uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wazazi na walezi wahimizwa kujitokeza kupiga kura Oktoba 29

    Wazazi na walezi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Dabil, wilayani Babati, mkoa wa Manyara, wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, ili kuwachagua viongozi wanaowataka kwa mujibu wa haki yao ya kikatiba. Wito huo umetolewa wakati wa...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum CHADEMA, Felista Njau awakusanya Wabebaji Mizigo kumnadi Samia

    Mbunge wa Viti Maalum Mstaafu, Felista Njau, amewataka wabebaji mizigo wa Mji Mdogo wa Mbulu kuungana kumuunga mkono Mgombea wa nafasi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu ujao, akisema kuwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta za afya, biashara na utalii ni ushahidi wa...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kitila aendelea kusaka Kura nyumba kwa nyumba bila kujali mvua

    Oktoba 7, 2025, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, aliendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa katika mtaa wa Kimara Baruti, uliopo Kata ya Kimara, Ubungo, Dar es Salaam. Pamoja na hali ya mvua, Kitila aliendelea kuwatembelea waajiri wake (wananchi)...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Toka Oktoba 1 hadi 9, 2025 wametekwa watu 13! Ni karibu watu wawili kila siku!

    Salam Wakuu, Hali imezidi kuwa mbaya nchini aisee! Yaani kila siku wanatekwa watu wawili, tumekuwa nchi ya ajabu sana! Na hawa ni wale wanaorekodiwa, halafu kuna wale ambao wanapotea kimyakimya taarifa hazifiki mtandaoni! Tuendelee kuchukua tahadhari na kujilinda huku tukikosoa yanayofanyika...
  5. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Sugu: CHADEMA imekimbia kupiga kura, inashambulia Upinzani

    Wakuu, Huu ni ujumbe wa Sugu kweli?
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Zitto: CHADEMA hawataki wenyewe kushiriki uchaguzi basi waache chokochoko

    Wakuu Ni kweli kauli hii imetolewa Zitto Kabwe "CHADEMA hawataki wenyewe kushiriki uchaguzi basi waache chokochoko"
  7. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chief Kipenye wa Wamwera: Wananchi wa Ruangwa jitokezeni kwa wingi kupiga Kura Oktoba 29, 2025

    Chief Kipenye wa kabila la Wamwera ametoa wito kwa wananchi wa Ruangwa kujitokeza kwa wingi kushiriki kupiga kura Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa kila kura ni sauti ya maendeleo na umoja wa taifa letu.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Magoti: Kama unataka kuzeeka ukiwa Kiwete andamana, ntawapiga mpaka Sura iwe kama Nyama Choma ya Porini

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ametoa onyo kali kupitia comment yake Instagram dhidi ya mwananchi aliyeahidi kuandamana wilayani humo. Kupitia comment yake Instagramo kwenye post ya operesheni ya kuteketeza mashamba ya bangi katika maeneo ya mpakani mwa Kisarawe, Mafizi, Dololo na...
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Serikali ya CCM itatilia mkazo kilimo cha umwagiliaji kuinua uchumi wa wakulima

    Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo serikali za CCM zitatilia mkazo wa kuinua kilimo cha umwagiliaji. Amesema ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025/30...
  10. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: CCM kitaendelea kusimamia usalama wa kila mwananchi

    Yaani ukisikia wanavyohubiri hiyo amani hawa CCM, unabaki unashangaa tu! Kila siku wimbo ni uleule, ila kukemea utekaji uliokithiri aaah! Hivi usalama gani mnaoongelea?
  11. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mussa Zungu: Maandamano yaliyopangwa kufanyika Oktoba 29, hayatofanyika hawana ubavu huo

    Mgombea Ubunge jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amewahimiza wafanyabiashara kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29 akihimiza kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika siku hiyo hayatofanyika kwani hawana ubavu huo.
  12. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na 'watu wasiojulikana'. Aliposti video akimtaka Samia ajiuzulu

    Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aisha Madoga: Nikiwa mbunge wa Dodoma Mjini nitalitatua tatizo la ajira kwa vijana

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Bi. Aisha Madoga, amesema kuwa endapo atapewa ridhaa na wananchi, atahakikisha anashughulikia tatizo la ajira kwa vijana kwa kuongeza tija na thamani ya mazao, ikiwemo zao la zabibu. Akizungumza katika mikutano...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kibonde: Nikiingia ikulu nitanunua Bombadia 70 ili kila Mtanzania apande ajisikie raha

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde, amefika mkoani Tabora kunadi sera za chama hicho, akisema kuwa endapo watapewa ridhaa ya kuongoza nchi, wataimarisha sekta mbalimbali ikiwemo afya na miundombinu ya usafiri wa anga ili...
  15. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Babu Tale: Nitawajengea Kisima cha Maj wakazi wa Bwawani, ili kuondoa adha ya kuchangia maji na mifugo

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamisi Taletale, amesema kuwa endapo wakazi wa Bwawani, Kata ya Mkambarani, watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao, atahakikisha anatekeleza mradi wa kuchimba kisima cha maji ili kuondoa adha...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Bila dhamana ya Viza Watanzania marufuku kuingia Marekani kuanzia 23 Oktoba 2025. Serikali nao watoa tamko

    GT Haya sasa mapambazuko yanaendelea, watanzania tunaonekana kwa sasa ni viumbe hatari tusioaminika huko duniani. ================ KUHUSU UAMUZI WA SERIKALI YA MAREKANI KUIWEKEA TANZANIA MASHARTI YA DHAMANA YA VIZA (VISA BOND) Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuuarifu umma...
  17. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi utafanyika kwa Amani na Rais Samia atashinda na kuapishwa na ataongoza Taifa letu katika Hali ya Amani na utulivu kabisa hadi 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaambieni ya Kuwa Uchaguzi utafanyika katika mazingira ya amani ,utulivu na usalama wa kutosha kabisa pasipo bughudha wala vurugu ya aina yoyote ile kutokea. Lakini pia Mama yetu Mpendwa ndiye atakaye shinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdulrahman: Hakuna Vyama Pinzani Bali kuna Taasisi za watu

    Aliyewahi kuwa Katibu wa CUF Mkoa wa Tanga Abdulrahman Hassan Amesema Chama cha Mapinduzi CCM, ndio chama pekee kinachoweza kuleta maendeleo nchini Tanzania huku akielezea historia yake na Vyama vya siasa vya upinzani Nchini Amesema hayo leo Oktoba 8, 2025 katika mkutano wa kumnadi mgombea...
  19. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo: CCM ipo kama kiini macho, haina makosa wananchi ndio wenye makosa

    Mgombea urais kupitia CAF Gombo Samandito ametema cheche akiwa pale wasafi ni balaa tupu
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fanya hivi ili usidakwe kirahisi na 'wanamtandao' wanapokutafuta kupitia Instagram

    Wakuu, Jamaa kaelezea kwa lugha rahisi huku ukiwa unaona jinsi watu wanavyoweza kukudaka ukiwa umeachia sehemu ya location kutumika kwenye mtandao Instagram. Fuata maelekezo, jilinde. Mbali na hili, tofauti na biashara acha kupenda kupost maeneo unayopenda kutembelea au unapopoa mara kwa...
Back
Top Bottom