Patriot missile
JF-Expert Member
- Jun 16, 2024
- 261
- 412
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema;
"Moja wapo ya changamoto kubwa tunayoipata kwenye Vyama vyetu vya Upinzani ni uvumilivu wa watu kusubiri miaka mitano, kumi, ishirini. Wanapokuwa wabunge, kwa mfano, hakuna kipindi tumejua ndani ya Chama kama kipindi hiki ambacho hatuna wabunge. Ukiangalia wote wanaopiga kelele hawa, awe Msigwa, awe Lema, awe Heche, awe Lissu, hawa watu wamekuwa Wabunge kwenye Chama chetu wote kwa zaidi ya miaka. Walivyokuwa Wabunge, wanakipato cha uhakika, wana nafasi kwenye Bunge kiserikali kwa kiwango fulani. Huko ndiko hakupati hiyo kelele."
Soma, Pia