PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 419
- 553
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Samia Suluhu kwenye kampeni Bukombe ameahidi kuwa; "Tunakwenda kuinyanyua sekta ya maziwa [Bukombe] lakini pia kuweka viwanda vitakavyochakata maziwa ili maziwa yawe bidhaa na wafugaji wale waweze kuuza bidhaa fedha iingie mfukoni na maisha yaendelee. Hiyo ndiyo kazi na utu."