Mgombea wa urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, Jumamosi Oktoba 11,2025 katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyikwa uwanja wa Kivumbi Jimbo la Amani, Mkoa wa Mjini Magharibi ameonya kwa kusema "Hatuwezi kukubali kupata rais wa nchi yetu kwa njia...
Clip inajieleza wazi:
Video hii inaonyesha baadhi ya wanaCCM walifika kwenye moja ya mkutano wa kampeni za mgombea urais wa chama hicho ambaye ni Samia Suluhu Hassan, wakiwa wanafutana kana kwamba walikuwa wagigombania kitu fulani hapo.
Hali hiyo ilimfanya rais Samia kutoa maagizo hapo hapo...
Kupitia ukurasa wake wa X Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ameandika
"Amani haibubiriwi inakuja yenyewe ukitenda haki..
Amani ni mazao ya haki, unakata mti wa haki alafu Unataka Matunda yake ambayo ni Amani!!!! Wewe utakua hauna akili.
Mnaongea sana, mtaongea wote lakini bila...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Baba Levo, amekishutumu chama cha ACT Wazalendo kwa kuonyesha dalili za kushindwa katika uchaguzi, na kujaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi.
Katika andiko lake, Baba Levo amedai kwamba wafuasi wa ACT wameiba mali za CCM, kuharibu bendera na mabango ya...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imeanza ujenzi wa uzio ndani ya Ziwa Victoria kwa lengo la kudhibiti mamba ili kuwalinda wananchi wanaotumia ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali.
Akizungumza leo, Jumanne...
Mgombea wa urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amewataka Wazanzibari kuwapima viongozi kwa vigezo mbalimbali ikiwemo kujali maslahi ya wananchi anaowaongoza.
“Mkitaka kupima kiongozi, mpime kwa kiasi hicho au kwa vigezo hivyo, maslahi makubwa ya...
"Sisi Tunakula Sadaka, Maisha Yetu ni Sadaka”
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Victoria Joseph wa Life Center International Bible College pamoja na wengine wamesema kuwa wao kama viongozi wa dini, endapo amani itatoweka kutokana na kelele za mitandaoni, watakosa sadaka.
Wakizungumza na waandishi wa...
1. Abadili katiba itakayomfanya atawale mpaka azeeke awe kikongwe, maana support hiyo anayo, ili aendelee kutuletea maendeleo.
2. Awatoe wa bara wote waliopo zanzibar, maana hao watu wanadamu yenye unafiki na uoga ili yasije yakawambukiza wazanzibar.
3. Apandishe gharama ya umeme.
Unit moja...
Baraza la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake wa kufunga kwa maombi kuanzia Alhamisi ya Oktoba 23, 2025 hadi siku yatakapotangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.
Akizungumza wakati wa Kikao cha...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama ameahirisha shughuli za kampeni kwa muda wa saa 2 ili kuungana na wananchi wa Kijiji cha Mdunduwalo katika Kata ya Maposeni kushiriki kwenye ibada takatifu ya ndoa ya Bw. Edwin Haule na Maria Bura iliyofanyika katika Parokia ya Mdunduwalo...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali itaendelea na ujenzi wa miundombinu ya skimu za umwagiliaji maji ili kuongeza uzalishaji wa kilimo cha...
"Mhe. Rais wewe kama uwaridi unayo miba ambayo ni sheria nzuri, kanuni, taratibu, mila na desturi ambapo pale ulipotaka kuonesha waridi lako kwa kuweka 4R walipotaka kukuchokoza waliishia kwenye mikono ya sheria.
Wewe kama ua zuri ulipotaka kuweka demokrasoa na uwanja sawa wa siasa wale ndugu...
Shirikisho la vyama vya wachimbaji wa madini nchini Tanzamia (FEMATA), lenye wanachama takribani Milioni sita, limeahidi kura zote kwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakishukuru kwa maboresho na uwezeshaji mkubwa wa sekta ya madini pamoja na...
Wakuu,
Safari hii polisi karibu kila siku wanaonekana barabarani wakifanya 'mazoezi' na kujiweka fiti, yote haya ni kujiandaa kukabiliana na wananchi watakaoandamana siku hiyo, pamoja na kuwatisha ofkoz, kuwa msisubutu kwani tutakuwepo barabarani kuwakabili.
Wakati polisi wakiendelea na...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ADA -TADEA, Georges Bussungu amesema ikiwa Watanzania wanataka kuandamana waandamane kifikra wakapige kura ili wapate mabadiliko wanayoyataka.
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
Mgombea Urais alipowaamuri Askari kuwashughulikia baadhi vijana waliokuwa wakileta fujo/ kuwasukuma wenzao kwa makusudi kwenye kampeni za mgombea urais kupitia CCM maeneo ya Serengeti mkoani Mara.
==============
Panic button ipo ON 🚨 🚨 🚨 🚨 Hao watatoka jumatatu au baada ya tarehe 29
Mgombea Udiwani kata ya Kidongochekundu Manispaa ya Tabora Mateleka Feruzi kupitia Chama cha Mapinduzi CCM akiongea katika mkutano wa Kampeni katika kata hiyo uliofanyika leo Oktoba 5,2025 amsema kuwa endapo akichaguliwa kuwa Diwani wa kata hiyo Wananchi watachota Maji bure kwenye Gati la Maji...
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi Hawa Mwaifunga leo Oktoba 7,2025 ameendelea na mikutano ya Kampeni kusaka kura za kuwa Mbunge wa Tabora mjini.
Mwaifunga akiwa katika kata ya Uyui amewataka Vijana kuchangamkia fursa za ajira katika viwanda ambavyo vitajengwa...
Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini kuptia chama Cha Mapinduzi CCM Paul Makonda amemhakikishia Mgombea urais kupitia cha hicho kuwa Oktoba 29 hakuna maandano na atapewa kura zakutosha.
Makonda amesema " Wananchi wa vijiweni wameniomba kwamba sasa hivi achaneni na habari ya kutokupiga kura...
Mgombea Urais kupitia Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo ameutaja mfumo wa elimu ya Tanzania kuwa ni usio na maslahi kwa wananchi wake.
Doyo amezungumza hayo akiwa katika muendelezo wa kampeni zake Mkoa wa Rukwa katika Wilaya ya Sumbawanga Leo Oktoba 11, 2025 akisema mfumo huo unamfanya mwanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.