uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Januari 21, 2025 nchi itazizima ni kishindo kufuatia Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Habari njema itawaamsha waliolala kwa kukosa MATUMAINI waliokata tamaa kujaa Furaha walioshindwa kutembea KURUKARUKA wasio ona KUONA walio na KIU kuuona mto walio na machozi KUFUTWA Kesho NYATI anafunguliwa zizini nyati anakwenda KUTUONGOZA kuchanja MSITU Hotuba ya KUSISIMUWA itapasuwa Mioyo...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Joseph 'Prof Jay' Haule akihudhuria kikao cha baraza kuu CHADEMA

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule ‘Prof Jay’ leo Januari 20, 2025, amefika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kikao cha baraza hilo kinachotarajia kufanyika ukumbini hapo. Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani na...
  4. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa yaliyojitokeza Mkutano Mkuu wa CCM, Hakika Kikwete ni mtoto wa mjini na ni jabali la siasa

    Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia...
  5. Bams

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sekretarieti ya Mnyika yakata Majina ya Wagombea 'Wanaoonekana kuwa Kambi ya Lissu'

    Siku zote CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, vimekuwa vikilalamikia mambo ya hovyo ya kukata majina ya wagombea wa upinzani wanaoonekana kuwa tishio dhidi ya wagombea wa CCM kwenye chaguzi mbalimbali. Hayo yamefanyika sana hata kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka jana, na CHADEMA...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Samia Suluhu awakumbusha CCM kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura

    Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Ametuma salamu kwa Wanachama wote wa CCM nchi nzima na kuwakumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura ili waweze kupiga kura muda ukifika.
  7. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na hoja za Mhe Lissu, ila Mhe Mbowe ndiye anafaa kuwa Mwenyekiti

    Kwanza nianze kwa kusema, kutokana na vuguvugu hili la Uchaguzi wa Uenyekiti wa Chadema lilivyo na mvuto katika jamii ya Tanzania,nimetokea kufuatwa na wadau wengi wa kisiasa wakinitaka nitoe mtizamo wangu kuhusu hili na nieleze nani anafaa kati yao ingawa mimi binafsi 𝑺𝒊𝒐 𝑻𝒆𝒂𝒎 𝑳𝒊𝒔𝒖 𝒘𝒂𝒍𝒂 𝑺𝒊𝒐...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemwandikia barua ya kuomba apumzike Umakamu wa Rais ambapo amesema baada ya kutafakari ameridhia ombi hilo. Lakini kwa sasa Dkt. Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hadi utakapofanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mahesabu yampa ushindi Freeman Mbowe, atarajiwa kuridhiana na Tundu Lissu

    Hayawi Hayawi sasa yamekuwa.Mkutano Mkuu wa Chadema uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu umewadia. Ni hapo kesho kutwa tarehe 21 Januari, siku ya Jumanne. Hakika yamesemwa mengi na kampeni za kuwania kuingia ofisi Kuu ya Mikocheni zimepamba moto na sasa ni lala salama. Vyovyote iwavyo Chadema imeweza...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema awapongeza Lissu na Heche mapema, asema Jumatano atakuwa busy kwa furaha

    Wakuu naona Godbless Lema ameshaamua kuwapongeza wagombea wake mapema akiamini wameshashinda. Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani mliyopewa na wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu. Nimefurahi sana mmeshinda. Retweet this message...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Dodoma: Tumemchoka Mbowe, muda wake umeisha ampishe Lissu

    Viongozi wa Majimbo 8 wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamejitokeza hadharani kumuunga Mkono Mgombea wa Uwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu na kumtaka Mgombea mwenzake ambaye ndiye Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe kukubali kuwa wakati wake umepita hivyo ni wakati wa kukubali mabadiliko ndani ya chama...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wagombea Mbowe anayetetea nafasi yake, Lissu na Odero kufanyiwa usaili leo ofisi za Chadema

    Wagombea wa nafasi za juu za uongozi wa Chadema, wanafanyiwa usaili leo Jumapili, Januari 19, 2025, ikiwa ni maandalizi ya kinyang'anyiro cha uchaguzi unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumanne Januari 21, 2025. Usaili wa wagombea hao, unafanyika yalipo Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni jijini...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Rushwa imekithiri kwenye uchaguzi wetu

    Makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameendelea kutoa maoni juu ya hali ya sasa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi wa uongozi hasa ule wa nafasi ya uenyekiti taifa. Godbless Lema, mwanachama wa muda mrefu na kada wa CHADEMA, ameandika ujumbe wa kina kupitia...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Lissu, Lema na Heche hawaaminiki na wala hawakubaliki kwa wajumbe wengi wa mkutano mkuu wa chadema taifa na wanachdema kwa ujumla?

    Je, hawakubaliki wala kuaminika kwasababu ya miongoni mwao kuishi sana uhamishoni nchi za magharibi, na kwahivyo wanaonekana kama ni vibaraka na makuwadi wa nchi za magharibi kupenyeza ukoloni mambo leo na sera za ndoa za jinsia moja, ufirauni na utoaji mimba nchini? Au, hawakubaliki wala...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Tutaanza kuendeleza maaridhiano. Anayesema hakuna maridhiano haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii

    Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali na jamii. Dongo hilo limerishwa kwa Lissu likiwa la moto kabisa! Pia soma: Lissu: Habari ya...
  16. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Lissu amemchakaza Mbowe kura za mabaraza ya CHADEMA

    Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100 Namba zinasema hivi 👇🏽👇🏽 Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99 1. BAZECHA 33 -TAL 15 -FAM 18 2. BAWACHA 33 TAL 17 FAM 16 3. BAVICHA 33 TAL 31 FAM 2 Jumla Tundu Lissu 63 Freeman Mbowe 36.
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mch. Msigwa: Lissu anafaa kuwa Mwenyekiti CHADEMA, anaweza kuipa changamoto CCM

    Mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ndiye anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kwakuwa ndiye mtu anayeweza kukiletea changamoto Chama Cha Mapinduzi. Pia, Soma: - Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda alimsagia kunguni Gambo kwa sababu ya Lema?

    Nje ya box. Hii kwa wenye akili tu. Soma Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha Inaonekana hata CCM kuna moto unawaka chini kwa chini na Ushahidi ni karipio la hadharani la RC Makonda kwa Mbunge Gambo Gambo: Mimi sio Mfanyakazi wa...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Timu za mpira zinafanya nini kwenye Mkutano Mkuu wa CCM? Ndio malipo ya 'Goli la Mama'?

    Wakuu, Kama soka hairuhusiwi kujichanganya na mambo ya siasa na serikali, sasa wawakilishi wa Simba na Yanga wanafanya nini kwenye Mkutano Mkuu wa CCM? Wakikilishi wa Yanga Eng. Hersi na mwenzake wameenda kwenye mkutano huu kwaajili ya nini? Kuwashawishi wapenzi wa soka kuipigia kura CCM...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

    Habari Wakuu, Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025. Nani kumrithi Kinana? https://www.youtube.com/live/kGNDo4TvGpI?si=ud91is-_-iElNfhO Makundi mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa ndani na nje ya nchi, wasanii, taasisi za dini...
Back
Top Bottom