Uchaguzi 2020 James Mbatia (NCCR-Mageuzi) v Charles Kimei (CCM) - Jimbo la Vunjo

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
NCCR Mageuzi Jimbo la Hai hawajasimamisha mgombea ili kumpisha Mwenyekiti wa CHADEMA na hivyo hivyo tunategemea CHADEMA wote wataelekeza nguvu zao zote kumpigia kura Mbunge James MBATIA kupitia NCCR MAGEUZI. Uongozi nikuachiana madaraka na kulindiana heshima

#DON NALIMISON
Simu Na. 0682 94 29 01.

IMG_20200903_104418_469.jpg
 
Hapo tutaangalia kama Kweli mbowe ni mpinzani au pandikizi la CCM maslahi kama ninavyomjua!!

Mpinzani mwenye nguvu kama Mbatia hakuna haja kwa upinzani kumpiga vita ili hali mateso yao yote yanesababishwa na CCM ya Bashiru na watu wengine wawili!!

Itakua ni aibu kubwa kwa mkoa wa Kilimanjaro kupoteza majimbo ya upinzania baada ya Ndesamburo kuondoka.
Kazi yabkujenga Upinzani iliyofanywa na Watu kwa muda mrefu itakua imepotea
 
2015 hio

JamiiForums901192794_540x416.jpg
 
Hapo sawa.
 
Sasa mkuu unatuwkea namba yako ili tuifanyie nini? Maana mada haiendani kabisa na kutoa namba ya simu
Hata me sijaelewa sababu ya kuweka namba. Labda amemuwekea Mbatia ili amtumie 7000 yake ya kumpigia debe.
 
Back
Top Bottom