ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2020 Dkt. Charles Kimei ana mawazo ya kuibadili Vunjo ifafane na mji wa Toronto Canada. Akishinda ubunge apewe Wizara ya Viwanda na Biashara

    Katika watu ambao wameingia katika kinyang'anyiro cha kugombea ubunge na ambao kama wakipata nafasi hiyo, watachangamsha sekta za uchumi, biashara na viwanda ni Dr Charles Kimei. Dkt. Charles Kimei ni mmoja wa watu ambao wana matamanio ya kufanya mabadiliko ya haraka yaani "quick...
  2. B

    GE2020 Nimekerwa na kauli na Mgombea Ubunge mmoja kutamka hadharani kwamba hatopiga kampeni na atashinda

    Nadhani kama kuna Jambo limekosewa ni kuwa na tume inayowapa uhakika Wagombea kwamba wafanye kampeni au wasifanye watapitishwa tu. Mmoja wa wagombea katika majimbo ya Mwanza amediriki kujinadi kwa marafiki zake kwamba Hana haja ya kampeni kwa sababu tayari ameakikishiwa ushindwa. Anaeleza moja...
  3. B

    Hivi wagombea Ubunge Zanzibar majina yao yanapitishwa huku bara au wana utaratibu wao Zanzibar?

    Vyama vya siasa vinatumia utaratibu gani kupata wagombea Zamzibar? Je, Ni kupitia kamati kuu za vyama au mabaraza au wana utaratibu wao huko Zanzibar? Je, utaratibu wa wagombea wa Baraza la Wawakilishi na ugombea wa Ubunge wa Muungano upo sawa? Kama yanatoka huku bara, uwakilishi katika...
  4. Kanisa liko sahihi kukataa padre wa Bukoba kugombea ubunge

    Kwa wiki mbili sasa mitandaoni inazunguka barua inayoonyesha ni ya askofu Desiderius Rwoma wa jimbo katoliki la Bukoba. Barua hiyo inahusu padre aliyeandika barua ya kuacha upadre akaenda kusikojulikana. Barua hiyo inaonyesha kwamba padre huyo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Nkenge...
  5. GE2020 Tume ya uchaguzi na CCM wainajisi katiba, Deo Mwanyika hastahili kuteuliwa wala kugombea ubunge kwa sababu ya kesi ya kukwepa kodi

    Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi. Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa. Fedha kiasi...
  6. GE2020 Karatu: Uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa CHADEMA zatikisa

    Mhe. Cecilia Pareso leo amezindua kampeni za Ubunge wa jimbo la Karatu , hali ndio kama mnavyoona
  7. GE2020 Baada ya Vyombo vya Habari kuminywa kutoa habari za CHADEMA, wagombea Ubunge wabuni mbinu mpya ili kuwafikia wapiga kura

    Huyu ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako kwa tiketi ya CHADEMA akitumia njia mpya ya kujitangaza . Mytake : Tunaomba radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu nyingi za kampeni , hii ni kwa vile muda wa kampeni ni mfupi na tunazihitaji sana kura zenu
  8. GE2020 NCCR-Mageuzi tuna wagombea Ubunge zaidi ya 103

    Siku chache zikiwa zimebaki kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2020, minong'ong'o mingi imekuwa ikijitokeza hasa kuhusiana na idadi ya wagombea wa Ubunge kupitia chama chetu. ukweli ni kuwa kimya kingi kina mshindo, mpaka sasa chama chetu kina zaidi ya wagombea Ubunge 103. licha ya kuwa na...
  9. GE2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

    Mpaka tarehe ya uchaguzi watakuwa wameisha wote.
  10. GE2020 Hitaji la katiba ya JMT ibara ya 98, kifungu kidogo cha 1(b) ndiyo sababu kuu ya kuenguliwa wagombea ubunge wa ACT Wazalendo, Pemba

    Mada ya uzi huu si ngeni kwetu sisi Watanzania. Nina uhakika wengi (kama si wote) tunaIfahamu vyema hii kitu lakini ni wakati muafaka kuweka msisitizo hususani kutokana na mazingira tuliyo nayo sasa kuhusiana na mwenendo wa teuzi za wagombea urais, ubunge na madiwani kwenye uchaguzi wa mwaka...
  11. NEC imempitisha katibu mkuu wa CUF, Haroub Mohammed Shamis kuwa mgombea wa Ubunge Chakechake

    HABARI Tume ya taifa ya uchaguzi imempitisha katibu mkuu wa CUF, Haroub Mohammed shamis kuwa mgombea Ubunge jimbo la Chakechake Pemba.
  12. GE2020 Kilimanjaro, Mwanga: Henry Kilewo amuwekea pingamizi Mgombea Ubunge wa CCM Joseph Tadayo kwa vile hakusaini sehemu "E"

    Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo sifa za kugombea ubunge kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa 2020 , sehemu "E" haikuwekwa kwenye...
  13. GE2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

    Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.
  14. GE2020 Mgombea Ubunge wa ACT-Wazalendo awasilisha majibu ya pingamizi alilowekewa, atinga 'kininja' kukwepa maafisa uhamiaji

    Mgombea Ubunge katika jimbo Pangani kupitia chama cha ACT Wazalendo , ndugu Msagati ametinga kwa Msimamizi wa Uchaguzi kuwasilisha pingamizi dhidi ya mgombea wa CCM (Aweso), na kuwasilisha majibu ya pingamizi alilowekewa huku akiwa kavalia nguo iliyofunika uso wake ili kuwakwepa maafisa Uhamiaji...
  15. M

    Mambo 10 niliyojifunza katika zoezi la kujaza fomu na kupata uteuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Urais

    1. Vyama vya upinzani havikuwa na mkakati kabambe wa kuwasaidia wagombea wake kujaza fomu kwa usahihi. Mfn mgombea wa Morogoro mjini DEVOTHA MINJA hakuambatisha picha. 2. Wasimamizi wa uchaguzi waliongozwa na Sheria na kanuni katika kusimamia zoezi, licha ya baadhi ya wagombea kupanga...
  16. Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  17. GE2020 Kazi imeanzaWagombea ubunge wa upinzani morogoro mjini wakatwa

    Msimamizi wa uchaguzi morogoro mjini sheila lukuba amewakata wagombea ubunge wa vyama vya upinzan kutokana na makosa mbalimbali katika fomu zao,hivo mgombea pekee abdulaziz abood wa ccm amepita bila kupingwa
  18. J

    GE2020 Jeshi la Polisi linawashikilia wanachama watatu wa CHADEMA kwa kughushi barua za chama cha SAU ili wachukue fomu za Ubunge!

    Polisi mkoani Morogoro inawashikilia wanachama watatu wa Chadema walioghushi barua za utambulisho wakijifanya ni wanachama wa chama cha SAU na kutaka kuchukua fomu za kugombea ubunge kwa njia ya udanganyifu. ------ Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbrod Mutafungwa, alisema jeshi hilo...
  19. GE2020 January Makamba akana kuporwa fomu kwa mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia CHADEMA

    Mhe. January Makamba amenukuliwa katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter akikanusha kuporwa fomu za kuteuliwa kugombe ubunge kwa muomba ridhaa ya kugombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia CHADEMA. Habari zilianza kuenea mitandaoni mapema asubhuhi kuwa Mgombea wa CHADEMA jimboni...
  20. Mgombea ubunge jimbo la Mufindi kupitia CHADEMA, Titho Emanuel atekwa akiwa njiani kurudisha fomu

    Mgombea Ubunge jimbo la Mufundi kwa tiketi ya CHADEMA, Titho Emmanuel Kitalika ametekwa na watu wasiojulikana wakati akiwa njiani kwa ajili kurudisha fomu ya kugombea ubunge jimbo hilo. Amepigiwa simu akasikika akipiga kelele akilalamika wananiteka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…