uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Ezekiel Wenje: Kupiga Kura siyo suala la Vyama vya Siasa ila ni la Kikatiba

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekiel Wenje, amesema suala la kwenda kupiga kura si la vyama vya siasa, bali ni la Mtanzania mmoja mmoja kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi. Wenje ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wakati...
  2. GE2025 Bashungwa: Atakayejaribu kuvuruga uchaguzi kesho atakutana na kisiki

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amewahakikishia Watanzania wote kuwa ulinzi na usalama umeimarishwa nchi nzima, hivyo wananchi wajitokeze kwa wingi kushiriki kupiga kura kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani bila hofu yoyote...
  3. GE2025 Neno moja tu kwa mnaoenda kupiga kura

    Ndugu wanagenzi, ninalo neno juu yenu! Kuwa makini sana licha ya kwamba umehakikishiwa usalama au utalindwa, usisahau kuwa hao watu wameshachanganyikiwa ukihisiwa tu unasombwa ndani na kutoka mpaka Yesu atakaporudi. Yawezekana ulikuwa una lengo zuri tu la kwenda kupiga kura ila kwasababu tu...
  4. R

    GE2025 Sheikh Nurdin Kishki: Akili zao mbovu zinawatuma eti sisi tunafanya dua kwa sababu Rais aliyeko Madarakani ni mwenzetu

    Sasa Sheikh hii dua kweli itakubalika kweli jamani, watu wakitoa maoni au mitazamo yao ni akili mbovu? hata hivyo kwa sasa mnafanya waumini wajenge taswira mpya kuhusu nyinyi viongozi wa dini ------------- Katika Dua maalum ya kuiombea nchi yetu Tanzania amani,utulivu na uzalendo iliyoandaliwa...
  5. GE2025 ACT Wazalendo Zanzibar wanalia wizi Kura ya mapema: Watu wameletwa kwa Mabasi kupiga Kura bila mawakala ndani ya kituo

    Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa...
  6. GE2025 DCP Misime: Kama ulihamasisha maandamano hata ukitiki tunakukamata

    Msemaji mkuu wa jeshi la polisi nchini DCP Davidi Misime amesema kuwa Jeshi la polisi litawakamata wote waliohamasisha maandamano hatakama utakuja kupiga kura, miseme amesema utaruhusiwa kupiga kura lakini baada ya kumaliza tukio hilo utachukuliwa na jeshi hilo kwa hatua zaidi. Amesema...
  7. GE2025 Makonda: Wasiokutakia mema waliumia kuona hakuna aliyepoteza maisha kwenya ajali ya SGR

    Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Paul Christian Makonda amepongeza mapinduzi makubwa yaliyofanywa na mgombea urais kupitia chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ujenzi wa miundombinu na uendeshaji wa treni na reli ya mwendokasi (SGR). Aidha...
  8. GE2025 Manara: Hatoki mtu kuandamana, DSM kuna mbwa wa Polisi elfu 10 na farasi elfu 3 atoke mtu aone

    Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia CCM, Haji Sande Manara, amesema kuwa hakuna mtu atakayetoka kuandamana kama baadhi wanavyodai kwenye mitandao ya kijamii. Amesema ameshuhudia majaribio (demonstrations) ya Jeshi la Polisi likiwa limejipanga kwa nguvu kubwa, likitumia farasi wapatao...
  9. GE2025 RC Makongoro: Rukwa iko salama, wananchi wajitokeze kupiga kura

    Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere, ametoa wito kwa wananchi Mkoani humo kujitokeza kwa wingi tarehe 29 Oktoba 2025 kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema kila raia mwenye sifa ana haki na wajibu wa kushiriki katika uchaguzi huo, akisisitiza...
  10. R

    GE2025 Bashungwa: Vijana jitokezeni kupiga kura, epukeni uchochezi

    Akizungumza leo Oktoba 28, 2025, katika mkutano wa kufunga kampeni kuu za CCM kitaifa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni mgombea ubunge wa Karagwe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Innocent Bashungwa Bashungwa amesema vijana wana nafasi muhimu katika maamuzi ya nchi, hivyo...
  11. M

    GE2025 Jeshi la Polisi: Tunawahakikishia hakuna tishio lolote la kiusalama kuelekea kesho Oktoba 29

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia kuwa kuna usalama wa kutosha tunapoelekea kesho tarehe 29.10.2025 siku ya kupiga kura, kwani hakuna tishio lolote la kiusalama kama tulivyowahakikishia Oktoba 26, 2025. Aidha, lingependa kuwa tahadharisha kuwa, kuna kikundi cha watu...
  12. M

    GE2025 Jeshi la Polisi: Atakayethubutu kuvunja sheria Oktoba 29 asitulaumu kwa hatua itakayochukuliwa dhidi yake

    Tarehe 29.10.2025 siku ya Jumatano ni siku muhimu sana katika Taifa letu, ambapo Watanzania watatekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Viongozi watakao waongoza katika nafasi ya Urais, Wabunge na Madiwani. Jeshi la Polisi kupitia taarifa hii, lingependa...
  13. GE2025 Wazee wa Inchugu: Heche, kama amekosea, apelekwe Mahakamani; Vijana wetu wanakatwa hatuji wanakopelekwa

    Wazee wa Tarafa ya Inchugu wameitisha Mkutano Mkuu wa kijamii (Litongo) usio na misingi ya kisiasa, wakitaka Serikali kusikia kilio cha jamii ya Wakurya kinachodai haki, amani na heshima kwa binadamu. Wametoa tamko wakisisitiza kuwa hawana ugomvi na serikali, bali wanapinga vitendo vya uteki...
  14. GE2025 Chama cha Wazee Wanaume (CCWWT): Vijana msivuruge amani ya nchi

    Katibu wa Umoja wa Wazee Mkoa wa Arusha na Chama cha Wazee Wanaume Tanzania (CCWWT) Bw. Salim Ibrahim, amewaasa Vijana kutokubali kuwa chanzo cha kuvuruga amani kwani kuna maisha baada ya uchaguzi. Chama cha Wazee kimewataka Vijana kutambua kuwa changamoto ni sehemu ya maisha na njia pekee ni...
  15. R

    GE2025 Mgombea urais TLP: Puuzeni Maneno ya Mitandaoni jitokezeni kupiga kura

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba ya nchi na kwamba kila Mtanzania ana wajibu wa kushiriki...
  16. GE2025 Othman Masoud: ACT-Wazalendo yakubali Kura ya Mapema Zanzibar

    Chama cha ACT-Wazalendo kimewataka Wanachama na Wafuasi wake kutoshiriki katika zoezi la kura ya mapema unaofanyika leo Oktoba 28, 2025, na badala yake wasubiri kushiriki Siku rasmi ya Uchaguzi wa Wananchi wote itakayofanyika Oktoba 29 Mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa leo na Mwenyekiti wa Taifa...
  17. R

    GE2025 Wenje: Sasa hivi nimetoka CHADEMA, wanasema sina akili

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 ITV ameeleza namna uongozi wa CHADEMA haupendi kukosolewa wala kuambiwa ukweli "Ukiwa nao...
  18. GE2025 SACP Shadrack Masija: Oktoba 29, 2025 tujitokeze kushiriki uchaguzi kwa amani bila hofu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Shadrack Masija, amewataka wananchi wote wenye sifa za kupiga kura kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 kwa amani utulivu na bila hofu yoyote. Kamanda Masija amesema hayo...
  19. R

    GE2025 SACP Alex Mkama: Wananchi wema hawapaswi kutuogopa, tumejiandaa vizuri kukabiliana na wavunjifu wa amani

    Akizungumza na waandishi wa habari jana Oktoba 27, 2025 Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema wananchi hawapaswi kuwa na hofu au kutafsiri vibaya muonekano wa vyombo vya ulinzi na usalama “Wananchi wema hawapaswi kuogopa muonekano wa vyombo vyetu vya usalama bali wachukue...
  20. GE2025 Ofisi ya Msajili wa Hazina yatoa Wito kwa Wananchi kujitokeza kupiga Kura Oktoba 29

    Ofisi ya Msajili wa Hazina imetoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29, 2025, katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza kwa niaba ya Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mashirika ya Kibiashara, Lightness...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…