uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Guinea-Bissau yapitisha katiba inayomzuia Rais wa mpito kugombea uchaguzi

    Utawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau, umepitisha Katiba ya mpito ya miezi 12 ambayo inawazuia Rais wa mpito na Waziri Mkuu kugombea katika uchaguzi ujao, wiki mbili baada ya maafisa wa Jeshi kufanya Mapinduzi ambayo yaliisimamisha Katiba. Kwa mujibu wa Shirika la habari la Reuters, hati hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Zelensky asema yupo tayari kuandaa uchaguzi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema yuko tayari kuandaa uchaguzi wa urais ndani ya siku 60 hadi 90 endapo hali ya usalama na masharti ya kisheria yatatimizwa, akitoa wito kwa Marekani na washirika wa Ulaya kusaidia kuandaa mazingira salama kwa uchaguzi huo wakati wa vita. ‎...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuzimwa kwa Intaneti wakati wa uchaguzi wa 2025, kuliumiza wengi, haki ya kupata taarifa iliminywa

    Tarehe 29 Oktoba 2025, Tanzania iliingia kizani kimawasiliano baada ya Mamlaka kuzima Mtandao wa intaneti (internet), upande wa pili Serikali ikidai kufanya hivyo kumeweza kuwadhibiti waandamanaji kuhamasishana kuandamana. Kuzimwa kwa Mtandao kulisababisha madhara mengi kwa Wananchi ikiwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 SMS moja iliwanyamazisha Wanahabari wengi wa Iringa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi ya kutumia kalamu zao, na wakidhalilishwa hadharani katika taaluma waliyoiamini. Katika kipindi...
  5. JamiiForums Tanzania Ulishinda uchaguzi kwa kishindo cha Tsunami, hofu ya nini sasa?

    Katika historia ya Tanzania hakuna mtu ambaye amewahi kushinda urais kwa asilimia 97.6 za kura zote zilizopigwa. Na katika hiyo hiyo historia yetu, hakuna mtu ambaye amewahi kuchaguliwa kwa kura nyingi sana zaidi yako wewe. Umechaguliwa kwa kura zaidi ya milioni 31. Idadi hiyo ni takriban...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni Serikali haramu pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi yenye ipo kwenye mgogoro na wananchi na dunia ni kwasababu ni wasaliti wa nchi na haramu

    Ni Serikali haramu pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi yenyewe ipo kwenye mgogoro mkali na wananchi na dunia ni kwasababu ni wasaliti wa nchi na haramu. Mgogoro hatimae unazaa maandamano makubwa sana africa nzima ni kwa kile kinachoitwa jaribio la kuiteka nchi na kuwa ya kikoloni na utumwa...
  7. JamiiForums Tanzania Raisi ajaye tanzania: Sheria ni siasa zinafanyika mwaka wa uchaguzi tu, baada ya uchaguzi watu waonekane wanafanya kazi nothing more or less than that

    Marehem John Pombe alikua na njia nzuri sana ya kuendesha nchi, mwaka wa uchaguzi fanyeni siasa ila baada ya hapo watu waonekane wapo kazini, izi mambo za kila mtu anaongea hili ama lile akidhan anaielewa siasa ipigwe marufuku, kipindi cha magu alivooa amri ya siasa kipindi cha uchaguzi nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Tume ya kuchunguza maandamano ya baada ya Uchaguzi iwahoji kina nani?

    Tume huru ya mchongo iwahoji Wadau gani?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kwani dini yake ndo kuiba uchaguzi kupeleka watu mochori wakiwa hai, asichafue dini kwa matendo yake

    Tumeshajua wale mashehe waliopanga kukata watu vichwa waliruhusiwa nani Lakini kwani dini yake inaruhusu wizi wa kura Kwani DINI yake inaruhusu utekaji Kwani DINI yake ndo inaruhusu kuua Kwani DINI yake ILIMRUHUSU vijana wafanyiwe mambo ya sodoma Hadi wengine wamejinyonga Hapana tusikubali...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Makame: Kilichofanyika Oktoba 29 kiliratibiwa kuharibu uchaguzi na kuipindua serikali

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe Jabiri Omari Makame amesema kile kilichofanyika wakati na baada ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 29, 2025 kilikuwa ni fujo, vurugu na njama za kupangwa za kuharibu uchaguzi na kuiangusha Serikali ya Tanzania Amebainisha hayo wakati wa Kikao kazi na watumishi wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ichague kusambaratika kwa ajili ya CCM, Vita vya Udini na Ugaidi, au ikubali katiba mpya na Tume ya Uchaguzi ili ipone

    Hiki ndiyo ninachokiona mimi,tukubali kuikumbatia CCM ambayo inafanya kila aina ya hila ili iendelee kubaki madarakani huku watu wachache wakinufaika na rasilimali za inchi kwa mgongo wa Amani, au tukubali kuingiza nchi kwenye machafuko yanayokuja mbele yetu kuanzia Udini,Utanganyika na...
  12. JamiiForums Tanzania Nadhani wa kulaumiwa au kushtakiwa ni tume ya uchaguzi

    Kila mara ninapomsikiliza rais Samia, naona wazi ana uhakika kabisa kuwa alipigiwa kura kwa asilimia 97. Haoneshi kuwa na wasiwasi wala mashaka. Japo ni kweli kuna maeneo vurugu zilitokea katika vituo vya kupigia kura. Na ni kweli mabox ya kura yaliharibiwa. Je, tume ilipaswa kufanya nini...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hata wafuasi wa vyama vya upinzani walitupigia kura kwa sababu vyama vyao vilikimbia uchaguzi.

  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vurugu zilipangwa siku ya uchaguzi kwa sababu walishajua CCM inaenda kupata ushindi mkubwa.

  15. JamiiForums Tanzania M/Kiti Baraza la Wazee DSM: Sisi tunatambua kampeni za uchaguzi na upigaji kura vilienda vizuri sana.

  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi isiache kuhoji waliosimamia Uchaguzi. Waliosimamia wapo tayari kutoa ushirikiano

    Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Wananchi kuhusiana na Uongozi, Uchaguzi na Rasimali za Taifa

    Malalamiko ya Wananchi wa Taifa hili siku zote imekuwa kutokuwa na Haki katika chaguzi, uongozi mbovu wa KUSIMAMIA RASIMALI za nchi ili ziwanufaishe wananchi Lakini huyu Shetani mla damu za watu mkatili anajidanya sikio la kufa hasikii na Wala hataki kumsikiliza wananchi wake yeye anachojua ni...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu(Oktoba 29, 2025) leo Desemba 01, 2025 ameainisha mambo 6 ambayo yatachunguzwa na tume hiyo. 1. Kuchunguza na kubaini chanzo...
  19. JamiiForums Tanzania Bei ya Mamlaka: Vurugu za Uchaguzi na Falsafa ya Uongozi Barani Afrika

    Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona majeshi yakimiminika mitaani, mabomu ya machozi yakipiga kelele kila kona, na miili ya vijana ikijaa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Guinea-Bissau akamatwa siku tatu baada ya uchaguzi

    Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amekamatwa na watu wenye silaha leo, siku chache baada ya uchaguzi ambao mgombea mkuu wa upinzani aliondolewa. Milio ya risasi ilisika katika mji mkuu, ingawa utambulisho wa washambuliaji bado haujafahamika. Embaló na mpinzani wake, Fernando Dias...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…