Tanzania Maoni kuhusu uwekezaji katika Kampuni ya uzoaji takataka

    Ndugu Zangu Habarini Nina wazo la kufungua kampuni ya ukusanyaji na uzoaji taka ngumu katika sekta mabali mbali kama taasisi, mashule, majumbani nk. Lakini naomba kujua ni zipi changamoto za mradi huu pia zi zipi fursa za kukuza mradi huu. Pia nataka kujua namna ya uendeshaji wa mradi huu...
  12. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania IMF wametoa orodha ya nchi zenye madeni makubwa zaidi katika bara la Afrika, Tanzania haipo!

    Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo...
  13. Pile F

    JamiiForums Tanzania Ubepari wa Kigeni Katika Uchumi wa Tanzania Leo

    Habari ya siku, wasomi wa kweli, nguvukazi yetu na watu mlio Imara. Poleni na shughuli na purkushani za hapa na pale. Mola awajaalie mpate afadhali zaidi. Moja kwa moja kwenye Mada: Pamoja na Ubepari wa kibinafsi na mabwanyenye wa kienyeji hapa Tanzania, kuna utaratibu wa uzalishaji mali wa...
  14. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’. Kwenye uchumi hakuhitaji porojo na mihemko. Waweza kumchukia mtu lakini kamwe huwezi kujidanganya kwamba eti hakuna lolote alilofanya, kwasababu namba huwa hazidanganyi. Lengo...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Uchumi wa Tanzania ilivyo hivi sasa, jumuiya ya kimataifa ikituminya, wananchi jiandaeni kula nyasi

    Ni dhahiri kwamba yanayoendelea Nchini Tanzania kwa sasa yanaiinua Jumuiya ya Kimataifa kuitupia macho nchi hii, Ubambikizaji wa kesi za uongo za Uhaini kwa wazalendo wapigania Mali za Nchi umefika kwa wafadhili wa nchi ambao wamekwisha jiridhisha kwamba kesi hizi ni kwa ajili ya kuwalinda...
Back
Top Bottom