uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hanang wamchangia Rais Samia kwaajili ya kununua mafuta yatakayosaidia katika kampeni zake

    Ila uchawa umefika kiwango kisichokubalika! CCM tayari wameshakusanya bilioni 100, basi michango mingine hiyo ni gani tena? Uchawa huu mwingie hauna tija yoyote. Ingekuwa bora kama pesa hizo zingeelekezwa kwa wale wenye uhitaji maalum =============== Chifu wa Wilaya ya Hanang Jemsi Gejaru...
  2. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hali inazidi kuwa mbaya kwa yule mama yule mgombea wa kiti cha Urais chama kile cha hadaa

    Kuelekea tarehe 29.10.2025 itakuwa ni birthday ya mwamba yule anaye sadikika kuwa alufanyiwa figisu Morogoro na wana mtandao kisha kukatisha uhai wake. Jamii baada ya kutonywa na yule kijana mjanja wa shule ya uongozi wananchi wameapa kutoshiriki haramu tarehe tajwa ,siku hiyo wengi itakuwa ni...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu alivyowasili Mbagala kunadi sera, alijiona kama kashakuwa rais wa Tanzania

    Nimeitazama hii video ya Mgombe urais kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu nikabaki kucheka fulani hivi Maana jamaa amejiona tayari ameshakuwa Rais, yani ulinzi mwingi bwebwe kibao, Kweli madaraka matamu na hivi wanatembelea gari za bure basi balaa tupu!
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Petro Magoti: Oktoba 29 mkapige kura, wale wanaotaka kuandamana mtuachie sisi, hakuna hata mtu atasema fyoo

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amewahimiza wananchi kutoka Oktoba 29, 2025 kwenda kupiga kura, pia ametoa onyo kwa wale wanaodai kuandamana siku hiyo kuwa watashughulikiwa akisisitiza kwenye Wilaya yake ya Kisarawe hakuwezi kuwepo maandamano "Hakuna hata mtu atasema fyoo tarehe 29...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda aeleza Schwarzenegger atakavyoinufaisha Arusha

    Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amefafanua namna ahadi yake ya kumleta Arnold Schwarzenegger jijini Arusha itakavyotimia na Arusha kunufaika. Soma: Makonda: Nikishinda Ubunge ntamleta Schwarzenegger mwaka mpya Arusha Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 UWT yasema uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 utakuwa mwepesi kwa CCM, yaeleza sababu

    Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Zainab Khamis Shomari, amesema kuwa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu utakuwa mwepesi kwa chama hicho kutokana na maendeleo makubwa yaliyoletwa na Serikali. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Ndorobo: Uchaguzi unakuja ni lazima tuchague mtu anayetufaa

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Mahenge, Mhashamu Agapiti Ndorobo amesema kuwa kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ni vyema kuchagua Kiongozi anayefaa, na anayejali kila mmoja bila kuangalia Dini, rangi, kabila, wala utaifa. Askofu Ndorobo ameyasema hayo leo Oktoba 3, 2025 wakati akitoa...
  8. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yawatoa Waadzabe porini na kuwavalisha sare za Chama kwenye Mkutano Karatu

    Wananchi wa kabila la Wahadzabe, jamii ya asili yenye historia ya kipekee, wameonekana katika viwanja vya Madani wilayani Karatu mkoa wa Arusha wakiwa wamevalia sare za CCM na kuimba nyimbo za asili. Hivi hawa, serikali ya CCM haijauza ardhi yao kweli kwa waarabu? -- Sema CCM wakorogaji...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kaskazini haikuwa jicho la watawala, sasa tutaitazama

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wakazi wa Kanda ya Kaskazini kuwa Mkoa wa Arusha utapewa kipaumbele cha kipekee endapo ataaminiwa kuunda serikali baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yalaani waliochana mabango ya mgombea urais Samia

    Chama Cha Mapinduzi CCM Jimbo la Musoma Mjini kimelaani tukio la watu wanaotajwa kikundi cha vijana waliochana na kutoboatoboa mabango ya mgombea wao wa urais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambayo yamebandikwa maeneo mbalimbali ya Mji wa Musoma na kudai kitendo hicho hakikubaliki. Hayo yamejiri ikiwa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katalyeba: Wananchi wa Buchosa tumetosheka na kasi ya maendeleo, hatuhijaji Siasa za Ubwabwa

    Katika uzinduzi wa kampeni za udiwani Kata ya Nyakaliro, Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza, Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Sengerema na mmoja wa wasimamizi wa kampeni Jimbo la Buchosa, Comrade Boniphace Katalyeba, amewasihi wananchi wa Buchosa kuendelea kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bodaboda Mwanza wajipanga kumpokea Samia kwa kishindo

    Waendesha bodaboda jiji la Mwanza wamefanya maandamano ya amani ikiwa ni maandalizi ya kumpokea mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM DKT. Samia Suluhu Hassan. Wakizungumza Jijini Mwanza na waandishi wa habari, baadhi ya bodaboda hao akiwemo Mwenyekiti wa Umoja wa Bodaboda...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigogo wa CHADEMA adaiwa kukamatwa, RPC anafuatilia

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Viktoria kupitia kwa Katibu wake Zacharia Obadi kimedai kuwa Makamu Mwenyekiti wake wa Kanda Khalid S. Hussein amekamatwa na Jeshi la Polisi Oktoba 02.2025 Taarifa za madai ya kukamatwa kwa kiongozi huyo zilianza kusambaa kwenye mitandao ya...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchemba: Ulishawawahi kushikana mkono na mtu aliyesaini kwenye noti wewe?

    Kiongozi mkubwa kama huyu badala asimame mbele za wananchi na kueleza anawezaje kuboresha maisha ya watanzania anaanza kujisifia kuwa pesa zote wanazotumia watanzania zina saini yake. Sasa hiyo saini yako inawasaidia nini watanzania kupunguza kero zao? Hiyo saini inasaidia nini kuboresha maisha...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Olengurumwa: Amani ya nchi inalindwa kwa uwepo wa Misingi ya Demokrasia na Kusikiliza kero na Vilio vya Wananchi

    Wakili Onesmo Olengurumwa, Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), amesema kuwa msingi wa kulinda amani ya nchi upo katika kujenga na kuimarisha misingi ya kidemokrasia na usawa wa kijamii na si vinginevyo Akizungumza na mtangazaji Wilberforce Ngoto...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 ITV Kipindi cha 'Aibu yako hata wewe' hamuyaoni malori yakibeba wananchi kama mizigo kwenye kampeni za CCM?

    ITV mna hiki kipindi kinaitwa "AIBU YAKO HATA WEWE" ambacho mmekuwa mkikitumia kukemea ukiukwaji wa taratibu na sheria za barabarani unaofanywa na madereva wa vyombo mbalimbali vya usafari kutoka na hatari ya usalama wa watu na vyombo hivyo. Kwenye kampeni za CCM tumeona malori yakitumika...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi wa Jamii ya Maasai: Uchaguzi utakuwa huru na haki

    Isak Lekisongo Meigio Kiongozi wa Jamii ya Masaai Tanzania na Mjumbe wa Kamati ya Machifu Tanzania amewaondoa wasiwasi wananchi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 utakuwa ni huru na haki Amewataka wananchi wenye sifa kushiriki ipasavyo katika kuchagua...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Nyumba yangu inauzwa na bank naomba Baba Levo anisaidie

    Mama mjane anayedai kudaiwa pesa na kampuni ya benk ya nmb amezungumza na seven media akimuomba baba levo anusuru nyumba yake iliyopangwa kuuzwa kaajili ya kufiidia deni ambalo anadaiwa katika benki hiyo. Christina alikopa Tsh milioni 50 kwenye bank hiyo na kuiingiza kwenye biashara lakini...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo yaahidi kufuta kigezo cha leseni kwa wavuvi

    Chama cha ACT Wazalendo kimeahidi kufuta leseni za wavuvi endapo wananchi watawachagua wagombea ubunge na udiwani kutoka katika chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Chama hicho kimekosoa utaratibu wa wavuvi kulipia leseni wakati huohuo wakikatwa tozo ya mafuta...
  20. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi: Bandari ya Mangapwani kukamilika ndani ya miaka miwili, uchumi wa Zanzibar kuimarika

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema ndani ya kipindi cha miaka miwili ijayo Bandari Jumuishi ya Mangapwani itakuwa imekamilika kwa lengo la kuinua uchumi wa Zanzibar na kufungua fursa pana za biashara, ajira na uwekezaji. Akizungumza...
Back
Top Bottom