uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kaka yake Lissu: Mbowe anatukuza utajiri wake na kumnyanyasa Lissu kwa umaskini wake

    Alute Munghwai, kaka yake Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameonyesha kukerwa na kauli za Freeman Mbowe na Tundu Lissu, ambazo wamekuwa wakirushiana kwenye mahojiano. Wagombea hao wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa wanadaiwa kutoka nje ya mstari na badala yake walipaswa kueleza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu tupe ahadi ya kuanzisha CHADEMA TV na Redio endapo utashinda

    Tundu Lissu tupe ahadi ukishinda Utaanzisha Chadema TV & Radio, Mbowe japo alikuwa na Disco kama Kusaga lakini ameshindwa kwa miaka 20 Sifurahishwi na utaratibu wa Mbowe na Tundu Lissu kila siku kupishana kwenye Vituo vya Tv vinavyomilikiwa na Wanaccm kufanya Kampeni za kunadi Sera zao Labda...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na vita ya panzi kunguru hayuko mbali!

    CHADEMA imeuonyesha ulimwengu mzima jinsi ilivyo chama cha kitoto. Panzi wawili, Mbowe na Lissu wako busy kutukanana, kusutana, na kurushiana vijembe hadharani katika kuwania uenyekiti wa chama. Wenzao CCM hatua hii huwa inafanyika hata kabla ya uchaguzi wa mwenyekiti wa chama, wakienda...
  4. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hakubaliki kwao? Singida haijawahi kuwa na Mbunge wa CHADEMA kwenye Majimbo yote 8 ya Singida kasoro analotoka yeye!

    Tukisema kiongozi anapimwa kea perfomance na sio blabla muwe mnatuelewa. Toka uchaguzi wa vyama vingi 1995, na Tundu Lissu kujiunga CHADEMA kama mwanachama Muandamizi, takribani miaka 30 sasa. Singida haijawahi kuwa na mbunge yeyote wa Upinzani ukiacha yeye mwenyewe Tundu Lissu jimboni kwake...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko awawashia moto TANESCO, adai "Mmezoea matatizo, hatutakubali!"

    Wakuu Kash Kash karibu na uchaguzi == Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekemea vikali utendaji wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) "Mmeanza kulala, mmezoea kazi, mmezoea matatizo. Mwaka mzima matatizo, tunarudi nyuma. Siwezi kukubali hiyo biashara ya kufika mahali...
  6. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kwanini wananchi hawataki kutusikiliza tena

    Kwenye mahojiano na BBC namsikia Lissu anasema kuwa Mbowe aliyeenda jela sie yule aliyetoka. N watu wawili tofauti. Kwamba baada ya Mbowe kupewa alivyopewa amekuwa mkimya, mpole, Mdiplomasia, n.k. Kwamba wale wananchi waliokuwa tayari kuwafia, kuwafuata, kuwasikiliza na kukifuata chama, leo hii...
  7. El Roi

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wa juu wa mambo ya kimataifa ( worldly view) sifa nyingine ambayo Lissu anamzidi Mbowe

    Kuwa kiongozi mkuu wa chama Cha siasa ambacho ni active kama ilivyo Chadema, ni muhimu sana. Ukiacha kufanya tu siasa za ndani, kujua upana wa mambo ya yanayoendelea kwenye ulimwengu mwingine ni mileage kwa chama hicho na nchi kwa ujumla. Siasa ni universal pia, hivyo kama huna upana wa kuona...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: John Heche adaiwa kukiuka kanuni za uchaguzi CHADEMA, hatarini kuenguliwa

    John Heche mgombea wa nafasi ya Makamo Mwenyekiti Chadema anadaiwa kuvunja kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho. Akitangaza kugombea nafasi hiyo tarehe 5/1/25 John Heche akiwa na walioitwa wafuasi wake alijitangaza yeye ni mgombea Mwenza wa Tundu Lissu na kuwataka wanachama wawachague wao...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge viti Maalum waliohudumu kwa miaka 10 wapishe wengine kuchochea mabadiliko chanya, wasiwe ving'ang'a

    Tundu Lissu, akizungumza kupitia mtandao wa kijamii wa Clubhouse mnamo Desemba 23, 2024, alieleza kuwa endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ataweka ukomo wa ubunge wa viti maalum. Lissu alisema hatua hiyo inalenga kuhakikisha wanawake wengi wanaokipigania chama wanapata fursa ya uwakilishi...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Team Mbowe hadi leo hii hawajawaambia Wanachadema wanaenda kufanya nini wakipewa nafasi

    Aiseeh! Team ya Mbowe Mpaka dakika hii wametepeta. Sijui kama wanajua kama wapo kwenye Kampeni za uchaguzi. Fikiria Mpaka Muda huu hawajaeleza Mbowe Akiwa Mwenyekiti atafanya Jambo gani. Pengine nao hawajui wakipewa nafasi nini watafanya. Watu wengi waliposikia Mwenyekiti Mbowe anahojiwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuzungumza na Taifa Ijumaa, Januari 10, 2025

    Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast. Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CHADEMA imepoteza uhalali wa kuchuja wagombea

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu. Inawezekana itaonekana kuwa ni kitu cha ajabu kwa baadhi ya watu wanaoamini kwenye kufanya mambo kimazoea, lakini ukweli ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA imepoteza kabisa uhalali wa kuchuja wagombea kwenye uchaguzi...
  13. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kwanini Nagombea Uenyekiti wa CHADEMA na Hali ya Sasa ya Siasa Tanzania

    Utangulizi Katika mahojiano maalum na BBC Swahili, mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amefunguka kuhusu safari yake ya kisiasa, mapambano ya kidemokrasia, na mwelekeo wa chama chake. Lissu, anayetambulika kwa umahiri wake katika masuala ya sheria na siasa, anazungumzia kwa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Bora niitwe Mwanaharakati kuliko Mwanasiasa wa nipe nikupe, wanajua mimi sinunuliki

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, Tundu Lissu kuhusu kuitwa Mwanaharakati na sio Mwanasiasa kwahiyo hafai kuwa Mwenyekiti wa Chama. "Mwanaharakati inatumika kama neno huna sifa, Wanaharakati maarufu wa dunia hii ni kama Julius Nyerere, Nelson Mandela. Yeyote yule unayemfikiria katika Afrika hii...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Mbowe alivyotoka gerezani alibadilika, akasema hawezi kutuambia kila kitu alichozungumza na Rais

    "Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano" Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ulega akagua matengenezo ya barabara ya Samora usiku

    Wakuu Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega, akikagua maendeleo ya matengenezo ya barabara za Samora iliyopo Posta, katikati ya jiji la Dar es Salaam usiku huu. Kupata taarifa, matukio na mijadala katika mikoa mingine Bara na Zanzibar ingia hapa: Kuelekea 2025 - Special Thread: Mijadala na...
  17. mshale21

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ntobi avuliwa Uenyekiti Mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

    Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti katika kikao chake cha jana Jumatano Januari 08, 2025 kimefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa kupitia mitandao ya...
  18. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Chama hakitaokolewa na mtu ambaye ameshakiongoza kwa miaka 21. Namuokoa Mbowe asiwe 'Mugabe'

    Lissu ameendelea kumkalia kooni Freeman Mbowe, safari hii ameiambia BBC anataka kumuokoa Mbowe asitoke kwenye chama kwa aibu kama Mugabe. --- Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21" Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa...
  19. Intricate

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama

    Wananchi wa Bumbuli mkoani Tanga wamechukizwa na tabia ya mbunge wao January Makamba kuwapa ma draft kwa ajili yakuchezea wakati barabara ni mbivu na huduma zingine nizashida sehemu hiyo.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa. Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
Back
Top Bottom