Anasema mimi ni kusudio la Mungu, hata siku zilizopita alipata maono kuhusu mimi. Nimemuacha akiwashawishi waumini wanipigie kura mwaka huu.
Mtume na Nabiii ametisha, atapata mwaliko bungeni.
Uzi tayari
Tundu Lissu amewataja baadhi ya viongozi na Wanachama wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe na anawashughulikia ipasavyo ndani ya Chama.
"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi, hatuko kama tulivyokuwa mwanzoni. Mwenyekiti aliyekwenda gerezani, sio Mwenyekiti...
"Akaniambia Mbowe achana na CHADEMA, kwa sababu alinisukuma sana nihamie CCM nikamwambia hilo katu sitaweza kwenye maisha yangu"
"Akinipelekea ujumbe nikiwa gerezani akaniambia achana na Chadema nitakurudishia mali zako zote zolizochukuliwa na utake biashara au cheo chochote nitakupa" - Freeman...
"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka apewe Mwenyekiti wa chama na kubeza na...
MAPINDUZI YA KUMPINDUA MBOWE KWENYE UENYEKITI YALIANZA AKIWA GEREZANI ILE MIEZI MINANE
Soma kwa Makini utafahamu haya yanayo endelea hivi sasa.!!!
Mwenyekiti Mbowe alisha ushinda uchaguzi Mara baada ya kutoka Gerezani,Mnakumbuka kwamba Mwenyekiti aliwahi kuwa Gerezani miezi minane.??
Katika...
"Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na chama kingine chochote kitu cha kwanza unakubalina na katiba ya chama,"
"chama chetu kimeweka ukomo wa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na clouds amesema
"Hapa Dar es Salaam kila Mtaa unaouona una uongozi wa CHADEMA wa Baraza la Chama, la viongozi wa chama.
Na katika Vijijini zaidi ya 12,000 zaidi ya 80% tuna viongozi katika vijiji nchi nzima na hatimaye sasa Vitongoji...
https://www.youtube.com/watch?v=X4mfNXq4ep8
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, amesema alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa chama hicho akiwa na umri wa miaka 30. Akizungumza kupitia Clouds FM, amesema;
"Mimi nilikuwa miongoni kwa waanzilishi wa CHADEMA. Kipindi hicho nilikuwa mdogo sana kati...
Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwalimu Julius Nyerere alihudumu madarakani kwa muda mrefu zaidi kuliko Freeman Mbowe.
Pia, Soma:
- Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'
- Wenje: Mwaka 2020 tulimpitisha Lissu kwenye Urais...
Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amesema "Hii ya (Lissu) kuombea Urais, unapokuwa na mgombea wa aina ya Magufuli, tunajua Magufuli alivyokuwa inabidi upeleke mtu anayefanana nae tabia zake"
Pia, Soma
- Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
- Ezekia Wenje...
Wakuu
Baada ya Tundu Lissu kudai kuwa Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yake (Makamu Mwenyekiti) ili wamuondoe, na yeye kuamua kugombea nafasi ya aliyekutuma (Uenyekiti), sasa Ezekia Wenje amejibu mapigo;
Soma: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema...
Mbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.
Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi...
Dr. Hamis Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa X ameandika
Mhe. Lissu hatoboi huu uchaguzi. Last two weeks akizungumza kwenye Space/Clubhouse nilimsikia akisema yeye hatoondoka CHADEMA, namnukuu “I ain’t going nowhere…” Akasema tena situation yake na ya Mhe. Zitto ziko tofauti sana, akidai kuwa...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Shinyanga Emmanuel Ntobi amesema uamuzi uliofikiwa na kamati si sahihi kutokana na kushindwa kufuata taratibu, kanuni na katiba iliyowekwa na chama hicho.
Ntobi ameeleza hayo wakati akizungumza kwa njia ya simu na...
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa kuzuia mahaba yake ya kikabila dhidi ya mgombea uenyekiti wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake...
SIdhani Kama Dr Samia Suluhu Hassani anaweza kuzuia Haki ya Wanawake Wenzako Kugombea Nafasi ya Kuwania Urais ndani ya Chama chake.
Ktk hili tuombe women empowerment iwe kwa vitendo na isiishie kwa Maneno.
Je tukitazama ndani ya CCM kuna Mwanamke mwenye ubavu wa kushindana naye au wanasubiri...
Kwa mtazamo wangu, hili ndio tatizo la msingi la huyu bwana kutaka kuendelea kukakilia hicho kiti. Nina wasiwasi kuwa alishakula hela za watu kwa shariti hilo na sasa asipogombea atakuwa ameenda kinyume na makubaliano.
Kwahiyo, huyu bwana hafai hata kidogo na akirudi madarakani, basi chama sio...
Akizungumzia hali ya uungwaji mkono na Wananchi baada ya kuwasusia maandamano ambayo yamekuwa yakiitishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
"Watu wameenda wapi?, mwaka 2011 (Arusha) kulikuwa na maandamano ya CHADEMA kupinga yaliyokuwa yametokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2010, maandamano...
Mbunge wa Arumeru Magharibi Noah Lembris amezomewa msibani na wananchi sababu ubovu wa barabara za jimboni kwake kisema si mbunge amesababisha barabara hizo kuwa mbovu. Hata hivyo mbunge huyo ameendelea kwa kusema kumzomea kiongozi aliyesimama kuongea ni kujitafutia laana.
Kupata mijadala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.