ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Diwani wa kata ya Msasani Luca Neghesti kugombea ubunge Jimbo la Kigamboni.

    Luca Neghesti diwani wa kata ya Msasani amejipanga kulibeba mazima Jimbo la uchaguzi la Kigamboni ambalo kwa sasa liko wazi baada aliyekuwa mbunge wa Jimbo Hilo ndugu Faustine Ndungulile kufariki dunia.
  2. M

    Yericko na wenziwe wameumia mikeka yao kuchanwa! Waliahidiwa ubunge hata wakaenda kwao kutambika

    Wale vijana wa Mbowe waliumia sana mwenyekiti mbowe kushindwa uchaguzi! Imekuwa ngumu sana kwao kuponya majeraha kwasababu tayali waliporamba ile asali ilikuwa na ahadi nyingine! Waligawiwa pesa nyerere akaenda kununua alphad, akasafiri hadi kwao iringa kutambika. Mbowe aliwaahidi vijana wake...
  3. PreGE2025 Zitto kugombea Ubunge: Rasmi ACT na CCM waungana kupinga mabadiliko No Reform No Election

    Huyu Jamaa Ni mtu hatari Sana kwenye siasa za upinzani,ukifatilia historia yake ya usaliti,kuvujisha texts,misimamo yake, utagundua kua anakula meza moja na watesi.. katika maandamano yake ya Jana ya kutangaza Nia ya kugombea ubunge Hakukua na polisi wala mgambo Kama wanavyofanyiwa wapinzani...
  4. F

    Ya Zitto Kabwe kugombea ubunge, je kaambiwa ataachiwa jimbo? Kwanini serikali na polisi wanamuonea Mdude Nyagali? Amekosa nini?

    Yaliyotokea wiki hii...Mdude alivamiwa na polisi akiwa amelala na mkewe, akapigwa sana bila kosa na kuchukuliwa kupelekwa kusikojulikana. Kwa maelezo ya mkewe, Waliomchukua ni polisi na kutokomea naye, walimpiga kichwani na kitu kizito na akapoteza damu nyingi. Uwezekano wa kupona ni mdogo sana...
  5. F

    PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

    Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
  6. R

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa atamani Ubunge ambao kimamlaka ni Cheo Cha chini kulinganisha na RC?

    Hamjambo hapo Arusha? JeNi kwa sababu ipi, Kisha Ili iweje? Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)? Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima...
  7. F

    UBUNGE ARUMERU MAGHARIBI PAMEANZA KUCHANGAMKA

    Waraka mkali na kinyang'anyiro cha Ubunge Arumeru Magharibi warushwa kwenye makundi sogozi. Bado miezi michahe pakuche.
  8. Joto la ubunge jimbo la Tunduma, Momba lapanda joto, Silinde atuhumiwa kuhujumu Sichalwe

    Na Mwandishi Wetu-Momba JOTO kisiasa katika majimbo yaliyopo mkoani Songwe limeamza kupanda baada ya Mbunge wa Tunduma, David Silinde kudaiwa kuandaa vijana kumzuia mbunge wa Momba, Condester Sichalwe asihudhurie mkutano wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya...
  9. F

    Cheo cha Ubunge ni kizuri sana Tanzania

    Wanajukwaa hiki cheo ni kizuri sana, kikubwa sana au kitamu sana hapa nchini kwetu? Unajiuliza kinachotokea jijini Arusha mnyukano wa mkuu wa mkoa na Mbunge wa sasa unahusishwa na mbio za Ubunge. Yaani mtu hataki kuongoza mkoa anataka majimbo ndani ya mkoa tu.Vile vile Mzee Masatu Wasira...
  10. Q

    G55 wajipanga kuhama CHADEMA, lengo ni kusaka frusa za Ubunge, Udiwani.

    Ni baada ya Chadema kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Mrema awasihi watia nia Ubunge na Udiwani kuwa watulivu kusubiri maamzi ya chama. My Take; Kama wameamua kuhama wanasubiri maamzi ya chama kipi wanachotoka au wanachohamia.
  11. Vijana wenye miaka 21-30 msio na AJIRA Jitikezeni KWA wingi kugombea UBUNGE

    Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE. Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako...
  12. J

    PreGE2025 Mbeya Mjini ni vigumu sana Wasafwa kupata Ubunge, ni Jimbo la wageni kama Arusha Mjini

    Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu wataratibu sana wasiopenda kabisa mambo ya siasa Wao wamejikita zaidi kwenye mambo ya Dini hasa Misikiti...
  13. R

    PreGE2025 Msukuma ataka watumishi wa umma na wateule wa Rais wadhibitiwe wasichukue pesa za serikali kwenda kugombea ubunge

    Mzee Msukuma amekiri kwamba wabunge wa Tanzania wana kinga dhidi ya tuhuma za rushwa Kimantiki amesema wapo viongozi wanakwapua fedha za umma kwenda kuzitumia kugombea ubunge Ameeleza viongozi wengi wa umma wameomba kugombea lakini akataka wasipewe idhini hadi wafanyiwe special audit Je...
  14. Naomba jina la Mbunge aliyesema Yuko tayari kuua ili apate Ubunge

    Nimesahau jina la Mbunge, naombeni Sana anayemkumbuka.....kama sio bunge la 2015-2020 basi ni hili la sasa ila Magufuli alikua hajavuta bado. Alikuwa Mbunge wa kike na aliyatamka Maneno kuwa "kwa namna Ubunge ulivyomtamu, Yuko tayari kuua ili apate/asikose Ubunge". Tafadhali mwenye ako nayo...
  15. PreGE2025 Kwa neema na baraka za Mungu, nitachukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea Ubunge kupitia CCM J’nne tar. 65.2025 saa 4 Asubuhi

    Nawatakia mema na kila la kheri watia nia wengine wote wa CCM maeneo mbalimbali nchini, wa ubunge pamoja na wale wa udiwani. Tuheshimiane na daima kua wastaarabu miongoni mwa watia nia wengine, ili hatimae mchakato huo muhimu ndani ya chama uishe kwa kwa salama na amani na hatimae tubaki wamoja...
  16. PreGE2025 Natangaza kugombea Ubunge

    == Mimi ni kada mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwenye namba ya uanachama CM 1774858, Rasmi natangaza kugombea na kushinda nafasi ya Ubunge katika Jimbo letu kwa nguvu ya Mungu, Uzoefu ndani ya chama ni miaka 7, Naomba ushauri, mawazo na connections ni jinsi gani naweza kushinda na...
  17. LISSU fanya maamuzi haraka uwafukuze Uanachama G-55, Majimbo yote yaliyochini ya Pro-Mbowe yatatoa Fomu za Ubunge , Kwa hiyo watagombea kweli !

    Kampenzi kwenye Majimbo hayo zitafadhiliwa na CCM. Faida ya kuwafukuza Uanachama mapema ni kua ,Tayari watapoteza hata kidogo walichonacho !!. Kitendo Cha kuendelea kutumia Jina la CHADEMA ni kuendelea kupanda mbengu ya kuwachanganya wananchi Hivo Fukuza mara Moja.
  18. "Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia.Lakini sasa... INATOSHA!"

    LUKUVI NA UBUNGE WA MIAKA ZAIDI YA 30 – INATOSHA! v "Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia. Lakini sasa... INATOSHA!" William Lukuvi ni mmoja wa wanasiasa waliodumu kwa muda mrefu katika siasa za Tanzania. Alichaguliwa kuwa Mbunge kwa mara ya kwanza mwaka 1995 –...
  19. PreGE2025 Uchaguzi 2025 Mungu akipenda nitagombea ubunge jimbo la Ilemela Mwanza

    Japokuwa nipo Igunga kwa shughuli za kibiashara Lakini mimi kwetu ni Mwanza . Kwa Sasa ni jimbo la Ilemela. Nalifahamu hili jimbo kwa mapana maana nimezaliwa na kukulia huko. Nitawatumikia watu wa Ilemela kwa moyo kunjufu. Sitatoa rushwa wala hongo. Najitambua mimi ni mchapa kazi. Jambo...
  20. Kwa nini Lissu hajaanza kuwasikiliza watia nia wa ubunge na udiwani kabla ya yeye kuanza kuongea? Ni udikteta?

    Nikiwaangalia watia nia ni kama hawako pamoja na Lissu, masikio yao "yanamkataa" Lissu. Nadhani alitakiwa kwanza awasikilize kabla ya kuanza kuwahubiria mambo yake. Uongozi wa up-down ni wa kidikteta.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…