uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Genius Man

    PreGE2025 Rais Samia acha kusema uongo na kukuza mambo. CHADEMA ilihamasisha mabadiliko ya uchaguzi sio vurugu

    Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ? Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi...
  2. S

    Wanaotesa na kuua watu wasio na hatia kisa mambo ya uchaguzi, Nature hungilia kati kuokoa watu wasiendelee kuangamia

    Nature haitowaacha salama hawa watu na huyo wanaemtumikia unless anabadilika but I think it is already too late(anasubiri tu adhabu). Nature husaidia viumbe hai kuishi kulingana na jinsi walivyo lengo kuhakikisha viumbe hai wanaendelea sio tu kuishi, bali wanaishi kwa namna alivyokusudia...
  3. The Father of All

    Maswali magumu kwa rais Samia kuhusu uchaguzi ujao

    Mheshimiwa Rais Daktari, mbemba maono, kipenzi cha Watanzania Samia Suluhu Hassan, Naomba unijibu maswali haya kuhusiana na msimamo wako juu ya uchaguzi ujajo uliosema utakuwa wa amani. Amani vipi bila maridhiano ya namna ya kuufanya? Amani vipi wakati polisi wanatumika vibaya na kinyume cha...
  4. 05CUBA

    Chama gani kipo tayari kukupa mgombea sahihi 2025 ?

    Chama gani unadhani kipo tayari kutupa mgombea sahihi kwa nafasi ya urais 2025 ? A. ACT Wazalendo B. CHADEMA C. CCM
  5. Yoda

    Taswira ya uchaguzi wa nchi nyingi za Africa

    Chini ya meza, kuna wanajeshi kadhaa wakimpa kadi zaidi mtu huyu kwa siri, ikimaanisha kuna hila na msaada wa kijeshi kwa upande wake. Wengine wawili (mmoja mwenye mavazi mekundu na bereti, mwingine mwenye nguo za buluu), wanaonekana kuwa na wasiwasi, uchungu, na hali ya kutokuweza kushindana...
  6. Ojuolegbha

    Tanzania ya kisasa: Haki, teknolojia, na siasa za amani—tunapokwenda kwenye uchaguzi mkuu

    TANZANIA YA KISASA: HAKI, TEKNOLOJIA, NA SIASA ZA AMANI—TUNAPOKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU Leo tarehe 24 Aprili 2025, Tanzania - Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendesha shauri la jinai namba 202504102000008606 dhidi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu kwa njia ya mtandao, kupitia tovuti rasmi...
  7. Roving Journalist

    PreGE2025 Wasira: Viongozi wa dini wametutia nguvu kuendelea na Uchaguzi Mkuu

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru na kuwapongeza viongozi wa dini kwa ushauri kuhakikisha Nchi inaendelea kuwa na amani hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na kubariki uchaguzi huo uendelee huku, ikisisitiza kuwa haidharau maoni yanayotolewa. CCM imesisitiza kuwa haipuuzi...
  8. Moaz

    Ishara za Demokrasia za Kidikteta Wakati wa Uchaguzi

    “Demokrasia ya Kidikteta” au “Demokrasia ya Maonyesho”—Ni Demokrasia ambapo uchaguzi upo, vyama vya upinzani vipo, lakini mfumo mzima umejaa ishara za kuwa demokrasia ni maigizo tu. Hizi hapa ni ishara zinazoonesha demokrasia ya maigizo kati ya chama tawala na chama cha upinzani wakati wa...
  9. chiembe

    Baada ya CHADEMA kususia uchaguzi, Luhaga Mpina ameanza kurudisha utii kwa CCM

    Luhaga Mpina alikuwa na mpango kuhamia chadema akagombee Ubunge huko. Hata hivyo kitendo cha chadema kugomea uchaguzi kimemvuruga. Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Sasa amerudisha majeshi CCM na kuanza...
  10. H

    Kuhusu Uchaguzi Mkuu, Viongozi wa Dini Wasiishie Kuionya Tu Serikali, Bali Wawashauri Pia Waumini Kutohatarisha Maisha Yao, Kama Hakuna Reforms.

    Viongozi wa dini, kwa dini zote, huchukuliwa kama wazazi na walezi wa waumini wao. Ni kwa sababu hiyo, viongozi wa dinni kwa kutambua wajibu wao, wametoa ujumbe kwa Serikali juu ya umuhimu wa kuwa na marekebisho ya sheria, kanuni na mifumo yetu ya uchaguzi, ili uchaguzi mkuu kuwa wa haki na...
  11. kagoshima

    Kuelekea 2025 uchaguzi, Sintopoteza mda kupanga foleni kupiga kura bila kwenye mazingira haya ya uiz wa kura unaofabywa na tume na ccm

    Habari ndo hiyo. Kwenye uchaguz serikali za mitaa nilienda nipogekura nikaahirisha baada ya kuona mgombea mlengwa ameenguliwa eti hajui kujaza form. Strangely huyo ni mgombea aliyekua mwenyekiti wakati wa rais kikwete
  12. Yoda

    PreGE2025 Muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu unawatosha G55 kuanzisha chama chao kipya kushiriki uchaguzi?

    Kwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha wagombea wao kushiriki uchaguzi?
  13. Just Pray

    PreGE2025 John Mrema: Viongozi wa dini wamesapoti G55 "Hakuna kuzuia uchaguzi"

    "Tulishauri kuwa chama (CHADEMA) kiende kikasaini kanuni za maadili na tume ya taifa ya uchaguzi ambayo yalikuwa yanasainiwa tarehe 12 Aprili 2025. Ushauri wetu tuliotoa chama hakikuzingatia hata kidogo, na ilipofika tarehe 12 hawakwenda kusaini. Lakini vilevile tunapenda kuchukua fursa hii...
  14. H

    PreGE2025 John Mrema atetea Maamuzi ya Tume ya Uchaguziji dhidi ya CHADEMA

    John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi. Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata jibu la wazi. Katika kikao chake na vyombo vya habari, Mrema ametumia muda wake mwingi kuonesha...
  15. Just Pray

    PreGE2025 John Mrema: Kuzuia Uchaguzi haitakuwa rahisi kama tunavyofikiria, tuliposhauri chama kikasaini kanuni tulifahamu madhara

    " Nchi hii si ya chama kimoja, kwamba wananchi wote ni CHADEMA wako wa vyama vingine wanaenda kwenye uchaguzi, unaposema tuende barabarani kuzuia uchaguzi, unakwenda kuwazuia hawa wananchi wanaoenda kupiga kura au unaenda kumzuia nani? Kwa sababu huko barabarani utakutana na wale wa vyama...
  16. Kipenzi Changu

    Hii nchi aisee!! Yaani Mkuu wa Machinery ya kusimamia uchaguzi ni mama mkwe wa Rais

    Ila Bongo inasikitisha sana kwenye suala la haki. Ndiyo maana ukizungumzia haki inakuwa kama umetangaza duka la bangi. Inajiuliza sisi tupo dunia ya ngapi. Tofauti ya chaguzi za enzi za mkoloni na leo ni majina tu, lakini michakato ni ile ile. PO-RALG ndio inasimamia uchaguzi kupitia...
  17. JanguKamaJangu

    Kikwete alivyozungumza uwazi wa Uchaguzi Mkuu ulivyokuwa bora katika Uchaguzi wa Kenya

    Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete alivyokuwa anaongoza ujumbe wa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa 2022 uliofanyika Agosti 9, 2022 Nchini Kenya.
  18. M

    Mbona CHADEMA baada ya uchaguzi walimtenga Kibatala? Hapa wamekosea

    Mkurugenzi na mwanasheria wa chama kwa sasa hawana mvuto ndani ya nje ya chama. Licha ya mwanasheria kuwa Phd from Havard University lakini ukweli katika kesi za kisiasa haziwezi. Uwasiliwashaji wake mbele ya jamii sio mzuri Sijui kwanini walimtenga kibatala ktk uongozi wa CHADEMA Kibatala...
  19. technically

    PreGE2025 Sheikh Kabeke akemea uchaguzi wa kihuni

    Nyinyi wanasiasa wewe ni CCM umebahatika umeshika dola haina sababu kwa kuwa wewe una dola unamuona CHADEMA na wananchi unaona ni wabaya, hii ni nchi yetu sote
  20. E

    PreGE2025 CUF yasisitiza kushiriki uchaguzi, yawaalika G-55 kuchukua fomu

    Chama Cha Wananchi (CUF) kimesisitiza kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, huku kikiwaalika makada wa Chadema waliounda kundi la G-55, kujiunga nao ili wagombee kupitia chama hicho. G55 linahusisha makada wa Chadema waliotoa waraka wakiushauri uongozi wa Chadema kushiriki uchaguzi licha ya...
Back
Top Bottom