uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Patriot missile

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tatizo la Upinzani ni kukosa uvumilivu wa kusubiri, Wabunge wakishapoteza Kipato

    Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema; "Moja wapo ya changamoto kubwa tunayoipata kwenye Vyama vyetu vya Upinzani ni uvumilivu wa watu kusubiri miaka mitano, kumi, ishirini. Wanapokuwa wabunge, kwa mfano, hakuna kipindi tumejua...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lindi: Wapiga kura wapya 121,187 watarajiwa kushiriki kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2025

    Wakuu, Mkoa wa Lindi unatarajia wapiga kura wapya 121,187 kwa ajili ya uchaguzi ujao, huku vituo vya kujiandikisha vikiwa 1,308, ongezeko la vituo 70 ikilinganishwa na uchaguzi uliopita. Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mbarouk Salum Mbarouk, amewataka wadau wa...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma imejaa ikatapika: Kuna mtu kabaki Dar?! CCM yafunika, ni shangwe kila mahali kuelekea mkutano mkuu wa CCM

    Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma! Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila: Hakuna Chama chenye Akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

    Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili...
  5. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wenje: Kati ya wenyeviti wa kanda (8) kati ya (9) wanamuunga mkono Mbowe, viongozi wa mikoa (3) tu nchi nzima ndio wanamuunga mkono Lissu

    Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Ezekia Wenje amepiga mahesabu yanayoonyesha kuwa Freeman Mbowe ataibuka na ushindi mkubwa dhi ya Tundu Lissu katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa taifa unaotegemewa kufanyika hivi karibuni. Kwa kujiamini amesema katika wenyeviti wa kanda nane, tisa...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa

    Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa. Lengo lilikuwa ni Kuongeza eneo lenye miundombinu mpaka kufikia hekta 1,200,000 ifikapo mwaka 2025 Ambapo hadi mwaka 2024 Eneo la umwagiliaji...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vurugu zazuka nje ya ukumbi wa uchaguzi Bawacha, Wafuasi wa Lissu na Mbowe wazichapa

    Wakuu Katika hali isiyokuwa ya kawaida, ugomvi wa ngumi umezuka nje ya Ukumbi wa Ubungo Plaza unapofanyika mkutano wa uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha). Ugomvi huo ulikuwa kati ya wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu dhidi ya wafuasi wa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Bunda Mjini: Tutamfuata Lissu chama chochote kama atadhulumiwa

    Hakika Umma wa Watanzania na Mungu wa Mbinguni wako na Lissu, Mbowe ajitafakari sana kulinda heshima yake kidogo aliyosalia nayo atangaze kujiondoa tu kwa heri bila kukigawa chama
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

    Wakuu, Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA. Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa. :BearLaugh: :KEKLaugh: Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Lissu na Mbowe wametusaidia kupata hoja za kuipiga CHADEMA

    Wakuu Kumbe na wao wamenogewa na show za FAM vs TAL 😂 == Mbunge wa Ubungo na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amefichua kuwa mtifuano wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi wa Uenyekiti CHADEMA umewasaidia kupata hoja za kuwapigia Soma: Kitila...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lissu ni hakika, Wenje na kundi lake isipokua Mbowe watahamia CCM, CHADEMA kitakua chama chenye nguvu sana

    Baada ya uchaguzi wa kesho kutwa. Na sababu kubwa itakayomuondoa Wenje ni kua tayari ameshawekwa wazi kubwa ni Project ya watu. Kama umesikiliza Hotuba ya Wenje na kudadavua mistari yake , Wenje kaamua kutumia Uongo mwingi akidhani anafanya damage. Msigwa na wengine walofukuzwa Kwa Hila...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wajumbe mkutano wa Bawacha walia na posho

    Muda mchache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wajumbe wa mkutano huo wamepaza sauti ya kuhitaji posho zao kabla ya mchakato huo. Hali hiyo inajiri muda mchache baada ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwasili kwenye...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kabla hamjawatumia bodaboda kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2025 tunaomba mtoe takwimu za vifo vya bodaboda

    Leo tarehe 16 Januari 2025 muda huu tuko road kuelekea makaburini kumzika dogo mmoja mtoto wa dada ambaye alikufa kwa ajali ya pikipiki almaarufu bodaboda. Huyu kijana alikuwa bodaboda, jana kapata ajali Ubungo. Hili tatizo la vifo vya bodaboda halionekani kubwa kwakuwa hakuna gazeti, redio au...
  14. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Wenje ni Muongo, nitatoka na ushaidi mzito kuhusu wewe ili Watanzania wajue ulivyo mjinga

    Katika maisha yangu ya kufahamiana mpaka tukawa marafiki sikuwahi kujua kuwa Wenje ni Muongo. Wakati wa join the chain Lema wenje na Lissu walikuwa Nje ya nchi, Mbowe alikuwa gerezani. Tulibaki mimi na John Heche. Pia, Soma: Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, ndiye aliyeongoza mpango wa kumuondoa Zitto Kabwe katika chama hicho baada ya kupata laptop yenye baadhi ya taarifa...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Dorothy Semu atangaza nia ya kuwania Urais mwaka 2025

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao. Semu ametangaza nia hiyo leo Alhamisi Januari 16, 2025 alipokuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam akisisitiza yupo tayari kumkabili Rais Samia Suluhu...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje: Huwezi kupata katiba mpya kwa kuandamana barabarani

    Wakuu, Kumbe hata kwenye suala la Katiba Mpya hawa CHADEMA hawakubaliani? Wenje anasema kuwa huwezi kuandamana kupata Katiba Mpya kama ambavyo baadhi ya wana CHADEMA wanaamini. Mna uhakika team Mbowe watatupatia Katiba Mpya kweli?
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA

    Wakuu Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa Habari. https://www.youtube.com/live/qAERflDyoZU Aliyoyazungumza Ezekiel Wenje "Marafiki zangu wote...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video: BAWACHA wamuunga mkono Tundu Lissu hadharani, wasema "Mabadiliko lazima"

    Tazama kundi la baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wakimuunga mkono Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hadharani, wasema "Mabadiliko lazima" wakiwa kwenye uchaguzi wa kupata viongozi wao. Pia, Soma: Tundu Lissu: BAWACHA kama...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: CCM tumejipanga Uchaguzi Mkuu kushinda kwa kishindo

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla amesema Chama hicho kimejipanga kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika mwaka huu 2025. "Mimi niseme huyo mwenye uafadhali angekuwa CCM, hatuwezi kuwa na mgombea ambaye yuko Chama kingine, hatuwezi kuchagua upande...
Back
Top Bottom