uchafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  2. Tajiri Tanzanite

    Wanaume weupe hatupendi uchafu

    Hapo vip! Najivunia sana kuzaliwa mweupe kwasababu uweupe ni ishara ya utakatifu,nguvu,utawala,utajiri,mamlaka n.k MFano nuru utawala giza. Kiukweli sisi wanaume weupe hatupendi vitu vichafu vichafu mfano ngono inachafua nyoto,kiasili na ukweli ni kwamba rangi nyeupe haipendi uchafu. Wanaume...
  3. Mr Beach Boy

    Nahisi kichefuchefu na uchafu kuoa mwanamke asie na bikra. Ntakuwa wa mwisho kuamini bikra haina maana kwenye ndoa

    Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote.. Hujui ametoa mimba mara ngapi Hujui watu waliopita nae Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende Siwezi Mtu ana makovu ya kusalitiwa alafu nije kumpa relief aaah neverrrrrr Kwa jinsi nilivyojitunza na uvulana wangu nahisi...
  4. HIMARS

    Beach zote uchafu umezidi

    Habari wadau, kuna beach ambayo iko kuanzia Kawe hadi Jangwani, maeneo hayo ni machafu sana, je Halmashauri husika hazioni ni wakati wafanye usafi? Kama wameshindwa kwanini wasizibinafsishe ili ziwe safi? Au kwanini ile Service Levy wasiwekeze kiasi kwenye usafi wa hizi Beach haswa nyakati za...
  5. Fbn

    Kumbe umeitwa kutolewa uchafu masikioni ili usikie

    Sababu ya kiburi chako kuona unaweza. Sasa uliposikia USA wamekunyima vijiela ulivyosema uvitaki wakapewa wengine juzi. Wamekuita kukusalimia ikulu ukapigwa za uso maana unatakiwa ukubali maandamano la sivyo unakwenda shimoni. Jambo lengine alilojitetea kuwa anataka kukaa na chadema mezani...
  6. Mtu Asiyejulikana

    GE2025 Taasisi za Serikali acheni kututumia Huu Uchafu kwenye Simu zetu. Sasa ni kuwapiga Tofali tu

    Unakaa zako ofisini unasikia msg imeingia unadhani ya maana.... Kumbe ni ya kipuuzi toka Taasisi ambayo ilipaswa iwe serious na maisha. Yaani kweli unatuma msg tukapigie kura Chura na viluwi luwi vyake? Nyie mnatuona sisi punguani sana fisi nyie. Sasa nimegundua ni kuwapiga tu tofali hakuna...
  7. Idugunde

    Hata kama wakishinda uchaguzi Polepole ameanika wazi uchafu wa CCM

    Njama za kumuua hayati JPM Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga. Kuporomoka kwa maadili Wizi wa kura kupitia Inec na Nida Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
  8. H

    Wachina Kuichangia CCM ni Ukiukaji wa Wazi wa Mwongozo wa Makampuni ya Kigeni Yanayowekeza Nchini. CCM ni Chanzo Cha Huu Uchafu Wote.

    Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla. Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini. Lakini...
  9. R

    Kama siyo mchafu unatafuta nini huko CCM maana CCM ni makao Makuu ya Uchafu, maovu, ukatili and the like...

    Nimesoma andiko la Askofu Bagonza. Anasema Wooote, walioshindwa/waliopenya ie walioshinda?? wote ni wale wale. Wote ni waovu., (maharamia, majambazi, wahuni ........nyongeza yangu) WALIOSHINDWA, actually, though it looks strange, washukuru Mungu maana wameepushwa na mauti huko mbele
  10. Binti wa zamani

    Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

    Kuna watu hamna aibu jamani, binafsi hakuna kitu kinanikata kama mwanaume mchafu. Yani mtu akikuelekezea kwapa au tupu yake usoni unaweza kupiga chafya mpaka upaliwe. Na kwa wadada, malalamiko ni mengi, wanasema papuchi zinatoa harufu kama vile mnazitumiaga kuanika dagaa. Mambo gani ya uchafu...
  11. Zanzibar-ASP

    Dira ya taifa ya maendeleo 2050 bila Haki, Demokrasia na Katiba mpya ni uchafu mtupu

    Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu kupita maelezo, dira ya maendeleo ya taifa ya 2050 itabakia kuwa ni UCHAFU mtupu. Watanzania wa sasa...
  12. Roving Journalist

    Halmashauri ya Mpanda yafafanua uchafu Vyoo Stendi ya Mizengo Pinda, yasema inafanya ukarabati

    Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kueleza kushangazwa na hali ya uchafu ya vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda, kutokana na kujaa maji taka na hivyo kuweka rehani afya za watumiaji ambao wanaweza kupata magonjwa mbalimbali kama UTI, Mamlaka imetoaufafanuzi. Kusoma hoja ya...
  13. Dennis Robert Shughuru

    Kuanzia eneo la shoprite ya zamani kupita Ngarenaro mpaka kona ya Mbauda ule ni uchafu unatakiwa uondolewe

    Mimi shiishi Arusha ila ni zaidi ya miaka 20 lile eneo la shoprite ya zamani, unapita kona ya kilombero, ngarenaro lipo vile-vile na hakuna dalili hata ya kulibadilisha Ule uchafu kama uchafu, kunanuka, nyumba zimekaa hovyo hovyo, watu wamezagaa hovyo hovyo wengine wanauza kahawa, na wengine...
  14. A

    KERO Bukombe: Dampo eneo la makazi ya watu mtaa Ntengere, Kata ya Igulwa Ushirombo ni hatarishi, mamlaka ziingilie kati

    Nina malalamiko kuhusu Kuanzishwa kwa Dampo (Jalala) Katika Nyumba ya Serikali, Eneo la Ntengere – Igulwa, Bukombe, katika kuliweka hili sawa kuna ushahidi wa picha zinazolionyesha eneo hili kwa hatua zaidi ambazo zitachukuliwa. Katika picha hii ni hali halisi ya dampo, dampo hili limevuka...
  15. matunduizi

    Kuna uhusiano wowote wa utafutaji na uchafu?

    Kuna ulazima mtu yoyote Hadi uchafuke unuke uwe rafu ndio tuone utafutaji umepamba moto? Kuna watu wakiwa katika harakati za kutafuta Pesa wlwanataka Kila mtu ajue. Hawajijali na hiyo ndio inakuwa kama kauli mbinu ya utafutaji. Je Kuna ulazima wowote mtu usijijali katika utanashati na...
  16. K

    Uchafu kwenye masoko

    Nimetembelea masoko mbalimbali hapa Tanzania, hali ya Usafi kwakweli huwa sio nzuri, takataka, harufu mbaya, mitaro ya maji taka, vyoo vina hali mbaya . Kwanini watanzania hatuna utamaduni wa usafi. Masoko haya yana uongozi, bwana afya. Tustaarabike
  17. Fbn

    Ukifika Japan hakuna sehemu ya kutupia uchafu public na maeneo yao ni masafi

    wanasema tembea ujionee.Ndio maana mkinunua magari used yao kukuta vyakula na vitu vengine ndani ya gari ni kitu cha kawaida. Japani ukinunua kitu chochote mfano chakula basi hakikisha una cha kubebea uchafu ili ukatupie kwako. Na uchafu ambao unaweza kukuta unatakiwa kupokelewa ni chupa za...
  18. Pdidy

    Kumbukizi ya kilichotekea uwanja wa mkapa baada ya mvua, Simba msilalamikea kuhamishiwa kucheza Zanzibar

    Kama mkijua wamesahauuu Huu upuuzi ukiwafanya CAF waseme final znz No kwa mkaapaaaa msahauuuu
  19. jT0078

    KAMA UNA COMPUTERS AU PRINTERS MBOVU NICHEK NIKUSAIDIE KUONDOA UCHAFU

    Kwa wale wenye Computers au Office Machines mbovu kama Printers,Photocopy Machines,Binders,Laminations, Monitors,Laptops zipo stores tu! nichek nikusaidie kuondoa uchafu Usikae na vitu vibovu hasa vya Electronics ni hatari. Nipo Ilala - Dsm 0767 953873
  20. ifa96

    Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri

    Heshima kwenu wakuu Kama kicha cha habar hapo juu mke wangu amekuwa na hili tatizo miez sita sasa amekuwa akitokwa na uchafu ukeni Kama maziwa mgando iv,hii shida ilianza alipopata uja uzito bahat mbaya mimba iliharibika nilimwaisha hospital akapata huduma saf na kusafishwa pia,lakin tangu apo...
Back
Top Bottom