Vijana wametakiwa kuitunza amani ya taifa na kufuata siasa safi isiyokuwa na matusi ikiwa ni njia ya kumuenzi hayati baba wa taifa Mwalimu Julias Nyerere.
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir Ali amewataka Waislamu na Watanzania kwa ujumla kuhubiri na kulinda amani ya nchi, akisisitiza kuwa amani ndiyo msingi wa Uislamu na maendeleo ya taifa.
Akizungumza katika mkutano wa viongozi wa dini mjini Makambako, Mufti Abubakar...
"Tumedhamiria kufanya kazi. Tumefanya kazi mmeiona na tunajiamini kwamba tutaweza kufanya tena kazi kipindi cha pili cha awamu ya sita, kazi ya kuonekana kwamaana hiyo niombe mtuchague Chama Cha Mapinduzi
“Na hapa niseme ndugu zangu ili niwatoe hofu, kuna watu wanatishatisha ili kuwafanya watu...
Tarehe 26-28 watakamatwa viongozi wote wa Upinzani!
Watu wenye influence kwenye Jamii
Watafungiwa Kigamboni na Kivule hadi Uchaguzi wao feki uishe! Wanaogopa maandamano, ni maelekezo tayari wametoa.
My take:
Hawa jamaa wamepanick, kukamata hao watu ni sawa na kwenda kuchochea moto zaidi...
Familia ya Katibu wa Chama cha ACT Wazalendo mkoa wa Kigoma ambaye pia ni mgombea udiwani wa kata ya Kibirizi, Yunus Ruhomvya, imedai kuvamiwa na watu wanaodaiwa kuwa askari polisi usiku wa kuamkia Oktoba 9, 2025, katika makazi yao yaliyopo eneo la Kibirizi mkoani Kigoma.
Kwa mujibu wa mke wa...
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Cecilia Paresso ametoa wito kwa wananchi wa Rufiji kumpigia kura mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi kwani viongozi hao watapochanguliwa watajenga taifa lenye mshikamano, umoja na maendeleo kwa wote...
Jeshi la Polisi kupitia Msemaji wake DCP David Misime amesema wamesambaza askari zaidi ya 3,900 Tanzania Bara na 388 Zanzibar ili kutoa elimu ya Matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii.
Soma pia > DCP Misime: Serikali imetuwezesha vifaa vya kuwashughulikia wanaohamasisha uhalifu
Amesema wazazi...
DODOMA: MAKAMU Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Peter Mavunde, amewasihi Watanzania kudumisha amani na utulivu wa taifa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Ametoa rai hiyo Jijini Dodoma wakati taasisi hiyo ilipotembelea miradi ya kimkakati inayotekelezwa na...
Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.
Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza suala la mshikamano na umoja miongoni mwa watanzania pamoja na kuachana na imani, tamaduni na mila zenye kuwakandamiza wanawake na kuamini kuwa hawafai...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa mchakato wakupata Katiba mpya utakaika katika kipindi cha awamu ya sita.
Soma pia: Samia: Tutaendeleza mchakato wa Katiba Mpya kama ilivyo katika ilani yetu ya CCM
“Pamoja...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Uwanja wa ndege Mugumu Serengeti kama sehemu ya kutimiza adhma ya Chama Cha Mapinduzi ya kufikisha idadi ya watalii Milioni nane wanaoitembelea Tanzania kwa mwaka kufikia...
Wakuu,
Sasa wameona iwe ni mwendo wa kuzunguka kwenye Vijiwe kutoa elimu ya umuhimu wa kulinda amani ya nchi,, kumbe inawaumiza kichwa tuendelee kukaza waku hadi kieleweke wamezoea sana hawa CCM
Tusirudi nyuma mpaka haki ipatikane kwenye nchi hii
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, amesema kuwa Serikali imeviwezesha vyombo vya ulinzi na usalama vifaa vya kutosha na vya kisasa kwa ajili ya kukabiliana na watu wanaopanga au kuhamasisha vitendo vya uhalifu nchini.
Soma: DCP Misime: Tuwakemee...
Chifu wa kabila la Wazanaki na Mwenyekiti wa Ukoo wa Burito ulio Ukoo wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere amesema kwaniaba ya Machifu wenzake na Ukoo wa Berito wanaridhika na uchapakazi wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi...
Mgombea wa nafasi ya Ubunge kwenye Jimbo la Butiama Mkoani Mara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Wilson Mahera amesema Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza ndoto na maono ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa kujenga Chuo cha Kilimo Butiama Mkoani Mara ambapo takribani...
Kuelekea uchaguzi mkuu unaofanyika oktoba 29, 2025, Mgombea nafasi ya urais kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) Samia Suluhu Hassan siku ya jana oktoba 9, 2025 akiendelea na kampeni za kusaka kura Mkoani Mara amesisitiza kuwa wananchi wasidanganyike, hakuna majaribio ya kuiongoza nchi. Ameongeza...
Wakuu tangu majuzi siku ya tarehe 07 Oktoba, 2025 siku ambayo Jakaya Kikwete amezaliwa kumeibuka ukimyaa sana kuhusu yeye, hatumuoni tena kwenye mikutano ya kampeni za CCM zinazoendelea za kusaka kura kama alivyokuwa akionekana awali kwenye mikutano hiyo.
Sasa tuhesabu nini hapo, Mola anataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.