uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Tetesi: GE2025 Ole Sendeka na Mrisho Gambo wafyekwa kwenye mbio za Ubunge

    Wakati vikao vya ndani vya wilaya na mikoa vya CCM vinavyochuja wagombea vikiisha mkoani Arusha, taarifa zinadai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo wamefyekwa. Vikao hivyo vilivyoendeshwa kwa usiri mkubwa vimetaja watia...
  2. kalisheshe

    Msichokijua kuhusu uchaguzi na ushindi wa Chama Cha Mapinduzi CCM

    Ninatamani siku moja tupate mabadiliko lakini hilo haliwezekani kwa miaka ya hivi karibuni. Hizi ndizo sababu na ukweli unaotakiwa kuufahamu Ukweli no 1. CCM huwa wanashinda kwa uhalali kiti cha Raisi, kura nyingi wanazipata kwa jamii ziishizo vijijini Sababu Katika utafutaji wangu...
  3. Bishweko

    GE2025 Mada: Uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 unaweza kukizi vigezo vya kuwa uchaguzi huru, haki na wa uwazi?

    Habari zenu ndugu zangu Katika utaifa wetu wa Tanzania. Leo nataka tujaribu kuangalia mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi wa Oktoba mwaka huu. Watanzania wanajiandaa kuwachagua wabunge,Rais na madiwani. Lakini kabla ya uchaguzi kuna mambo mbali mbali mazuri na mabaya...
  4. Area 56

    Kama Magufuli angelikuwa hai, nyakati hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu hali ingekuwaje?

    Je angekuwa anajiandaa kumpisha Rais mwingine? Je angekuwa kashabadili katiba? Je uchumi ungekuwaje? SGR ingekuwa imefikia wapi? Hali ingekuwaje?
  5. JanguKamaJangu

    GE2025 Dkt. Stergomena Tax aonya viashiria vya kuvuruga amani kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 7 Julai 2025, ameonya na kuwatahadharisha Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM, kuwa macho na kujiepusha na makundi au watu wenye nia ovu na Nchi ya Tanzania, watakaotaka kuutumia mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa...
  6. Waufukweni

    GE2025 Madeleka: Polisi mkituchagua ACT Wazalendo, kila Askari atamiliki Ghorofa na Land Cruiser

    Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia ACT Wazalendo, Peter Madeleka, amesema kuwa serikali iliyoko madarakani sasa itafikia kikomo cha uhalali wake mwezi Oktoba mwaka huu, na hivyo Watanzania wana jukumu la kuunda serikali mpya kupitia uchaguzi. Julai 4, 2025 akihutubia mkutano wa hadhara...
  7. DuaZaMama

    SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yajipanga kurejea katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi mkuu 2025

    wakuu === Nimekutana na hizi taarifa ni kweli CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, mwenye taarifa za ukweli atusaidie.
  8. L

    Mwenye ushahidi wa njama za kumuwekea sumu Lissu auweke hadharani na siyo kuichafua Serikali yetu kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima tufahamu kama Taifa tuna maadui ambao kila siku wanawaza na kufikiria namna ya kuichafua Nchi na Taifa letu kimataifa,namna ya kuharibu taswira nzuri ya Taifa letu,namna ya kuvuruga amani na utulivu wa Taifa letu,namna ya kuharibu umoja wa kitaifa,namna ya...
  9. Prof_Adventure_guide

    Je, Mpango wa Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu Ukiwa Kizuizini Ni Dalili ya Taifa Lenye Hofu ya Ukweli na Kukwama Kisaikolojia Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa? Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
  10. E

    Rais TEC atangaza maombi ya kufunga kuombea haki na amani katika uchaguzi mkuu

    Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya...
  11. Carlos The Jackal

    Niliwaambia CHADEMA itashiriki uchaguzi mkuu 2025, mabadiliko kufanyika. LISSU alitumia Mbinu ya kung'oa magugu ili abakishe Ngano

    Wale mlohama CHADEMA, inaenda kula Kwenu. Ni Maneno ya LISSU, amtaka HAKIMU kutoruhusu kuendelea kua Gerezani Ili tu kufanya CHADEMA ishirik Uchaguzi Mkuu! What a Genius !!! 🔥🔥
  12. Just Pray

    PreGE2025 Taratibu zisizoeleweka wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa zitukumbushe uhitaji wa 'reforms' kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba

    Utafiti uliofanyika dhidi ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 unabainisha mila na desturi za kijamii na kijinsia zilivyoathiri ushiriki wa vijana na wanawake katika uchaguzi. Katika kipindi chote cha uchaguzi, vijana na wanawake waliokuwa sehemu ya utafiti walibaini na kutoa...
  13. Roving Journalist

    GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za Udiwani. Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Udiwani na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo. Juni 2025 Pre...
  14. Roving Journalist

    GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za ubunge. Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Ubunge na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo. Juni 2025 Mchungaji...
  15. The Zanzibar Echo

    Tanzania: Viongozi waanza kuchukua fomu za ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Baadhi ya viongozi nchini Tanzania wameanza kuchukua fomu za kugombea ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Miongoni mwa waliotangaza nia hiyo ni Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kugombea...
  16. Puna

    Uzi maalumu wa watia nia wa Udiwani na Ubunge wa Uchaguzi Mkuu.

    Leo ndio Leo Tarehe 28/06/2025 Chama Cha mapinduzi(CCM) kimepuliza kipyenga chake Cha watia nia wa nafasi za Ubunge na Udiwani kupitia Cha hicho kuanza kuchukua fomu.Na hii inatoa fursa kwa wale ambao hawakujitangaza kwa kuogopa rugu la chama kuanza kampeni kabla,sasa ni Wakati wao huu wa kuweka...
  17. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Mgombea Urais CHADEMA kwa Sasa yuko CCM, CHADEMA itashinda Uchaguzi Mkuu! RAIS Huyu ajaye atatumika Kumtuliza LISSU na kuleta Suluhu...

    Ukweli ni kwamba, Ile timu utekaji na Mauaji na Majaribio ya mauaji , ni timu ambayo mpaka muda huu inajiuliza, Ikitokea LISSU ambaye ni Mwenyekiti CHADEMA ndio huyohuyo akawa Rais ,itakuaje ?. Kwa Upande wa pili, Wazalendo walioko Ndani ya Dola, wanakubaliana kua, CCM imechokwa, Uchaguzi pekee...
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Waganga wa tiba asili Tabora wamesema hawatashiriki kuwagua wanasiasa kwa njia zisizo sahihi kuelekea uchaguzi mkuu

    Waganga wa tiba asili mkoa wa Tabora wamesema kuelekea uchaguzi mkuu hawatokubali kushiriki kuwagua wanasiasa katika njia ambazo sio sahihi ikiwemo kutumia viungo vya binadamu pamoja na vishawishi vyovyote vya kutaka kumzuru mtu ili kumfanikishia mtu mwingine. Msimamo huo umetolewa na...
  19. M

    Wananchi wote tunajua mfumo wetu wa uchaguzi siyo rafiki, haki na huru. Je, hatulioni kweli hili kielekea uchaguzi mkuu?

    Mimi ninaamini kuwa sheria na kanuni za uchaguzi,na hata uchaguzi wetu huwa siyo wa haki na huru. sote tunaona yanayotokea kila uchaguzi. Mwaka 2024 uchaguzi serikali za mitaa tulitegemea kuona mabadiliko lakini wapi hali ikawa ile ile. Busara ya kawaida inatuambia kuna tatizo mahala. Kwa...
  20. Just Pray

    PreGE2025 CCM yasitisha ziara zake kupisha mchakato wa ndani wa kuwapata wagombea kuelekea Uchaguzi mkuu Oktoba 2025

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kimesitisha ziara za viongozi wake mbalimbali ili kupisha mchakato wa ndani wa CCM wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
Back
Top Bottom