uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Busega: Waacheni waseme, maendeleo aliyoyafanya Samia tunayajua sisi

    Kumbe kwao mambo safi! Au uchawa wa kupewa 2000 wanajiona wamemaliza shida zao? ==================== Wananchi wilayani Busega wameeleza kuwa wanafahamu kazi kubwa iliyofanywa na mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Dk Samia Suluhu Hassan hivyo hawadanganyiki na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jasper Sabuni: Baada ya OKtoba 29, naiona ACT- Wazalendo ikishirikiana na CHADEMA na kushiriki kikamilifu kuisafisha nchi hii iliyochafuliwa

    Akiwa katika Mahojiano na The Chanzo Mjumbe wa Sekretarieti ya Ilani ya Chama cha ACT-Wazalendo Jasper Sabuni ameelezea maono yake juu ya uelekeo wa ACT- Wazalendo baada ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025 " Naiona ACT ikiunganisha nguvu na vyama vingine hususani Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanawake wa Rufiji wakigaragara chini kumpokea Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Vituko vinaendelea huko! Pesa zinasakwa jamani kwa kila njia Yani unajidhalilisha kisa mtu ambae akitoka hapo akukumbuki tena. Ni Huzuni kwa kweli =========================== Wanawake wa Rufiji wakigaragara chini kwa furaha wakati wa mapokezi ya mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Pato la wavuvi limefikia Bilioni 38.400 kutoka bilioni 9.400

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kwa miaka mitano iliyopita, serikali ya awamu ya sita imefanikiwa kuongeza pato la Wavuvi kutoka Shilingi Bilioni tisa na Milioni mia nne hadi kufikia Shilingi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Msiwape Kura wapinzani watawapoteza, Ukimpa Jimbo asiye CCM anaenda kuongea na nani? anaenda kumwomba barabara nani?

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Wilaya ya Bunda kutafakari kwa makini kabla ya kufanya maamuzi ya kisiasa, akisisitiza kwamba uongozi wa nchi unahitaji uzoefu na uwezo wa kusimamia masilahi ya...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Nikiingia bungeni moto utawaka, nitapiga spana watu mpaka kitaeleweka

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema endapo atashinda uchaguzi na kuingia bungeni, ataweka nguvu kubwa katika kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2025–2030. Makonda amesema anatarajia kutumia nafasi hiyo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Hassan Kabeke: Yeyote atakayetaka kuvuruga amani na utulivu wa nchi hii teremsha Malaika wako wamchukue wampoteze

    Ila Sheikh amejua kushusha na kupangilia dua na kuzingatia maslahi, amesahau tu kusema watekaji na mafisadi nao wachukuliwe na Shetani waende motoni 😂 😂 😂 ------------- Sehemu ya dua kutoka kwa Sheikh Hassan Kabeke wakati wa mkutano wa Kampeni za Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Samia usibabaishwe na chokochoko za wachache Mtandaoni

    Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira, amesema wanaofanya chokochoko si wananchi wote, bali ni watu wachache wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii. Amesema Rais Samia ametekeleza majukumu yake kwa muda mfupi kwa mafanikio makubwa, na kumsihi asibabaishwe na kile alichokiita “chokochoko...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa!

    "Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa" Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu akiwaambia mawakili wake leo baada ya mapumziko mafupi mchana wa leo.
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Tutahakikisha Kampeni zinafanyika kwa amani kwa kushirikisha wananchi ili kuzuia uhalifu

    Wakuu Mikakati ya Jeshi la Polisi na Amiri Mkuu wa Jeshi mmeielewa? ------------- Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime, amesema jeshi hilo limejiandaa vizuri kuhakikisha katika mchakato mzima wa uchaguzi, linakuwa na mikakati thabiti ya kuhakikisha amani, utulivu na usalama...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge (CCM) Kibaha Vijijini, Hamoud Abuu Jumaa akiruka Kamba wakati wa kampeni akiwaomba wananchi ridhaa uchaguzi Oktoba 29

    Mjumbe wa halmshauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (Wazazi) - MNEC na mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha vijijini, Hamoud Abuu Jumaa akionyesha umahiri wake wa kufanya mazoezi ya kuruka kamba kwa wananchi Tukio hilo ni moja ya sehemu ya kufurahi pamoja na wananchi na wanachama wa chama cha...
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masalakulangwa kiongozi wa Wazee: Wanaoleta fujo wakaa pembeni, tunataka amani

    Charles Masalakulangwa ambaye ni Kiongozi wa Wazee wa Mkoa wa Mwanza amewataka Wananchi wenye nia ya kuharibu Uchaguzi kuacha kufanya hivyo badala yake wawape fursa wananchi kuiweka madarakani Serikali wanayoitaka. Aidha, amesema nchi yetu inahitaji amani na mshikamano, hivyo kuwataka wananchi...
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyoyaahidi Yeriko Nyerere kwenye kampeni za mtaa kwa mtaa kusaka kura

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Yericko Nyerere, amefanya kampeni za aina ya kipekee alizozitaja kuwa “Mobile Campaign”, akiwafuata wananchi walipo na kuhutubia mikutano ya hadhara akiwa njiani bila kutumia jukwaa rasmi, huku akipata...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: Mgombea Ubunge (CCM) Morogoro Kusini Mashariki, Babu Tale agawa Kitenge na yeboyebo kwenye Mkutano wa Kampeni

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) hapa mmefumba macho hamjaona kilichotokea ila kazi ni kushinda kutuma tu meseji kwa wananchi kupambana na rushwa, ajabu hadi Polisi wapo hapo wanachekelea kwenye picha wamesahau wajibu wao :FeelsWeirdMan: -------------- Mgombea Ubunge Jimbo la...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Watu wanapotekwa hamuimarishi ulinzi ila siku ya uchaguzi mnasema mtaimarisha ulinzi!

    Kesi za watu waliotekwa na hao watekaji mnayo lists nzima maana wanafahamika ila hamjawahi kuchukua hatua yoyote, watu wanafanyiwa vitendo vya kinyama na wafanya vitendo hivyo mnawafahamu ila hamjawahi kuchukua hatua yoyote. Mnakazana kuwazima watanzania wasizungumzie ukweli, mnawekeza nguvu...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tulipoingia tukamkuta Mzee Nnauye Kamati Kuu, akasema eeh, Karume kaleta haya mapapai! Kwahiyo, ningezubaa kidogo ndiyo hivyo tena

    Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, Septemba 24, 2025 aliwasimulia wananchi wa Mtama, mkoani Lindi, namna alivyoingia Kamati Kuu ya chama hicho baada ya kukutana na baba yake Nape Nnauye. “Lakini mama huyu ana mwanawe anaitwa Nape Nnauye… ngoja niwapeni...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askari wahimizwa kulinda amani wakati wa uchaguzi mkuu

    Mkuu wa Operesheni Mkoa wa Dodoma, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Daniel Bendarugaho, amewataka askari wa vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan wakati wa uchaguzi. Amesisitiza kuwa jukumu lao ni...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa dini waeleza kuridhishwa na usalama wa nchi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum, amesema kuwa kwa tathmini waliyoifanya viongozi wa dini katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, amani na usalama vimepewa kipaumbele. Amesema viongozi wa dini...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM, Baraka Shamte: CCM lazima imsaidie na kumtetea Rais Samia kwa huu unafiki, usaliti na propaganza zinazoendelea Mitandaoni

    kada wa chama cha mapinduzi (CCM), Baraka shamte amewataka chama kimsaidie Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hssan katika kumsafisha kwa propaganda zinazotokea kwenye mitandaoo ya kijamii Chanzo: Mnana TV
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Kuna umuhimu gani wa kuniambia nijitokeze kupiga kura wakati mtu hana Mpinzani? nchi nzima Mabango ni ya kijani

    Wakuu, Tusipuuze maoni ya Mdau mwenzetu, hili swali lipo wazi kabisa maana hata hivyo vyama vingine vinavyodai kushiriki uchaguzi sijui Kampeni zao zimeishia wapi? Nchi nzima ni 'Kazi na Utu' na rangi ya kijani 'Mitano tano' AAFP. UMD, NLD na CHAUMMA ni muda sasa hatuwasikii
Back
Top Bottom