uchi

Uchi is a contemporary Japanese sushi restaurant located in Austin, Texas which opened in 2003. The Japanese word "Uchi" translates to "house" in English, and the 2,700-square-foot (250 m2) space is a refurbished home. Owner and chef Tyson Cole's menu consists of hot and cool tastings, sushi and sashimi, makimono, yakimono and tempura, and a changing omakase based on seasonal items. In 2011, Cole won the “Best Chef, Southwest” award from the James Beard Foundation.

View More On Wikipedia.org
  1. BIG BROTHER ALEX

    Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

    DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa Kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc...
  2. B

    Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi

    Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi. Inakuwaje akusitiri ilihali yeye hajajisitiri?
  3. X

    Wanyonya uchi

    Uchi uleule ambao wenzako tumeumwagia shahawa unakuja na domo lako unaufyonza hivi una akili kweli mwanetu? Kama sio ugasho ni nini kulamba bao la kidume mwenzako? Daktari anavaa gloves kabla ya kuushika wewe unaunyonya 🚮 🚮 🚮
  4. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Leo Tanzania uchi uko uchi, Sijui Serikali watajibu nini mbele ya ripoti ya CNN

    Mzee wa ufafanuzi leo hapakaliki huko ndani, em tusubiri ufafanuzi wake atafafanua nini
  5. ngara23

    Jeshi la police kwanini mnawapeleka vijana walioandamana mahakamani wakiwa uchi na wamedhoofika kiafya?

    Hivi polisi mbona imekuwa taasisi iliyokosa hekima? Yaani unamtoa mtuhumiwa mahabusu hadi mahakamani bila kuwa na mavazi tena mbele ya hadhara na camera za waandishi Vijana walikuwa hawana nguo wala viatu Sasa kama mtu anafikia mahakamani akiwa uchi, huyu mtuhumiwa anaishije huko mahabusu...
  6. Echolima1

    Alikuwa mwanajeshi mkuu zaidi (mkuu wa jeshi la Houthis) kusema kweli Houth wamechea kichapo sana hawasemi tu lakini cha moto wanakipata

    Kuna msemo wa wahenga mficha magonjwa kifo humuumbua. Msemo huo umedhibitiks leo. Mkuu wa Majeshi wa Houthis, Meja Jenerali Mohammed Abdul Karim Al-Ghamari, aliuawa katika shambulio la anga la Israeli lililowaua mawaziri 12 lakini wao walificha kuuwawa kwa mkuu wa majeshi wa Kihouth Alikuwa...
  7. albab

    Tetesi: CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29

    Vikao vya siri kuelekea maandamano tare 29. Nairobi anaratibu MARIA SARUNGI LEMA ataratibu CANADA US anaratibu MANGE akishirikiana na NGURUMO. Baadhi ya viongozi watashiriki kupitia mtandao. Mpango ni kusafirisha vijana kutoka Kenya kwa siri na watahifadhiwa kwenye nyumba za ibada za dhehebu...
  8. M

    Huu ni ugonjwa gani wa mtu kupenda kubaki uchi hadi kafukuzwa aende kusimamia nyumba ya kupanga ?

    Anapenda sana kuwa uchi anapojihisi yupo peke yake, Ni mtu mzima yupo kwenye 40 Ukienda kwake lazima upige simu mara nne hadi tano kumwambia ujio wako lengo likiwa asijisahau mumkute yupo uchi. Ukienda chumbani kwake lazima ukohoe au kuzima taa na kuwasha ili ajue kuna mtu anakuja Alikuwa...
  9. K

    Hivi kwa mwanaume kulala uchi kila siku, kuna madhara?

    Mko salama humu? Nauliza, hivi kwa mwanaume kulala uchi wa mnyama kila siku ilihali huna mke ni sawa? Kuna jamaa angu kaniuliza hili swali nimeshindwa cha kumjibu.
  10. MK254

    Musa wa waislamu alitiwa aibu na Allah kwa kukimbia uchi mbele ya watu na kuanikwa kila kitu ili aache kukejeliwa

    Musa wa kwenye uislamu alikua mwoga mwoga ambaye siku zote alijisitiri mwili wote kwa nguo, hadi Waisraeli wakawa wanamsema kuwa ana ukoma au maradhi fulani ya ngozi, sasa ili mungu wa waislamu aonyeshe kweli jamaa hana matatizo ya ngozi, akasubiri siku moja Musa anaoga, alipomaliza na kwenda...
  11. M

    Nje ya wasabato wanawake wakristo wengi wanavaa "Nusu uchi" wameacha kuiga mfano wa mavazi ya Bikira Maria

    Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k. Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni...
  12. Papillon 1906

    Hivi unajisikiaje kulala ukiwa uchi

    Katika kitu ambacho nimeshinda kabisa ni Kulala nikiwa bila nguo kabisa yani bila kaboksa au pensi fulani la kwenda sitoboi. Wenzetu mnaweza vipi? na umeshawai kufikiria kama Ikitokea dharura una save vipi
  13. Mto wa mbu

    Je, kwanini wanaotekwa, kuuawa, kuumizwa, kesi za uongo,kulawitiwa na kurekodiwa video za uchi ni WA Tanganyika tu?

    Hali hii inatisha sana. Vitendo hivyo vya kishenzi vinavyofanywa na serikali ya Samia ,vinawalenga watanganyika. Sijaisikia mzazibar hata mmoja aliyetekwa, kuumizwa, kubakwa, kulawitiwa na kurekodiwa video za uchi. Swali why matendo hayo yanawakuta watanganyika tu?
  14. K

    Nimeona uchi wa mama wa rafiki yangu.

    Wakuu Kwa masikitiko makubwa sana naleta huu uzi hapa jamvini. Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao,sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia,nikaamua kukaa nje tu pale nisubiri wahusika waje,huyu jamaa kwao wanatumia bafu la nje,nikaona mlango wa bafu...
  15. fact only

    Wakuu Kwanini ufanye mauaji/kujiua kisa uchi. WHY?

    Ni huzuni Kuona Vijana wengi wanaua/wanajitoa uhai na wengine kuishia kwenda jera au kupoteza ndoto zao kisa pussy. Vijana inatakuwa mtambue kuwa hiyo pussy ya mkeo/mpenzi wako is not yours it's just your turn hata Kama akikusaliti mpaka kukuzalia mtoto ambaye sio wako na ukajua usiue au...
  16. R

    Enyi wanadamu, Nia hasa ya kuvaa nusu uchi huwa ni ipi?

    Hellow! 1. Ni mke wa mtu, unakwnda kwenye closet, Kisha unachagua nguo nusu uchi, inayobana, au mini skirt Kisha unakwenda ofisini ukijua mumeo siye atakayekuwako huko uendako kuuangalia mwonekano wako, Nini hasa huwa umelenga? 2. Ni kijana wa kiume, unazo suruali kabatini, unachagua kipens...
  17. Mhaya

    Mwana yupo jela kwa Kesi ya unga, yule slay qeen karudi tena kwenye game la kukaa uchi Insta... she belongs to the streets.

    Mwana yupo jela kwa Kesi ya unga, yule slay qeen karudi tena kwenye game la kukaa uchi Insta... she belongs to the streets. Mwanzo aliolewa akapotea mtandaoni na akabadili na Dini mixture kuvaa ushungi, ila sasa hivi amerudi na mapigo ya zamani mixture kukaa uchi, picha location kali...
  18. Mganguzi

    PreGE2025 Sasa nimeelewa maana ya “No reform, no election”! Tutaandamana uchi nchi nzima ikiwa mamlaka zitaendelea kushupaza shingo!

    Nimeelewa sana na Niko tayari kutoa elimu kwa wale ambao Bado hawajaelewa!! Kwa sasa ni sawa na kusema kipa wetu ni wao ccm !! Refa ni wao ccm ! Kamisaa ni wao ccm ? Chaguzi zetu zimekuwa kichaka Cha kujeruhi na kuwasababishia wapinzani ulemavu ! Na wengine wengi wamepoteza maisha !! Ikiwa mfumo...
  19. Sir John Deere

    Hivi serikali haioni hawa wanawake wanaocheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko?

    Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam ikizidi kukuwa kwa kasi . Mkuu wa mkoa yupo , Wakuu wa wilaya wapo na viongozi wote wa serikali...
Back
Top Bottom