uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Alhad Mussa: Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano

    Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia? =============== Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mazinge: Tusubiri maandamano yatakuwepo siku moja tuu, ambapo itakuwa siku ya kiama

    Kuna tetesi tesi kuna watu wanataka kuandamana ili watu wasipige kura, nataka nikuhusieni kama kuna ndugu yake au kijana wake basi amwambie aache kwa sababu haifai, Tusubiri maandamano yatakuwepo siku moja tuu ambapo siku ya kihama tutakuwa na maandamano ya watu wote, yatawahusu Waislam...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Machifu Simiyu: Wananchi jitokezi kupiga kura Oktoba 29, 2025

    Machifu wa Mkoa wa Simiyu wamewataka Wananchi wenye sifa ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua Viongozi wanaowataka. Wamesema amani ndiyo msingi wa Taifa la Tanzania, hivyo wananchi wote wanapaswa kuilinda.
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh: Wale wahuni wanaotaka kuandamana wakaombe kibali Serikalini

    Ndugu Shekhe mishipa imemsimama kuzungumzia maandamano! Kwahiyo kutakuwa na maandamano ya upande wanaiunga mkono serikali na wale wanaopiga uchaguzi! Hayaaa!! =============== Wale wahuni wanaotaka kuandamana wakaombe kibali Serikalini huo ndio utaratibu wa maandamano kwa Tanzania na Dunia...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kunje Ngombale Mwiru: Kwa takribani siku 40 za kampeni, nina uhakika wa kushinda kwa asilimia 75 Urais wa Tanzania

    Mgombea Urais wa Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema baada ya takribani siku 40 za kampeni, anadhani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kuna uwezekano wa kushinda kwa asilimia 75. Kauli hii aliitoa mkoani Dar es Salaam katika mkutano na waandishi wa habari.
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkomi: Watumishi wa umma tujitokeze kwa wingi siku ya Oktoba 29 kwenda kupiga kura

    Hapa naweza kusema ni kama imetoka oda fulani kwa watumishi wote wa Umma. Na kuwaza kwa ndani kabisa inawezekana ikawekwa lokoo watakapiga kura na wasio piga kura halafu wasiopiga kura kitawalamba! ================= Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkulima: Tukicheza na Amani tutavuna maumivu mazito na hakuna atakayebaki salama

    Haya mkulima! Hodari ================ “Tukicheza na Amani tutavuna maumivu mazito na hakuna atakayebaki salama, tusishawishike, tusirubuniwe, hakuna mbadala wa amani yetu, amani yetu ni tunu. Sote tunapaswa kuilinda kwa wivu mkubwa “-Mkulima kutoka Mwanza.
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mkuu wa Tanzania Dr Abubakar: Oktoba 29 jitokezeni kwa wingi kupiga kura

    Sheikh uchaguzi huu hadi sasa ni haramu, je unalifahamu hilo. Lakini hali si nzuri watu wanatekwa sana sijasikia ukilisemea au halina umuhimu kabisa? ==================== Waumini wa dini ya Kiislamu kutoka Halmashauri ya mji wa Makambako wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi mkuu...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana waonywa kuepuka matusi mitandaoni kipindi hiki cha uchaguzi

    Kufuatia uwepo wa baadhi ya vijana kutumia vibaya mitandao ya kijamii wakati huu wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais kwa kutoa lugha za matusi, vijana hao wameonywa kuacha tabia hiyo kwa kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kukumbuka uwepo wa sheria ya matumizi mabaya ya...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Mwenza NCCR-Mageuzi: Wakulima watapanga bei ya mazao yao bila kuwepo bei elekezi

    Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Evaline Munisi, ameahidi kuwa serikali itakayoundwa na chama hicho itawapa wakulima uhuru wa kujipangia bei ya mazao yao, bila kuwepo kwa bei elekezi kutoka serikalini. Akizungumza leo Oktoba 9, 2025...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Profesa Kitila: Wakati wa uchaguzi kama huu, maneno maneno lazima yawepo, lakini mama Samia yupo imara

    "Wakati wa uchaguzi kama huu, maneno maneno lazima yawepo, lakini mama yupo imara, amestahimili, kwa dua zenu Mungu pia hatamuacha, atasimama naye na tutavuka salama tarehe 29 Oktoba na nchi yetu itasonga mbele" -Prof. Kitila ‎Prof. Kitila ameeleza hayo Oktoba 09.2025, kwenye kongamano la dua...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Leo mumeniangusha hamjaijaza Mahakama

    Huyu jamaa anaga kupinda yani anapasua hapo hapo! Inawezekana pia watu wengine wanaogopa kupigwa na hao polisi ambao wamegeuka maadui kwa Watanzania =================== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu wakati akitoka katika kizimbani cha Mahakama Kuu...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Reli ya SGR na kuupanua uwanja wa ndege wa Mara, kutaleta mageuzi ya kiuchumi

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ikiwa atapewa nafasi ya kuunda serikali kupitia uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, atauendeleza na kuupanua uwanja wa ndege wa Mara ili kuufanya kuwa na uwezo...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkoba wa CHADEMA atambulishwa rasmi kuwa mwanachama wa CCM, asema ''siko tayari kuongoza jeshi la watu walemavu''

    Aliyekuwa Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Paul Mkobe Nzagamba amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha mapinduzi CCM leo Oktoba 08,2025 katika mkutano wa kampeni za Mgombea nafasi ya Urais kupitia chama hicho uliofanyika jijini Mwanza Dkt. Samia amempokea Mwanasiasa huyo...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto azisaka kura kwa wafanyabiashara wa Kasulu

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimwombea kura mgombea Ubunge wa jimbo la Kasulu mjini kupitia Chama hicho, Martina Mturano, kutoka kwa wafanyabishara wa soko kuu la mjini wa Kasulu, Kigoma leo Oktoba 08, 2025. Soma pia: Tazama mwitikio wa wananchi wa Kasulu katika kongamano la...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Uendeshaji wa nchi, hakuna majaribio, CCM ndio yenye uzoefu

    Naona kama Samia anawatisha wapinzani wake! Hata hao wapinzani wanauwezo wa kuongeza nchi na kupata uzoefu na kuleta maendeleo makubwa kwenye nchi Mbona wale CHADEMA mnawaletea figisu kila kukicha? Kama nyinyi mnajiona mnauzoefu, wekeni mpira kati kila mtu ashinde mechi zake sasa...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa: Wananchi wa Rufiji wanakwenda kwenye Uchaguzi bila hofu kutokana na Maendeleo yaliyofanyika Jimboni humo

    Mkwe wa Samia naona anavyoendelea kuwaada wananchi wa Rufiji ============ Mgombea Ubunge wa Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Mohamed Mchengerwa ameweka wazi kuwa Wananchi wa Rufiji wanakwenda kwenye Uchaguzi bila hofu kutokana na Maendeleo yaliyofanyika Jimboni humo. Mchengerwaameeleza...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnes Marwa: Samia sio tapeli tumethibitisha hilo

    "Nasimama mbele yenu ndugu zangu kwa heshima na taadhima naombeni kura zenu zote kwa Mama yetu Samia Suluhu Hassan, ni mwanamke aliyetuheshimisha wanawake. Mama Samia sio fisadi, Mama Samia sio mwizi na ndio maana wanawake wa Mkoa wa Mara tunathubutu kusema mitano tena inakustahili Mama. ...
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini na Wananchi Dodoma wasisitiza umuhimu wa Amani kwa Maendeleo ya Taifa

    Kuelekea kwenye Zoezi la uchaguzi Mkuu wa Tanzania Jumatano ya Oktoba 29, 2025, Viongozi wa dini, kijamii pamoja na wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameungana pamoja kuhimiza amani, wakiitaja kama rasilimali muhimu kwa maendeleo ya Kijamii, kiuchumi, Viongozi wa dini wakisema amani ndiyo Neema muhimu...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kangi Lugola: Mama Samia sio nguvu ya soda kwenye maendeleo

    Mgombea Ubunge Jimbo la Mwibara kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kangi Lugola amesema kuwa wanaodhani kuwa Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan sio Nguvu ya soda katika Maendeleo ya wananchi Kangi ameyasema hayo Leo kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni...
Back
Top Bottom