Mgombea Ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Masanja kadogosa amesema kazi kubwa aliyoifanya Mgombea wa Urais kupitia chama hicho, dk Samia Suluhu katika mikoa ya kanda ya ziwa hana haja ya kuongea sana kwasababu kazi aliyoifanya akiwa madarakani imetosha...
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanga na Naibu Waziri, Ofisi ya waziri Mkuu (Kazi, Vijana na watu wenye ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amesema ndani ya miaka minne ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita mapinduzi makubwa yamefanyika kwenye uwezeshaji wananchi...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na wingi wa watu waliyojitokeza wakati wa alipoingia Shinga ikiwa ni muendelezo wa Kampein kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
"Uchaguzi huu wa Oktoba 29, 2025 ni uchaguzi wa kufanya maamuzi kati ya Maisha halisi na anasa, wapo wanaojadili anasa wakitaka ndio ziwe ajenda za uchaguzi kwamba haki na uhuru wetu umeondolewa kwasababu hakuna Twitter, sisi huku Vijijini tunaelewa maana ya hatua unazozichukua.
... Niwaombe...
Maria Paulo Mkazi wa Maswa akielezea furaha yake baada ya ombi lake la kupiga picha ya selfie kukubaliwa na Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyewasili mapema leo kwa ajili ya mkutano wa Kampeni.
Bi. Maria alifikisha ujumbe huo kwa njia ya maandishi yaliyochorwa...
Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa Urais wa Tanzania, akizungumza Maganzo, Kishapu Mkoani Shinyanga leo Jumamosi Oktoba 11, 2025 alisema:
"Ilani niliyomkabidhi Mgombea Ubunge ni ya Kitaifa na ya Mkoa na Madiwani pia nimewapa Ilani ndogo za Mkoa wa Shinyanga. Ombi langu msiende...
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi
uahairishwe kwaajili ya kupisha marekebisho ya katiba wajitokeze kufanya mdahalo nae.
Makonda amesema " Kama kuna watu wanajiamini kwamba wanazo hoja za nguvu juu ya mambo ya katiba tufanye mdahalo...
Waziri wa Maji na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Pangani Mkoani Tanga Mhe. Jumaa Aweso amesema dhamira ya Dkt . Samia Suluhu Hassan ya kutoa maji ziwa Viktoria ili kuhudumia wananchi wa Mkoa wa Shinyanga yalikuwa maamuzi sahihi na ya kupongezwa kutokana na namna ambavyo mradi huo wa maji umekuwa na...
Kikosi cha 830 JKT Kibiti, Kanali Mohamed Mruma akiwa na Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mwampashe ambaye ni Kaimu Operesheni Ofisa wameongoza mazoezi ya pamoja ya vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Kipolisi Rufiji kwa kufanya matembezi ya ukakamavu katika barabara kuu ya Kilwa - Dar es...
Mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini Paul Makonda yupo mkoani Shinyanga kusaka kura za mgombea mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan je, unadhani jimbo la Arusha Mjini halina kero?
Mdau ameandika....
"Arusha kero zenu tumeni kwenye mitandao mgombea ubunge akizipata ata like huko huko"
Mgombea ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini, Masanja Kadogosa akizungumzia swala la kulinda amani hasa katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania tarehe 29 mwezi wa 10 mwaka 2025
Kadogosa amesema swala la kelele za mitandao ya kijamii lilikuwepo tangu wakati wa viongozi wa nchi...
Kada wa CHADEMA aliyekuwa na tuhuma za kushusha mabango ya wagombea mkoani Kagera amefikishwa mahakamani kwa kosa la wizi wa ng'ombe kwa kutumia silaha.
Hayo yamesemwa na Wakili Gaston Garubindi akiongeza kuwa wamejipanga katika kesi hiyo.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega, amesema ujenzi wa viwanda unaoendelea wilayani Mkuranga tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani umeiongezea thamani na kwamba mambo matatu yakifanyika itapaa zaidi.
Akizungumza katika mkutano...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko amesema mpango wa kuingia Chama Cha Mapinduzi(CCM)alikuwa nao muda mrefu tangu wa wakati wa Serikali ya awamu ya Nne ya Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho kikwete
Matiko ameyasema hayo Musoma Mjini Mkoani Mara wakati akihojiwa na Wasafi Media...
Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini, Amir Hamza, amemnadi Mgombea Urais wa CCM Dkt.Samia Suluhu Hassn, huku akisisitiza umuhimu wa wananchi kutumia haki yao ya Kidemokrasia kuwachagua viongozi bora kuanzia ngazi ya Madiwani, Wabunge hadi Rais, ili kuhakikisha taifa linaendelea kupata...
Wakuu,
Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad akizungumza kwenye Maulid ya mtume Temeke Azimio kuhusu umuhimu wa kushukuru na kuuishi uislamu alisema:
"Hakuna asiyekuwa muislamu akafanya maandamo, hayupo. Msiende mkapigiwa mpira wa karatasi ndani una jiwe. Usiende, sisi sio watu wa...
Makamu Askofu Mkuu wa makanisa ya FPCT nchini Elias Simon ametangaza siku tatu za ibada ya kufunga na kufanya maombi maalumu kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais ,Ubunge na Udiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu,
Huku akiwataka waumini wa madhehebu mbalimbali ya kikristo hapa nchini...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa wito kwa wananchi wa jimbo la Buhigwe kumchagu Mgombea ubunge wa jimbo hilo Frank Ruhasha ili mkoa wa Kigoma uwe na wabunge wengi jambo ambalo anaamini litamfanya kuacha kuwaza ubunge badala yake afikirie kugombea Urais mbeleni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.