Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, John Malecela, amewaasa Watanzania kudumisha amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa hakuna kitu cha thamani zaidi ya amani.
Pia, Malecela amewataka wananchi waendelee...