Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameahidi kuwa akichaguliwa hakuna mwanamke atakayelipa fedha wakati wa kujifungua.
Akizungumza leo katika Kata ya Buhanda, Kigoma, Zitto pia ameahidi kuboresha miundombinu ya barabara za kuunganisha Buhanda na mjini...