GE2025 Twaakyondo: Wanaotaka Vurugu wanatikisa tu Kiberiti

GE2025 Twaakyondo: Wanaotaka Vurugu wanatikisa tu Kiberiti

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,179
Reaction score
17,643
Mzee Paulo Twaakyondo wa mkoani Tanga, ambaye ni mwalimu mstaafu anasema wanaofikiria kufanya vurugu kwenye Uchaguzi Mkuu ujao hawatoweza, kwani amani ya nchi ndio kipaumbele cha kwanza.

Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, Mombo mkoani Tanga, Twaakyondo amesema asijaribu mtu yeyote kuivuruga amani ya nchi.

 
Back
Top Bottom