ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Ukonga wataka mabadiliko Ubunge, wamtaja Msama kuwa ni mpambanaji

    Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi kwa 2025-2030. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wanapoongelea uchaguzi wa mwaka huu, wamekuwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Professor Maghembe ameishiwa sere na Sasa anatumia udini kumsimika Madara ya ubunge wa Mwanga mwanae

    Inasikitisha sana na Kuona mwanasiasa mkongwe aliyehudumu mihula minne jimboni Mwanga mkoani Kilimanjaro akikosa mbinu ya kumnadi mwanaye na Sasa anamtumia shekh wa wilaya kuendesha harakati za udini misikiti yote ya BAKWATA jimboni humo Mtoto wa professor Maghembe ajulikamaye kama...
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

    Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
  4. JamiiForums Tanzania Heche kuna kigogo ndani ya CCM aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili wa ubunge.

    Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha. Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms. Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili. Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wazanzibar wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika?

    Wazanzibari wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika? Wanaruhusiwa kugombea uenyikiti wa vijiji na mitaa Tanganyika?
  6. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Witara akimwaga machozi baada ya kuliwa kichwa na wajumbe

    Waitara analia. Magufuli hayupo Wajumbe wamemla kichwa tayari
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Boni Yai amehamia CHAUMMA na kutangaza nia ya kugombea ubunge

    JamiiCheck ni kweli kuwa BoniYai kahamia CHADEMA?
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwijaku: Nikipita kwenye ubunge, sikosi nafasi ya unaibu waziri wa Katiba na Sheria

    Mtangazaji na mtia nia ya ubunge Mwemba Burton (Mwijaku) amefunguka kuwa kwa elimu yake aliyonayo na endapo akapata bahati ya kuingia bungeni basi hawezi kukosa unaibu Wazari hususani Naibu wa Katiba na Sheria...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Samia, ''Nitamteua Mpina Ubunge'', Pia Kikwete , "Samia atakapomaliza 2030". Je CCM imeshatangaza Rais kabla ya Uchaguzi?

    Kwa yanayoendelea naona kabisa Kuwa CCM imeamua kuwa Mungu. Kauli za Viongozi wa CCM Zinaleta sintofahamu, wanaongea Kauli za uchochezi na zinazoweza leta Mgongano, CCM inaongea as if Rais wa TANZANIA KWA 2025-2030 kama kwamba Ameshatangazwa kuwa ni Samia. Nasema hivi wazi wazi huu ni UJINGA na...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana mkajiajiri, ubunge unataka mtaji hamna hamna TZS 80m

    Hakuna Mjumbe atakusikiliza blah blah zako huku unaendekeza ubahili. Toa pesa upigiwe Kura. Kama huna kajiajiri kulima matikiti. NB. Wajumbe Wana familia/bills za kulipa
  11. JamiiForums Tanzania Wajumbe siyo watu wazuri wamchimbia kaburi mgombea ubunge

    GT Da hawa ndugu zangu ushamba umezidi aiseee.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nini Kimesababisha Watia nia ya Ubunge CCM kushuka kwa idadi kutoka 10,000 za Mwaka 2020 hadi 4,000 za mwaka huu?

    Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, CCM mwaka 2020. Mwaka huu wamefika 4,109 pekee. Nini kimejili? Sababu zinaweza kuwa; 1. Kukosekana mvuto kwa CCM, 2. Rushwa kutamalaki, 3. Kanuni za kura za maoni kutokuwa rafiki kwa Watia nia, 4. Na kadhalika.
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Sekeseke lililotokea wakati wa kuchukua Fomu ya Ubunge katika Jimbo la Bumbuli

    Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu. Inasemekana Baadae Saa 8...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Mnec Mwaselela: Hakuna mtu aliyetumwa na kiongozi kutia nia ubunge na udiwani

    Mjumbe wa Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi CCM taifa Ndugu Ndele Mwaselela amesema hakuna mwanachama yeyote aliyetumwa na kiongozi wakitaifa wala mkoa kwenye mchakato wa kuchukua fomu za kutiania ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Mwaselela amewaambia waandishi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea 174 wamechukua fomu za ubunge Kigoma

    Chama cha Minduzi CCM mkoani Kigoma Kupitia kwa Katibu Mwenezi Deogratius Nsokolo,kimetoa orodha ya wagombea waliojitokeza kugombea ubunge na udiwani kupitia chama hicho, siku moja baada ya kufunga zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu ili kuanza mchakato mwingine wa kutafuta wagombea watatu...
  16. JamiiForums Tanzania Haya yote yamesababishwa na CCM kugeuza ubunge kama biashara na sio sehemu ya kuisimamia serikali kama Katiba ya JMT inavyoelekeza.

    Kila mwana CCM anawaza kwenda kuvuna pesa tu wala sio kutumikia wananchi. Hii ndio sababu ya watu elfu nne kwenda kuwania 300 hii ni dhahiri kuwa sasa ubunge ni biashara inayolipa iliyozalishwa na CCM 👇
  17. JamiiForums Tanzania Zitto acha kudharaulisha upinzani, wapinzani sio wa kulenga kupata viti 30, 40 au 50 vya ubunge.

    Huyo mtu yuko serious kweli na mabadiliko? Yani baada ya miaka 35 ya siasa za vyama vingi anawaambia wapinzani walenge kupata chini ya 18% ya viti vya ubunge zama hizi!
  18. JamiiForums Tanzania Mwl. Makungu amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini, kuchuana na Masanja Kadogosa

    Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu, ambaye ni Mwalimu na Mwandishi mahiri wa Makala , Mwl. Makungu Mussa Sweya, jana 2/7/2025 alichukua na kurejesha fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mwl. Makungu Ms amesema...
  19. JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo anastahili ubunge!

    Katibu Mkuu wa UVCCM Mheshimiwa Dr Jokate Urban Mwegelo anastahili kutuwakilisha Vijana pale Mjengoni. Kulikon hajachukua Fomu?
  20. JamiiForums Tanzania Kauli za kufikirisha za waziri mkuu Majaliwa akijiondoea kugombea ubunge Ruangwa.

    Amesema, 1. Sasa amewaruhusu watu wengine wakashike nafasi yake ya ubunge wa Ruangwa. 2. Wagombea wote wa ubunge waliojitokeza ni wazaliwa wa Ruangwa, wana uwezo wa kuleta maendeleo. 3.Hatua yake ya kuacha ubunge wa Ruangwa imeongozwa na Mungu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…