The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.
Ila sisi watu weusi sijui tumelaaniwa yaani watu na akili zao wanaamua kuweka mfumo wa uchaguzi wa kinafki .
Halafu wanashupalia kichwa kwamba uchaguzi ni wa uhuru wa haki na kidemokrasia.
Yaliyofanyia TFF ni mambo ya ajabu sana , napo kuuli mbiu ya No Reforms No Election ifanyike haraka kwenye...
https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f
Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu....
Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
afrika
afrika mashariki
ccm
chadema
ethiopia
mashariki
mkutano
mkuu
mpango
saba
sababu
sababu za
sababu za kiusalama
siri
slaa
uchaguziuchaguzimkuuuchaguzimkuu 2025
wagombea
wanasheria
zanzibar
Salaam, Shalom!
Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine 😃
Unadhani kishindo chake kitakuwaje?
Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist
Mungu ibariki Nyikani.
Karibuni 🙏
Wakuu,
Akizungumza leo kwenye Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya ZIWA, leo tarehe 21 Juni, 2025, Rais Samia amesema:
"Ombi langu hasa kwa viongozi hasa wa kimila, waganga wale wa kienyeji ombi langu, kipindi hiki wanaoomba kupata nafasi mbalimbali watawatembelea na wanapo watembelea...
“Matokeo ya chaguzi ndogo mara nyingi hutoa taswira ya mwelekeo wa uchaguzi mkuu. Ikiwa chama ‘R’ kimepata ushindi wa zaidi ya asilimia 80 katika chaguzi ndogo, kuna uwezekano mkubwa wa kushinda kwa hadi asilimia 90+ katika uchaguzi mkuu. Hata hivyo, mwelekeo huu unaweza kubadilika endapo vyama...
Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Njombve Neema Mgaya ametangaza Rasmi kuchukua fomu ya Kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa October 2025.
Neema amesema hayo alipohudhuria baraza la UWT wilaya ya Njombe lililofanyika June 13,2025 mjini Njombe.
Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM )Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro wameanza kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu wa Udiwani,Ubunge na Rais unatarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba Mwaka huu kwa kuhamasisha kujitokekeza kuchukua fomu nafasi za Udiwani na Ubunge.
Kupata matukio na taarifa...
Nadhani Watanzania wote waelewe modus operandi ya CCM.
Moja, sio kwamba hawajui umuhimu na haja ya kufanya reforms katika taratibu za uchaguzi. Wanajua sana, na zaidi wanaelewa kwamba reforms, hata kama zikifanyika na upinzani ukashindwa kutwaa kiti cha raisi, zitatoa fursa ya kuwa na wabunge...
Nimetafakari hali ya kisiasa nchi na kuona kuwa Chadema itaendelea kuwa na ushawishi na nguvu kuliko vyama vingine pamoja na kutoshiriki uchaguzi au kushindwa kuuzuia kwa nguvuza dola kwa sababu zifuatazo:
1. Iwapo uchaguzi mkuu utakuwa na uchafuzi na CCM kupita kwa mizengwe kwa asilimia 90...
Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi.
CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone, Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu...
hekima
kutuma
madini
mbalimbali
motivational quotes
nukuu
quotes
siasa afrika
siasa afrika mashariki
taifa langu
tanzania
tanzania 2025
tanzania kwanza
uchaguzimkuuuchaguzimkuu 2025
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonaz ameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kukamilisha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kuendelea vyema na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Dkt. Yonazi ametoa pongezi hizo leo...
Wadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa!
Thamani ya Kura ipo wapi?
Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja
Katibu Mkuu wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu ametoa wito kwa watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kutenda haki katika kusimamia uchaguzi Mkuu wa Oktoba baadaye mwaka huu.
Ametoa wito huo leo Juni 7, 2025, baada ya kuungana na waumini wengine wa dini ya...
"Mbweha aliposema, 'Pasipo mabadiliko hakuna uchaguzi,' aliulizwa: 'Na pasipo ukweli, mabadiliko yanatoka wapi?' Akakimbia kwenda kugombea tena." - Alloyce, P.R.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameyahakikishia mataifa mbalimbali ulimwenguni kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki, kwa mujibu wa sheria mpya za uchaguzi za mwaka 2024.
Akizungumza jijini Dar es Salaam...
Hatuwezi Fanya uchaguzi Kwa kelele hizi zilizopo,
Uminywaji wa haki ya kuchagua na kuchaguliwa utasababisha machafuko huko mbeleni na wananchi kukosa Imani na serikali!!
Ni aibu kuona jeshi la polisi likizunguka kanisa na silaha za moto kana kwamba Kuna tishio la kigaidi!!
Nitasimamia reforms...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.