uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Kiongozi anashindwa uchaguzi Zambia anaisingizia Tanzania, hii ni maajabu aise

    Yuko wapi mh. Brian Muntayala Mundubile kiongozi wa upinzani Zambia alieisingizia Tanzania kufuata kukataliwa kwake na wananchi wapiga kura wa Zambia? Halafu, hivi kwanini viongozi wa wa upinzani Africa wakisense kukataliwa na wananchi kupitia sanduku la kura lazima watoe visingizio visivyo na...
  2. JamiiForums Tanzania Kususia uchaguzi ni kujipa stress na kujidhuru mwenyewe hasa kisaikolojia na kujidhulumu kisiasa.

    Hii ni miongoni mwa blunders za hovyo mno za kisiasa, miongoni mwa wanasiasa waliokosa agenda za kuwashawishi na kuvutia kundi kubwa la wapiga kura kuwa upande wao. Mara nyingi wanasiasa hao husense kushindwa uchaguzi mapema sana. Na daima, hatua hii ya kususia uchaguzi, huwa ni sawa na ile ya...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 katika uchaguzi wa mwaka 2026

    Kumekuwepo Chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na Instagram, linadai kuwa Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 na kwamba katika uchaguzi huo zaidi ya watu milioni 14 walipiga kura.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Nguvu Na Ushawishi Alionao Rais Samia Kwa Sasa Ipo Siku Marekani Atakuja Kulalamika kuwa Tanzania Imeingilia Uchaguzi wao na Kupanga Matokeo .

    Ndugu zangu Watanzania, Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi. Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Msigwa: Tuhuma za Tanzania kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Zambia sio za kweli ZIPUUZWE

    Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma za kutuma raia wake kwenda Zambia kuingilia au kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Agosti 13, 2026. Serikali imesema madai hayo hayana ukweli na imeanza kuyafuatilia kupitia njia za kidiplomasia. Tuhuma hizo zilitolewa na mgombea urais wa chama...
  6. JamiiForums Tanzania Wenyeviti 17 wa Vyama vilivyoshiriki Uchaguzi watunzwe kwa wivu mkubwa

    Wenyeviti 17 walioshiriki uchaguzi mkuu 2025 waendelee kutunzwa kwa wivu mkubwa maana hao ni tunu ya Amani na utulivu nchini
  7. JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema atashinda uchaguzi mkuu wa Zambia na hapatakua na Re-Run elections.

    Ni wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine nchini Zambia. Kwa muelekeo wa matokeo ulivyo mpaka sasa, Mh.Hakainde Hichilema atapata ushindi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula aitaka Serikali ya Tanzania itoe maelezo kuhusu tuhuma dhidi yake kupeleka watu kusaidia kupora Zambia!

    Ndugu Watanzania! Nchi yetu imeingia katika dimbwi la matope na kinyesi. Tanzania inatuhumiwa kupeleka watu kwenda kusaidia kupora Uchaguzi wa Zambia kumsadia Hakainde Hichilema anayesadikika kuwa ameshindwa Uchaguzi ili aapishwewa kuwa Rais wa Zambia kwa muhula mwingine. Mgombea wa upinzani...
  9. JamiiForums Tanzania This is Zambia not Tanzania. Walotumwa kuharibu Uchaguzi Wafukuzwa

    Kiongozi huyo amesisitiza kuwa Zambia kama taifa huru lina misingi yake thabiti na haliko tayari kufuata wala kutumia mfumo au formula za kisiasa kutoka nchini Tanzania. Amewataka raia kutoka Tanzania waliopo nchini Zambia kuheshimu misingi, sheria na mila za nchi hiyo bila kujaribu kuingiza...
  10. JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ya wakati wa kampeni imetumika kuonyesha matukio ya uchaguzi mkuu nchini Zambia

    Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, ikiambatanishwa na madai kwamba leo nchini Zambia, siku ya uchaguzi mkuu, polisi wametumia risasi za moto na mabomu ya machozi kuwatawanya wapiga kura katika vituo kadhaa vya kupigia kura kwa tuhuma za uvunjifu wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Raia wa Kenya akamatwa Zambia akihusishwa na ujasusi kuvuruga Uchaguzi

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 kutoka Kenya amekamatwa nchini Zambia baada ya mamlaka kumhusisha na operesheni inayodaiwa kuhusisha uhalifu wa mtandaoni dhidi ya mifumo ya Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo. Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Taifa ya Zambia ilitangaza Agosti...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Indegazette: Tume ya Lila Yakabiliwa na Mtihani wa Kubaini Waliowezesha Vurugu za Uchaguzi Tanzania

    Jarida la Indegazette.be, katika makala yake iliyochapishwa Agosti 13, 2026, limeangazia Tume mpya ya Uchunguzi ya Tanzania inayoongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, likisema jukumu kubwa la tume hiyo ni kwenda zaidi ya simulizi za kisiasa na kubaini kwa ushahidi waliochochea, kushiriki na...
  13. JamiiForums Tanzania Seriously, hivi Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?

    Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani? Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi. Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo. Wote tunajua Samia hakupigiwa kura na watu milioni 31 kati ya milioni 32 waliodaiwa na tume kuwa walijitokeza kupiga kura. Wote...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IEBC Yatangaza Rangi za Karatasi za Kura za Uchaguzi wa 2027

    Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC) imetangaza rangi za karatasi za kura na vifuniko vya masanduku ya kura zitakazotumika katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kila nafasi kati ya sita za uchaguzi itakuwa na rangi yake: Rais: Nyeupe Mbunge: Kijani Seneta: Njano Gavana: Bluu hafifu Mwakilishi wa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ni Hichilema vs. Mundubile uchaguzi mkuu Zambia

    Leo ni Agosti 13, 2026, raia wa Zambia wanapiga kura katika uchaguzi mkuu unaotazamwa kwa karibu sana. Huu ni uchaguzi muhimu unaojaribu ahadi za mageuzi ya kiuchumi dhidi ya hali ngumu ya kimaisha inayoikabili nchi hiyo. Soma zaidi: Mchuano Mkali Zambia: Je, Hichilema atatoboa tena au Upinzani...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mbona wanakobadili vyama kwenye uchaguzi ndo tunaenda kuomba?

    Kuna kitu najiuliza mpaka sasa sijapata jibu. Mbona ulaya na Marekani wanakobadili vyama vya kuongoza serikali kwenye chaguzi ndo wanauchumi imara na ndo tunakwenda kuomba? Afrika hatujang'amua kwamba kushikiria chama kimoja miaka hamsini mia ni mkwamo wa maendeleo?
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Atangaza Muungano Wa Kenya Kwanza Na Odm Kuelekea Uchaguzi Wa 2027

    Rais William Ruto ametangaza kuwa Kenya Kwanza na ODM zimekubaliana kuunda muungano wa kisiasa utakaochuana pamoja katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Ruto alitoa tangazo hilo Jumatatu, Agosti 10, 2026, baada ya mkutano wa viongozi wa Broad-Based Government mjini Naivasha. Alisema uamuzi huo...
  18. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Tume ya kuchunguza ghasia za uchaguzi Kenya (Jaji Phipps Waki Commission) VS Tume ya Rais Samia(TZ) chini Jaji Chande/Lila

    ♦️Labda muuaji Samia na genge lake la wahuni wakisaidiwa na Chawa wao wa mitandaoni na huko kwingine wanaweza kuelewa vizuri na kuacha kuteka na kuumiza watu hovyo... Hebu tujadili kuhusu; Commission of Inquiry into the Post-Election Violence (CIPEV), chini ya Jaji Philip Waki (Kenya) VS...
  19. JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya Luhaga Mpina aliyowasilisha madai kuhusu uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuitaka Jumuiya ya Madola kuchunguza

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo katika uchaguzi wa mwaka 2025, Luhaga Joelson Mpina, aliwasilisha taarifa kuhusu hali ya kisiasa Tanzania kwa mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera. Katika taarifa hiyo ya Aprili 16, 2026, Mpina...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini ikifika uchaguzi mkuu, kura zisipigwe kwa njia ya mtandao na kila mmoja akaona trend ya kura kwa kila mgombea

    Kufuatia ukuaji wa teknolojia na mfumo wa kidigiti huduma nyingi zimetoka ama zimehama kutoka kufanyika analogi au manual na sasa kufanyika kidigiti. Zipo faida nyingi za kura kupigwa kidigiti, 1)muda -kuokoa muda unaotumika kwenye zoezi la kupiga kura,kuhesabu kura ,na kuandaa matokeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…