uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Nchimbi: Mgombea aliyeshinda kura za maoni apewe kipaumbele cha kuteuliwa au kupendekezwa na vikao

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeelekeza kuwa katika mchakato wa uchujaji na uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, mgombea aliyeshinda kura za maoni apewe kipaumbele cha kuteuliwa au kupendekezwa na vikao husika ili mchakato uendelee. Kwa mujibu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 NCCR Mageuzi: Reforms zimeshafanyika, uchaguzi utafanyika

    Chama cha NCCR-Mageuzi kimefanya uchaguzi wake mkuu na kumchagua Evaline Munisi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Katika uchaguzi huo uliofanyika leo, Machi 30, 2025, katika Ukumbi wa St. Gaspar jijini Dodoma, Evaline Munisi alipata kura 34, akimshinda Saganda...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia amesema 'kama uchaguzi wa Oktoba 29 haukuhusu ni bora ukabaki zako nyumbani'

  4. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania GE2025 TEC: Ewe Mungu, Tuma Roho wako, afanye upya uso wa Nchi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania , TEC, Askofu Wolfgang Pisa Muhtasari wa habari Kibwagizo cha ujumbe wa Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) katika Sala na Mafungo ya kuombea haki na amani yatakayofanyika siku ya tarehe 23 Agosti 2025, kitakuwa tamko kwamba "Haki na amani ni pande...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Coaster Kibonde achukua fomu ofisi za INEC

    Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Bw. Coaster Kibonde na Mgombea Mwenza Azza Haji Suleiman, wamejitokeza Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, Njedengwa Jijini Dodoma, kuchukua fomu ya uteuzi kugombea nafasi ya Urais na kubainisha kuwa wamejipanga kikamilifu kuhakikisha wanashinda...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea chama cha Makini amechukua fomu ya kugombea urais vipaumbele vyake ni elimu, kilimo na Afya

    Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Bw. Coaster Kibonde na Mgombea Mwenza Azza Haji Suleiman, wamejitokeza Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, Njedengwa Jijini Dodoma, kuchukua fomu ya uteuzi kugombea nafasi ya Urais na kubainisha kuwa wamejipanga kikamilifu kuhakikisha wanashinda...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapokezi ya wagombea urais chama cha ACT Wazalendo pemba Uchaguzi mkuu 2025

    Tazama Mapokezi ya wagombea Urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina (Bara) na Othman Masoud Othman (Zanzibar). https://www.youtube.com/live/BOLHrWxkvIs?si=O3Q9QNPMpG4CKgI0
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Eric Shigongo: Buchosa tulikuwa tunasafiri masaa tisa hadi Mwanza, sina pesa za kugawa mnihukumu kwa matendo yangu

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa barabara za sasa ni bora zaidi kuliko za miaka iliyopita, ambapo zamani ilichukua hadi saa 9 kusafiri kutoka Buchosa hadi Mwanza Mjini. Shigongo ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake, mapato ya halmashauri yameongezeka na...
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Roma Mkatoliki amjia juu Rais Samia kwa jambo analotaka kulifanya kuteketeza bilion 700 kwa ajili ya uchaguzi usio na mbele wala nyuma

    Anaandika anasema "Like seriously unaenda kuteketeza Tsh. 700+Billions kuingia kwenye uchaguzi kushindana na hawa‼️⁉️ Kweli Mama hao ndio washindani wako na unapata amani kuingia madarakani? Na unashika Mic unasema Wataweza Kweli?😁 No disrespect kwa hao wapinzani!! BUT BIG ❌️ Nchi ina...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina awajia juu wanaosema kuwa ACT Wazalendo inafanya maigizo

    Mgombea urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ameapa kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi nchini, akisisitiza kuwa hatapumzika hadi Watanzania wote wanufaike na rasilimali za taifa, na chama hicho kipo makini katika kutatua changamoto za Watanzania. Akizungumza Agosti 9, 2025...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali inayowekwa na CCM ina uzoefu mkubwa, sisi sio Wanafunzi hata kidogo, wengine waanze kujifunza kwanza

    Rais Samia: Sisi sio wanafunzi hata kidogo, CCM tunauzoefu mkubwa wa kutekeleza, wengine wote inabidi waanze kujifunza kwanza
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina akiwa Zanzibar: Mimi ni kijana wenu, nimekulia pale Kizimkazi

    Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Luhaga Mpina alipowasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho, akitokea jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu maalumu uliompitisha kuwania nafasi hizo.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dorothy Semu: Tume ya Uchaguzi Zanzibar, msijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa ACT Wazalendo ndicho chama kilichobeba matumaini ya Watanzania. Amesema, "Tuna waambia Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wasijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali, kama kiongozi wenu nipo tayari kuyaongoza haya mapambano, nimeendelea...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia alipochangiwa fomu ya urais na wananchi Dodoma

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akiwa njiani kuelekea ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea ya Urais, Wananchi wa Chamwino wamemchangia Tsh. 200,000. Baada ya kuchangiwa, Rais Samia amesema “Nawashukuru kwa kuja...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma wakimsubiri Rais Samia baada ya kuchukua fomu yakugombea Urais

    Wakazi wa Dodoma wako hapa wamekusanyika wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu nyingine.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapokezi ya Wagombea Urais wa ACT Wazalendo, Mpina na Othman, Unguja-Zanzibar kujitambulisha

    Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, wamewasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho. Luhaga Mpina mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Othman Masoud anayewania urais...
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia asema 'Siwezi kuahirisha kuchukua fomu ya kugombea urais kwa sababu ya msiba wa Ndugai'

  18. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 CUF kimeshanuka, wafukuza wanachama 7 na kumpitisha mgombea urais

    Chama Cha Wananchi (CUF) kimepitisha majina ya wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, huku kikiwaondoa wanachama saba waliodaiwa kufanya vurugu na kukwamisha kikao cha Baraza Kuu la Uongozi. Soma pia: CCM yapokea Wanachama wengine zaidi ya 70...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACHPR yaitaka Tanzania kukomesha ukiukaji wa Haki za Binadamu Kabla ya Uchaguzi

    TAARIFA KWA UMMA TUME YA AFRIKA YAKUBALI AZIMIO KUHUSU HALI YA HAKI ZA BINADAMU NCHINI TANZANIA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakaribisha na kupongeza kwa dhati kupitishwa kwa Azimio ACHPR/Res.640 (LXXXIV) 2025 na Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), wakati wa...
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Mzee wa ''tunaanza upyaa'' ametangaza kuacha siasa rasmi

    Selemani Saidi Ally Bungara maarufu kama Bwege ametangaza rasmi kuachana na siasa za majukwaa. Hizi hapa baadhi ya nukuu zake Bungeni na nje ya Bunge Tuandikie hapa nukuu yake moja unayoikumbuka. Soma pia: Mwenyekiti wa CHADEMA Dodoma Aisha Madoga ajiuzulu nafasi yake na kuondoka CHADEMA...
Back
Top Bottom