Tabia za mpambanaji manafiki daima huwa ni pamoja na kua mwoga, mfitini, muongo na mzandiki. Na mara zote nia yake hua ni uchochezi na dhamira yake ovu hua ni migawanyiko.
Ni jambo la maana sana waTanzania wamempuuza katika umoja wao na wamebaki wamoja. Maoni, mtazamo na mawazo yake kwa jamii...