Baada ya kipindi cha kampeini kuisha yani kesho tarehe 27/10/2020 ni vyema sasa waandishi wa habari , wataalam wa mambo ya siasa , wadau wa maendeleo ni vyema sasa kuandaa kipindi maalum cha Televisheni juun ya tathimini ya kampeini toka zilipoanza , ziwe categorized kuanzia sera ya mgombea...