Nimefuatilia mitandaoni na nimejiridhisha kuwa kile Chama tulichowahi kukifikiria kuwa ni mbadala wa CCM hakina watu wenye uwezo au credibility ya hata kugombea Uongozi wa nchi hiii.
Kama wananchi wazalendo tujikite kwenye kuiimarisha CCM Itawale miaka 100 ijayo.
Wakuu,
Akiulizwa na Odemba kwanini CHADEMA kwa sasa ikiitisha maandamano watu hawaendi, Odero amesema kuwa kinachofanyika CHADEMA kwa sasa sio maandamano ni matembezi ya amani.
Akaongeza kwa kusema kuwa alishawahi kushauri CHADEMA kupeleka wanawake mia tano wakiwa vifua wazi mbele ya nyumba ya...
Wakuu
Kuhusu kuitwa mropokaji Lissu amesema;
"Chama chetu kinamjadala mkubwa sana kwasababu ya kusema hayo na nje ya huo mjadala tutapata suluhu ya matatizo hayo kwasababu rushwa sasa inazungumzika, tunaweza tukaikabili."
"Kwasababu Samia amekataa mabadiliko ya Katiba na tume expose huu uongo...
Wakuu,
Baada ya kutuhumiwa na wanachama wenzake kuwa ni mropokaji na kwamba hawezi kutunza siri za chama, Tundu Lissu leo ame-fire back.
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Lissu amesema kuwa tuhuma za kwamba yeye ni mropokaji zilianza mara tu baada ya kuanza kupinga...
Wakuu
Tundu Lissu amesema Askofu Gwajima ndiye alikua mshenga wa hayati Edward Lowassa kwenda CHADEMA
Soma: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
"Dkt. Slaa ndiye aliyemleta Edward Lowassa CHADEMA, ndiye aliyeanzisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote majadiliano za CHADEMA...
Wakuu
Muktadha: Wakati mchakato wa kuhesabu kura kuwapata viongozi wapya wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) ukiendelea, baadhi ya wanaodaiwa kuwa makada wa chama hicho wanashikiliwa na polisi kwa madai ya kuanzisha vurugu.
Tukio hilo limetokea leo Ijumaa, Januari 17, 2025 wakati kura...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakati anajiunga na chama hicho kulikuwa na ukomo wa miaka 10 kwa kiongozi kukaa madarakani, hivyo kukawa na ukosefu wa watu wenye uzoefu wa kuwaongoza wengine. Ila kwa sasa chama kimekua na kinahitaji mabadiliko kwenye ukomo wa madaraka kwenye...
1. Mteue Makonda kuwa waziri wa mambo ya ndani. Nakuapia vibaka wote, hawa panya road hadi wale wanaowaibia wazungu huko nje kwa kofia ya siasa wataacha. In fact, watapigwa marufuku hata kwenda huko kiholela.
2. Mrejeshe Kalemani kwenye wizara. Yuko smart yule mtu.
3. Fanya kitu hapo Jangwani...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atafanikiwa kushinda uongozi wa juu wa chama hicho, atapeleka mapendekezo kwenye mkutano mkuu ili uchaguzi wa ndani uwe unafanyika kila baada ya miaka mitatu badala ya mitano.
Mbowe, anayetetea nafasi hiyo aliyoiongoza kwa miaka 21, amesema...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless Lema akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 17, 2025 mkoani Dar es Salaam amezungumza yafuatayo:
"Fikiria anakuja mtu anayetaka kuwa...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho, ataunda tume ya ukweli na upatanishi.
Amesema katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho kuanzia ngazi za chini hadi wa taifa, utakaohitimishwa Jumanne ya Januari 21, 2025, kumetokea mnyukano mwingi...
Godbless Lema, mmoja wa Wanasiasa wa chama cha upinzani CHADEMA, ameongea kwa ujasiri kuhusu Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, akimtaka akatae vikali kuitwa "Alfa na Omega".
"Nilisema mimi namheshimu Mwenyekiti (Mbowe), ni kaka yangu na nikataka jambo hili alichukue kama sanaa ya...
Wakuu,
Mambo yanaendelea kuwa moto.
Godbless anasema kuwa tuhuma za kwamba yeye na Lissu walikuwa wanataka kumpindua Mbowe kupitia kampeni ya Join The Chain ni za uongo kwani Mbowe pia alihusika katika kampeni hiyo.
Lema anasema kuwa ni kweli yeye ndo alihusika kuanzishwa kwa kampeni na...
Wakuu,
Godbless Lema anatema cheche muda huu kuhusu mchakato unaoendelea kwa sasa wa uchaguzi.
Lema anasema kuwa hata upinzani kuna kina Makonda na kina Chalamila sema tu bado hawajapata madaraka.
Mambo yanazdi kuchemka
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utakuwa leo Ijumaa 17/01/2025 kuanzia saa 3:30 Usiku, katika Ukumbi wa Rwegechura Hall katika ofisi za TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) Mikocheni Mtaa wa CHATO DSM, Ghorofa ya pili.
Kwa wanaotaka kuhudhuria mdahalo huo watume majina yao kupitia Whatsapp...
Ni ukweli usiopingika kuwa CHADEMA ndicho chama kinachovuta hisia za Watanzania walio wengi bila shaka kuliko CCM na chama kingine chochote cha siasa na kwamba katika mazingira huru CHADEMA kinauwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuwa chama tawala.
Kwanini CHADEMA pamoja na haya yote kinaishia...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa na mgombea wa nafasi hiyo kwa mara nyingine Freeman Mbowe akizungumza siku ya Ijumaa Januari 17, 2025 katika kipindi cha Morning Trumpet kinachorushwa na chaneli ya runinga ya UTV
Soma: Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza...
Wakuu
"Tunakubaliana wote kwamba rushwa ni kitu kibaya, wala asitokee mtu akijifanya yeye ni mtakatifu sana kwamba yeye katika maisha haya ni msafi kama Mtume, kwamba wengine tu ndio wa rushwa, yeye ana haki na monopoly ya usafi kuliko wote si kweli"
"Mimi kwasababu sina ushahidi, siwezi...
Wakuu,
Baba Levo ndo ameshamwaga manyanga hivyo.
Akiwa anazungumza jana kwenye kipindi chake cha Jana Na Leo, Baba Levo amesema kuwa iwapo kwenye mkutano huu unaoendelea Dodoma ataepwa kadi ya CCM basi atamrudishia Zitto Kabwe kadi yake ya ACT Wazalendo.
Ni rasmi sasa wasanii wote isipokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.