ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Toa neno moja kwa wajumbe wa CCM kuelekea uchaguzi wa wagombea ubunge na Udiwani 2025 ndani ya CCM

    Kwangu mimi wale pesa kura wapeleke kwa mtu sahihi .
  2. MLIOCHAGULIWA KUGOMBANIA UBUNGE YAAN HAPA MCHEZO UNAANZA WAJUMBE HAMJAWAJUA VIZURI SUBIRINI...MSIJISIFU SANA WL..HELA ZENU TUTAKULA VIZURI TU

    NIMEONA JANA KUNA MAENEOO YA BANANA WAJUMBE KADHAA WANAPONGEZANA MGOMBEA WAO JINA LIMERUDI NAOMBA NIWAHAKIKISHIE YAANA ILE ILIOTOKEA N TRELA PICHA HALISI YA WAJUMBE SUBIRI NI KK YAAN PALE.MTAJUA HAMJUI USHAURIII HONGA TOA RUSHWA KWA KILE AMBACHO HAKITAKUUMIZA WAJUMBE WAKIKUTENGENEZA KAMA...
  3. GE2025 Mwakibete ajinadi kutetea kiti cha ubunge kwa awamu nyingine

    Mbunge Atupele Fredy Mwakibete na watia nia wengine wameanza Kampeni za Kujitambulisha na Kujinadi mbele ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Kata Mbalimbali Jimboni Busokelo. Akijinadi Mbele ya Wanachama wa Kata za Lwangwa na Kabula,Mwakibete amesema kuwa maendeleo yaliyofanyika Jimboni...
  4. A

    Nini kipo nyuma ya ubunge nje ya maslahi na heshima kwenye jamii

    Nimekuwa nikijiuliza maswali tele, kuwa ni nini hasa kipo nyuma ya ubunge? Kwanini watu wanaufukuzia kwa kiwango cha kutisha hivi. Unakuta mtu tayari ana uchumi mkubwa....ana miradi yake ipo stable tu, lakini bado anausaka ubunge... Angalia mtu kama Abood, late Mkono nk Utakuta mwingine ana...
  5. Sio kweli kwamba CCM inakubalika ndio maana ilipata watia nia wengi kwenye ubunge udiwani bali ubunge na udiwani vimeguka kuwa mtaji wa kibiashara.

    Huu ndio ukweli wenyewe watia nia wengi wanaenda walikuwa na nia ya kupata peaa tu maana ubunge unalipa. Mshahara mnono wa mil 15, posho ya kikao laki tatu kwa siku bado madili kibao ukiwa na miradi ya maendeleo jimboni. Hili la kusema eti ni kwa sababu CCM inakubalika sio kweli
  6. T

    Njoo tupate elimu juu ya uhalisia wa hatua za mchakato wa upatikanaji wa mgombea ubunge na udiwani ndani ya CCM

    Salaam Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani. Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
  7. GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua CPA Charles Mhando Njama Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya Ubunge Korogwe

    Jina: Charles Mhando Njama Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo: Korogwe Mjini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
  8. GE2025 Kada wa CCM ageuka mbogo sakata la uteuzi wa wagombea ubunge, majina hayakufika Dodoma

    https://youtu.be/BhcymOXCtEM Kamati kuu ya Chama wajaribu kurudia na kutazama upya mchakato wa kuteuwa wagombe wa Ubunge hususani kutoka Jimbo la Meatu ili haki itendeke zaidi. Ambapo viongozi wa chama waje Jimbo la Meatu wasikilizeni wananchi kilichokuwa kinafanyika, ambapo viongozi wa chama...
  9. Aliyekuwa Mwandishi Mkuu Hotuba za Rais Kikwete kwa miaka 10 Leo hii ni useless kwa nafasi Ubunge?

    Tutampopoa Makamba mpaka akome Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya. Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
  10. GE2025 Watu maarufu walioachwa katika kinyang'anyiro cha Ubunge CCM 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wagombea ubunge walioteuliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kufuatia vikao vya juu vya chama hicho, ikiwemo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vilivyoketi hadi usiku wa manane Julai 28. Orodha hiyo ilisomwa na Katibu wa...
  11. K

    GE2025 CCM yampitisha Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni Mjini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha mfanyabiasha maarufu Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni mjini. Salum atachuana na wagombea wengine watano. Katibu wa Itikadi na Uenezi, Amos Makala ametangaza majina hayo leo Julai 29, 2025.
  12. M

    GE2025 Waliokuwa wabunge wa CHADEMA (Covid 19) waliohamia CCM na kubwagwa kura za maoni Ubunge

    Nadhani wote tunawakumbuka wale wabunge 19 walioingizwa bungeni kinyemela kwa tiketi ya CHADEMA huku chama kikiwa hakitambui uwakili wao. Yaliongelewa mengi sana, kesi ikaenda mahakamani, danadana mpaka sasa, wakakingiwa kifua na Spika na mifumo mingine ya maamuzi, kumbe ilikuwa ajenga tu...
  13. GE2025 Eng Hersi Said aachwa ubunge Kigamboni Shafii Dauda apeta Temeke

    Kamati kuu umegoma kulipitisha jina la Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa Eng Hersi Said kugombea kupitia CCM Jimbo la Kigamboni, Shafii Dauda akipita huko Jimbo la Temeke Sasa rasmi Rais wa Yanga Eng Hersi Said atajikita zaidi kwenye football
  14. R

    GE2025 Hamis Mbeto: Ukitoa Rushwa Tunakukata kwenye uteuzi wa wagombea Ubunge na Udiwani

    UKITOA RUSHWA UNAKATWA, UTEUZI WA WAGOMBEA WA CCM KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Katibu wa itikadi na uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi (ccm) upande wa zanzibar Hamis Mbeto ameeleza jinsi wagombea wa chama cha mapinduzi wanavyo patikana katika mchujo wa kura za maoni na kusisitiza kuwa wagombea...
  15. N

    GE2025 Rais tunakuomba ufute sheria ya kututeulia wabunge na madiwani. Tayari una nguvu ya kuteua wakuu wa mikoa na wilaya

    Sheria mpya inampa mamlaka Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala kuweza kuweka wabunge wake hata kama hawakupita kura za wajumbe, Tunakoelekea sio kuzuri. Hii ina hatari hasa kwa kuweka wabunge ambao hata hawajakulia katika majimbo
  16. GE2025 Nini kimesababisha CCM kujitokeza watia nia wengi nafasi za udiwani na ubunge?

    Tangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025. Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya...
  17. GE2025 Mrisho Gambo anastahili Ubunge Arusha, anazo sifa ,huyu mwingine ni mchonganishi na mfitini anatakiwa kupewa ubunge labda wa kuteuliwa !

    Nawakumbusha CCM kwamba kazi kubwa wanayoipigania makada , kwenda bungeni na kuikimbia mikoa walimokuwa wameteuliwa kuongoza ,kwa ngazi mbalimbali kama u dc na u rc ni kwenda kupiga meza bungeni ,na kujihakikishia miaka mitano ya kuwa active na kula posho !! Hakuna miujiza atakayoileta Paul...
  18. GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) ‘kiwaondoe’ wanaonunua Ubunge

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kinaketi mjini Dodoma kwa ajili ya kuchuja majina ya wanachama wake walioomba kukiwakilisha chama hicho katika nafasi za ubunge na uwakilishi, kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakaofanyika Oktoba 29. Jana Jumamosi, CCM kilifanyia marekebisho kile kifungu cha...
  19. Onyo la CDF: Ilikuwaje CCM ikampitisha Ssebuyoya (mrundi anayejaza warundi nchini) kuwa mwakilishi wa vijana?

    Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea Ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa . Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital...
  20. W

    GE2025 Susan Kiwanga kugombea tena Ubunge kupitia CHAUMMA

    Aliyekuwa Mbunge wa Mlimba 2015-2020 kupitia Chadema, Susan Kiwanga ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) amechukua fomu kuomba ridhaa ya chama chake kipya kuwania ubunge wa Mlimba katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kiwanga amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumatano, Julai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…