uchambuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utetezi wa RC Paul Makonda RC juu ya ushiriki wake kumpiga risasi Lissu, kuvamia Clouds TV

    Kwa ufupi: Kauli na hoja za Paul Makonda na majibu yake: HOJA #1: Tundu Lissu ni mchanga kwake (Makonda) kisiasa. Kauli hii ina ukweli wowote? JIBU: ➡Ni mwongo, mzushi. Tundu Lissu yumo ndani ya siasa (active politics) tangu mwaka 1995 na mwaka huo aligombea ubunge Jimbo la Singida Mashariki...
  2. Huduma za Starlink Tanzania: Uchambuzi wa Bei, Kasi, Ubora, na Uenezaji

    Huduma za Starlink, zinazotolewa na kampuni ya SpaceX, zimekuwa zikivutia nchi mbalimbali duniani kutokana na uwezo wake wa kutoa intaneti ya kasi kupitia satelaiti, hata katika maeneo ya mbali yasiyofikiwa na miundombinu ya kawaida ya intaneti. Tanzania, ikitarajiwa kuanza kutumia huduma hizi...
  3. Uchambuzi: Hali ya Usalama Duniani chini ya Rais Donald Trump. Ukraine imeambiwa ili kuwe na Amani isahau Crimea na je Dunia imejiandaa vipi

    Baada ya raisi Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu nchini Marekani na kuwa raisi mtarajiwa wa 47 wa taifa hilo kubwa Duniani, nchi kadhaa duniani zimeanza kujiweka sawa. Baadhi ya nchi hizo ni Russia, Ukraine, Iran na Israeli. Nchi zingine ni pamoja na Nigeria, Eritrea,Sudan na Tanzania. Nchi...
  4. K

    Gazeti la Mwanahalisi Hongereni kwa makala za uchambuzi

    Kwangu mimi na kwa wale wenzangu tusioegemea upande wa vyama vya siasa ni faraja kubwa kupata gazeti la MWANAHALISI linalotoka kila Alhamisi nchini Tanzania. Kwangu mimi ni chombo pekee katika Print Media ambako naweza kupata uchambuzi makini{analytical} wa maswala mengi ya kisiasa na...
  5. G

    Wakati tunaendelea na uchambuzi wa vita mashariki ya kati na mashariki ya mbali, tusisahau vita yetu ya ujinga na maradhi tangu 60s

    Naomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine. Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini🤔🤔😄😄
  6. Uchambuzi wa Kauli aliyoitoa Dotto Biteko kuwa Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani

    Katika mazingira ya kisasa ya siasa za Tanzania, kauli ya Dotto Biteko inatoa changamoto kubwa katika kuelewa uhusiano kati ya juhudi za kiuchumi na siasa. Anaposema, "Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani," anajaribu kuhamasisha wananchi kuwa na mtazamo wa kujituma katika kazi...
  7. Uchambuzi huu wa Saa 2 na dakika 22 utakupa mwanga wa uwezo wa Israel dhidi ya Iran, Hamas na Hezbollah

    Ukiondoa itikadi za dini na mihemko, huu uchambuzi uliofanywa na kituo cha SNS unatoa mwanga halisi wa kinacho endelea. Bigup kwa huyu ostadh ambaye anajadili facts sio zile story za vijiweni za akina Ritz na FaizaFoxy Karibuni. https://youtu.be/Fi1gKQxxBJw?si=YqdIVGOKsjvGAkpi
  8. F

    Uchambuzi huru: Matokeo yanayotarajiwa kwa CHADEMA kufuatia maandamano ya Jumatatu 23 Septemba 2024.

    Matokeo yanayotarajiwa ya maandamano ya CHADEMA yanategemea muktadha wa kisiasa nchini Tanzania na jinsi serikali itakavyoshughulikia hali hiyo. Hapa kuna baadhi ya matokeo yanayoweza kutokea kwa kuzingatia uchambuzi huu usiofungamana na upande wowote: 1. Kushinikiza Serikali: CHADEMA...
  9. Uchambuzi wangu wa mechi ya Yanga vs CBE ya Ethiopia

    UCHAMBUZI WA Comrade Ally Maftah, DAR YOUNG AFRICAN VA COMMERCIAL BANK OF ETHIOPIA SPORT ASSOCIATION (CBE SA) Na Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO CBE SA ( Comercial Bank of Ethiopia Sport Association ilianzishwa mwaka 1982 pale Adis Abab Ethiopia, ni timu ambayo inashikilia kombe la...
  10. Weka hapa uchambuzi wa kitaalamu kuhusu ligi yetu.

    Nimeona Kuna haja wakati mwingine kuweka ushabiki pembeni na tuichambue ligi yetu kiweledi na kitaalam. Kwa mfano mara nyingi ni watu wachache sana hutueleza ni Kwa nini wanasema timu Fulani ni dhaifu ama imara. Wachambuzi kama Ramadhani mbwaduke huleta ladha ya uchambuzi Kwa kuwa hutumia...
  11. Song: Shahidi by Dizasta Vina Uchambuzi

    Tarehe 27.4.2022 @dizastavina (Black Maradona) aliachia yet another lyrical masterpiece inakwenda kwa jina la SHAHIDI. Mdundo umeundwa na Ringle Beatz. Mashairi yameandikwa na Dizasta Vina. • Ringle Beatz ni mmoja wa watayarishaji bora katika uandaaji wa midundo ya Hip Hop. Alianza...
  12. Baada ya Simba Day na Yanga Day Kutamatika, Ni Zamu ya Watani Kukutana – Uchambuzi wa Kitaalamu na Utabili wa Matokeo

    Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania. Chanzo: Mitandaoni Timu ya Simba SC...
  13. Kihenzile na Mkenda inawezekana wakawa Mawaziri?

    Je, inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri wa Elimu? Alafu Mwigulu akawekwa pembeni ili Adolfu Mkenda akawa wa fedha? Ni swali tu
  14. L

    Soma uchambuzi huu wa kina ili kuelewa kwanini Watanzania hawawezi kamwe kuandamana

    Ndugu zangu Watanzania, Kinachopelekea na kuchochea maandamano,machafuko na vurugu katika nchi yoyote ile kwa wananchi wake kuanza kumwagika na kumiminika mitaani kuandamana na kufanya vurugu kwa kiasi kikubwa huwa inatokana au kuchochewa na watu kukata tamaa na kukosa Matumaini ya kesho iliyo...
  15. I

    Kesi za Maslahi ya Umma Nchini Tanzania: Uchambuzi na Maoni

    Muhtasari Kesi za maslahi ya umma ni moja ya silaha ya kupambana na malalamiko kama vile uvunjifu wa haki za Binadamu unaofanywana serikali au taasisi zisizo kuwa za kiserikali. Mashauri hayayamekuwa yakitumika kushinikiza upatikanaji wa haki pamoja na Ulinzi wa haki za watu masikini na nakundi...
  16. E

    Sakata la Mbunge Mpina na uchambuzi wa ndani zaidi kisiasa na maamuzi ya spika wa bunge Nini hasa bunge litaathiri kwa mzawa huyu

    Na; Bk Leo, Jumanne Juni 18.2024 mapema asubuhi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson ameagiza Mbunge wa jimbo la Kisesa Mheshimiwa Luhaga Mpina kufikishwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kuwasilisha ushahidi...
  17. L

    Lissu amejifunza nini kujitokeza kwa watu wachache sana kumchangia pesa za kununua gari la kifahari?

    Ndugu zangu Watanzania, Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo sababu za msingi. Lissu atakuwa amejifunza kuwa watanzania siyo wajinga na mbumbumbu kama...
  18. Makala ya BBC: Uchambuzi wa Miaka 30 ya uhuru wa watu wa Afrika Kusini na jinsi wanavyohisi

    Watu wa Afrika ya kusini wanafanya uchaguzi mkuu wao hapo Mei 29, 2024 ukiwa ni uchaguzi mkuu wa 7 wa kidemokrasia tangu kuanguka kwa utawala wa kikandamizaji na kibaguzi wa wazungu wachache mwaka 1994. Ifuatayo ni makala fupi iliyoandaliwa na mwandishi Nomsa Maseko wa BBCSwahili kuangazia...
  19. Content ya media nyingi sio kwa ajili ya kuelimisha, uchambuzi wa mpira umetamalaki. Kama jamii tunapaswa kubadilika

    Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini. Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa...
  20. Act Wazalendo inafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG

    Act Wazalendo inafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG https://youtube.com/live/NUZV2KCIntw?si=tEvs29-aBxTF6TT9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…