uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Lissu anafanya mahojiano Clouds Media muda huu

    Huyu MTU yuko Gifted sana na Uwanda mkubwa wa Maarifa na akili nyingi . Ninashauri, Waandishi wawe wanaandaa maswali yao kwanza, wasingoje majibizano na LISSU ndio yawape maswali. Pia LISSU awe anaitwa Kutoa Hotuba, yaan ahutubie akimaliza waulize maswali yao. Narudia kusema, kuhojiana na...
  2. Paulo

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

    Amani iwe kwenu Great thinkers Kwa kweli wote tumeona ushujaa uliooneshwa na Mbunge wa Chadema Arusha mjini katika kudai uchaguzi huru wa meya na naibu wake. Katika harakati hizo ilipelekea yeye kupigwa kionevu na polisi hadi kulazwa hospitali. Still hakukata tamaa, na akaanda maandamano...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Angalia fujo za CCM barabarani. CHADEMA mtakoma Mwaka huu

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali. Walianza na Baiskeli, wakaja Pikipiki sasa ni Magari. Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA. Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee? Tunasubiri Makali ya UKAWA. SAMIA 3 -0 UKAWA
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kuwa Mwenyekiti Chadema tujiandae kuwaona tena Wabobezi wa Sheria kina Andrew Chenge na wengine wakirudishwa CCM

    Inahitaji kuwa na akili kubwa sana ili uweze kupambana ki hoja na Tundu Antipass Lissu. Naziona siasa za Tanzania zikibadilika sana kuelekea kupata Tanzania yenye Katiba Bora kabisa upinzani ukiongozwa na Tundu Antipas Lissu Naona kurejea pia kwa watu wanaojua Sheria katika Chama cha Mapinduzi...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Lissu akishinda tunatarajia CCM italazimika kuibua akiba yake ya makada wenye akili. Machawa nafasi yao inaweza kuwa hatarini

    Tupo salama wote! Wakati CCM ipo Kimya ikiangalia yanayoendelea CHADEMA na mara kadhaa kwa Siri huenda ikijihusisha na mambo hayo kuyaingilia. Ikiwa Mbowe atashinda hakuna mabadiliko yoyote ambayo CCM itafanya. Mbinu zitakazotumika zitakuwa zilezile walizotumia kwa Miaka 20 kwani Mbowe ndiye...
  6. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Ningekuwa mshauri wa Mbowe, ningemshauri ajiondoe katika kinyang'anyiro

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo kutoka Wasafi Fm, Edo Kumwembe amesema angekuwa mshauri wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe angemshauri kujiondoa katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti kisha atangaze kumuunga mkono mpinzani wake Tundu Lissu Edo amesema “ningekuwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Pesa za jana zilitoka wapi?, alizodakwa nazo mjumbe Uchaguzi wa BAVICHA

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji; "Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia vitendo vya rushwa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA" Soma, Pia: • Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Sitagombania ubunge Arusha mjini

    Wakuu, Lema asema hatogombania ubunge wa Arusha Mjini 2025, lakini amesema ataendelea kushiriki kwenye harakati zote za chama katika kuleta mabadiliko. Pia, Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA Lema ameyasema hayo leo Januari 14, 2025...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Mbowe ameniambia zaidi ya mara 5 amechoka anataka kuachia Chama hiki

    Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama. Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA "Mwenyekiti Mbowe mimi amenambia zaidi ya zaidi ya mara tano mwaka jana...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Uenyekiti BAZECHA aahidi kuwapeleka wajumbe Makka

    Wakuu Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema (Bazecha), John Mwambigija maarufu ‘Mzee wa upako’ akiomba kura kwa wajumbe huku miongoni mwa sera yake ni kuwapeleka wajumbe wa baraza hilo kuhiji Makka. Uchaguzi huo unaendelea usiku huu Jumanne Januari 14, 2025 katika ukumbi wa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vurugu mkutano wa BAVICHA, Waandishi wafukuzwa tena katika ukumbi wa Uchaguzi

    Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam (leo, Jumanne ya Januari 14.2024) vurugu zimeshuhudiwa tena kati ya wanahabari na baadhi ya vijana wa BAVICHA ambao wamepinga wanahabari kuwepo kwenye ukumbi wa uchaguzi, wanahabari waliingia ukumbini hapo baada ya kuruhusiwa na msimamizi wa uchaguzi huo...
  12. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwa rushwa iliyopo ndani ya CHADEMAnashauri twendeni Democratic Party DP ya Mtikila

    Hali ya rushwa ndani ya CHADEMA inatisha watu waadilifu hiki chama hakiwafai tena tafuteni chama kingine, Hii CHADEMA sio ile mnayoijua. Habari za rushwa CHADEMA ni za kiwango Cha Juu sana, Lissu, Lemma, Heche find your ways CHADEMA si chama tena.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amesema ni kifo au kufukuzwa ndio vitamtenganisha na chama hicho

    Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025 "Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa nauli uchaguzi Bavicha

    Sintofahamu imezuka katika uchaguzi wa viongozi wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), baada ya wajumbe kumtilia shaka mmoja wa wagombea aliyekuwa akitoa nauli. Uchaguzi wa Bavicha unaendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 13, 2025. Pia, Soma...
  15. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu: Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Chadema watangaza rasmi kumuunga mkono Tundu Lissu Uenyekiti Taifa, Wanakuwa ni Mkoa wa 17 sawa na 55% ya Mikoa yote

    https://youtu.be/cI7hJHpYUOA?si=QZSStKHprjHvB6Rm Leo SIMIYU imeungana na mikioa mingine 17 katika kutoa tamko la kumuunga mkono Mhe Lissu hadharani, Hali inazidi kuwa ngumu kwa upande wa Freeman Mbowe baada ya wajumbe 75% kutoka Mikoa mbalimbali kutangaza kumuunga mkono Tundu Lissu,
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Lissu atashinda Uchaguzi hilo liko wazi na halipingiki

    John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki" Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu, John Heche alichukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Ni kweli tutanyukana, na tukimaliza kunyukana tukutane kwenye box

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema ni kweli kwenye uchaguzi huu watanyukana lakini baada ya kunyukana, watakutana kwenye boksi la kura kisha baada ya hapo watapeana mikono. Mbowe ameyasema hayo wakati akihutubia Baraza la Baraza la Vijana wa Chadema...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilimanjaro: Baadhi ya wananchi wa jimbo la Siha watangaza kumchukulia fomu ya Ubunge, mbunge wao Godwin Mollel

    Wakuuu, Wananchi wa Jimbo la Siha wameonyesha nia thabiti ya kumuunga mkono Mbunge wao, Godwin Mollel, kwa kuahidi kuhakikisha wanamchukulia fomu ya kugombea tena Ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Soma pia: Kuelekea 2025 Kilimanjaro: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako...
  19. mshale21

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Dr. Slaa inaendelea Mahakamani bila yeye kuwepo

    Hii ni mpya kabisa, haijawahi tokea, inakuwaje kesi iendeshwe bila mtuhumiwa kuwepo? Only in my country! --- Wakili Peter Madeleka anayemwakilisha Dk. Wilbord Slaa kwenye kesi Na.993 ya mwaka 2025 ya kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa X ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
Back
Top Bottom