uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yaomba maridhiano ya kisiasa ili kushiriki uchaguzi mkuu

    Wanabodi leo nimekutana na hii taarifa kuwa imepostiwa na BBC kwamba CHADEMA wameomba maridhiano ya kisiasa ili waweze kushiriki uchaguzi mkuu. Je, ni kweli?
  2. J

    PreGE2025 Kawaida awasihi vijana wote kushiriki uchaguzi mkuu

    ✳️ KAWAIDA AWASIHI VIJANA WOTE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewakaribisha vijana wote Tanzania katika Chama Cha Mapinduzi ili wapate nafasi ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 na Kuichaguwa CCM katika nafasi ya Urais, Ubunge na...
  3. Doctor Mama Amon

    PreGE2025 Gazeti la Pambazuko Latabiri: Lissu kuwa rumande mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025

    Na Mwandishi Wetu KUNA kila dalili kwamba Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ‘atasota’ rumande hadi kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania, Novemba 2025. Lissu ambaye sasa amefunguliwa kesi ya uhaini, alikamatwa na Jeshi la Polisi Jumatano iliyopita -...
  4. Kekule Wa Benzene Ring

    PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

    1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA. Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo. Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Wananchi Arusha mjini watishia kususia kupiga kura uchaguzi mkuu 2025, 'Mbunge ametudanganya kama watoto, tumechoka'

    Baadhi ya wananchi katika mtaa wa Muriet kata ya Skokoni one mkoani Arusha wametishia kususia kupiga kura huku wakimtuhumu diwani wa kata hiyo na Mbunge wa Arusha mjini kwa kushindwa kutekeleza ahadi ya kujenga kivuko kinachounganisha zaidi ya kata tatu ikiwemo kata ya Muriet Sokoni one pamoja...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Wasomi Vyuo Vikuu waapa kumchagua Rais Samia kwenye Uchaguzi Mkuu 2025

    Wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati nchini wameeleza dhamira yao ya kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwa ajili ya kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais. Wamesisitiza kuwa kwa umoja wao, hawatapigia kura chama au vyama visivyo na malengo mahsusi au dira ya kuiongoza na...
  7. Nipe Maji

    PreGE2025 Rais TAHLISO: Tumieni nafasi zenu za kuwa wasomi kulinda amani kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Ndg. Geofrey Kiliba, ametoa wito kwa wanafunzi wa vyuo na jamii kwa ujumla kuhakikisha wanaendeleza amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza leo Aprili 13, 2025 jijini...
  8. GENTAMYCINE

    PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao ni Pigo Takatifu la Kisiasa kwao, ila ni Ishara kuwa kuna Mpasuko na pia hawana Washauri wazuri

    GENTAMYCINE nilidhani baada ya Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti Taifa basi asingeacha kuwa karibu na aliyemshinda Freeman Mbowe. Yawezekana kabisa kuwa Tundu Lissu alimhitaji zaidi Mbowe na baadhi ya Watu kwa Ushauri thabiti ndani ya Chama cha CHADEMA na Uhai wake. Kwa Kitendo cha CHADEMA...
  9. P

    Tanzania kuwa Zimbabwe Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Kuna wanaofurahia yanayoendelea katika maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot na ndio sababu ya nguvu kubwa iliyotumika na inayotumika kabla ya uchanguzi wa ndani wa CDM na hata Uchaguzi Mkuu na kesi zinazoendelea mahakamani. Kimsingi mtu...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Diwani Mariam Makasi: Kazi ya Rais Samia yaturahisishia kazi ya kuomba Kura Uchaguzi Mkuu

    Diwani viti maalumu Kutoka Wilaya ya Mpwapwa Mariam Makasi Amesema Kuelekea uchaguzi Mkuu Kwa aliofanya Rais Samia katika Nchi imetengeneza njia nzuri ya kuwafanya wao kutohangaika kutafuta kura Kwa wananchi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  11. N

    PreGE2025 CHADEMA; baada ya tamko la kutoshiriki Uchaguzi Mkuu, fanyeni haya

    SEHEMU YA KWANZA Salaam na heshima nyingi kwenu; Uongozi, Wanachama, Wapenzi na Wadau wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Waswahili husema; haraka haraka haina baraka, simba mwendapole ndiye mla nyama, polepole ndio mwendo lakini pia haba na haba hujaza kibaba... Kwanza...
  12. figganigga

    Wabunge wamuelekeza CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Ina Ufisadi Mkubwa

    Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
  13. Tlaatlaah

    PreGE2025 Anguko la Chadema kwenye Medani za Siasa za Tanzania hukukukiwa na mgawanyiko mkubwa kuelekea Uchaguzi, nani wa kulaumiwa?

    Chadema imejichimbia kaburi lake yenyewe na imetumbukia shimino na kujizika yenyewe. Ni upande yupi wa kulaumiwa katika mauaji haya ya kikatili kwa uhai wa chadema kisiasa? Ni G55 au ule upande wa no reform no elections? Je, ni kweli kiburi, kudeka na kutegemea huruma za wananchi, kukurupuka...
  14. N

    Kwa mtazamo wangu kwa haya yanayoendelea ni matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2019,2024 na uchaguzi mkuu wa 2020

    Kwa hili chama changu cha mapinduzi kinahitaji lawama kubwa hata kama ni uroho wa madaraka hii ni too much. Siasa zimepoa ,figisu zimezidi kushika kasi,vijana wenzangu wa chama siyo tena wale waliopikwa wakapikika,kazi yao ni kutetea tu hata mambo yasiyofaa, Ili Yanga iwe bora inahitaji Simba...
  15. Mshana Jr

    PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano. Kanuni hizo...
  16. Roving Journalist

    PreGE2025 Tume ya Uchaguzi: Vyama 18 kati ya 19 vyasaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Visivyosaini havitaruhusiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu

    Dodoma: Zoezi la Utiaji Saini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Aprili 12, 2025 https://www.youtube.com/live/BgdcX0YUdHI?si=B53f6t_tREhsGBeD Vyama 18 vya Siasa Vyasaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima, amesema kuwa...
  17. Tlaatlaah

    PreGE2025 Tetesi: G55 kuiwakilisha CHADEMA kusaini kanuni za uchaguzi mkuu kwa mujibu wa sheria za vyama vya siasa

    Zoezi hilo litafanyika katika ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi kesho juma mosi tar.12.4.2025, huku ikisemekana kwamba G55 watashiriki zoezi hilo muhimu endapo hapatakuwepo na muwakilishi wa chadema kwenye hafla hiyo ya kisheria. Una maoni gani juu ya jambo hili ndugu mdau?🐒 Mungu...
  18. A

    PreGE2025 Naibu Waziri Katimba aomba viongozi wa dini, Waumini, kuombea Taifa na Uchaguzi 2025

    Zikiwa zimebaki wiki chache kufikia Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 linaloandaliwa na Kampuni ya Msama Promotion, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Zainabu Katimba naye ametoa neno. Naibu Waziri huyo amewaomba viongozi wa dini pamoja...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Serikali yawaonya wanaotaka kufanya fujo uchaguzi mkuu

    Serikali ya Tanzania imewaonya watu waliojipanga kuleta fujo, kujihusisha na rushwa ama kuleta sitofahamu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kuwa ipo macho na haitatoa mwanya wa kufanyika hila hizo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George...
  20. figganigga

    Kamishna wa Intelijensia ya Jinai CP Charles Mkumbo: Polisi tupo timamu kwaajili ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi CP Charles Mkumbo, wakati akiwasilisha mada kwenye kikao kazi cha 20 cha maafisa habari wa Serikali kilichofanyika Zanzibar Aprili 3 - 6, 2025 alisema Jeshi la Polisi limejiandaa kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 Mkumbo alisema...
Back
Top Bottom