ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

    Angalieni hii video! Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho. CC: Prof Adolf Mkenda
  2. Kassim Majaliwa usigombee ubunge utaua heshima yako ndogo iliyobaki.

    Ukiachana na rafu uliyomchezea kafulila Ila nakushauri usigombee Ubunge . Miaka kumi Kama waziri Mkuu inatosha Sana .
  3. Hawa vilaza wanaogombania ubunge wa Arusha Mjini Makonda na Gambo je ni wazaliwa wa Arusha.?

    Kwanini hawa Vilaza Makonda na Mrisho Gambo wasiende kugombea ubunge sehemu walipozaliwa ? Nitashangaa Sana watu wa Arusha wakiwapa nafasi
  4. W

    PreGE2025 Magreth Lutufyo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ACT kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanganyika

    Wakuu ACT wanaendelea na arakati za maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 na sasa ni zamu ya Magreth Lutufyo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ACT kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanganyika. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa jimbo la Tanganyika, Ndugu Emanuel Ntinda.
  5. Hawa na wenyewe wanasema wanataka ubunge ni zaidi ya vichekesho!

    Msukuma Babu Tale Harmonize Baba Levo Kishimba Steve Nyerere. Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .
  6. E

    Wanachuo wataka sifa ya anayegombea ubunge iwe angalau degree moja

    Baadhi ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam, wamependekeza sifa ya mtu kugombea ubunge iwe pamoja na elimu ya shahada ya kwanza, tofauti na sasa ambapo sharti la elimu ni kujua kusoma na kuandika. Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi hao jana Juni 22 jijini Dar es Salaam...
  7. Mahakama kuu yaombwa kumwondolea Sifa za Kugombea Ubunge Moses Ali

    Kampala, Uganda Ombi limewasilishwa katika Mahakama Kuu ya Uganda kutaka kumwondolea sifa mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Fedha chini ya utawala wa Idi Amin, Mheshimiwa Jenerali Moses Ali, asigombee nafasi ya Ubunge (Adjumani West County), likitaja madai ya kutokuwa na uwezo wa...
  8. Wakili Onesmo Olengurumwa: Kama Urais una ukomo, Ubunge pia uwe na ukomo

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema ili kuongeza vijana kwenye nafasi za maamuzi ni vyema mbunge wa kuchaguliwa akaruhusiwa kuongoza kwa vipindi vitatu pekee(miaka 15) kisha baada ya hapo asigombee tena. Olengurumwa ameeleza...
  9. E

    Mjue Jenerali Moses Ali anayewania ubunge akiwa na miaka 86 Uganda

    Juni 18, 2025 kwenye mitandao ya jamii kulikuwa na video inayosambaa ikimwonyesha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya chama cha NRM, Dk Tanga Odoi akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge Jenerali Moses Ali (86) akiwa kwenye gari lake. Kutokana na hali yake ya afya na umri mkubwa, Jenerali Ali...
  10. Wagombea Chato Kusini wamwaga mamiilioni kuwania ubunge

    Kumekucha ,kumekucha Huku Chato kusini wagombea wawili matajiri wa dhahabu,wanaonyeshana jeuri ya pesa Wikiend hii alialika watu 500 nyumbani kwake Kata ya Bwanga na kuwalisha nyama kuanzia asubuhi na kugawa bahadha zenye kiasi cha sh 15000 mpaka 500,000 kwa kila aliyehudhuria Baada ya...
  11. Kuna mpasuko mkubwa kwa Wanachama wa CCM . Makundi yameibuka na msuguano mkubwa juu ya kupata wagombea ubunge na udiwani

    Sasa hivi kila jimbo la uchaguzi wanaCCM wanavutana nani awe Mbunge wao. Vijembe na mikwaruzano imeanza kutokea WanaCCM watauana safari hii sababu ya ubunge na udiwani.
  12. PreGE2025 Mrisho Gambo: Ananyanyasa Watumishi kisa kuutaka Ubunge

    "Wangapi mlienda kwenye mkutano soko kuu? mlisikia maneno aliyoyapiga mke wangu? baada ya pale walienda kumsimamisha kazi na sasa yupo nyumbani ana amani kabisa na yupo tayari akiambiwa achague kazi au mume wake atachagua mume wake. Wanasema hana vigezo tukaulizana vigezo hana baada ya kuongea...
  13. Kanuni mpya za kupata mgombea wa ubunge CCM ni kilio na kusaga meno kwa mawaziri na wabunge waliokaa bungeni muda mrefu

    Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe. Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja...
  14. PreGE2025 Hivi ndivyo Mary Chatanda anavyowazuia wengine wasigombee ubunge Mkuranga akisema Ulega ni chaguo la chama

    Mary Chatanda ni mmoja wa wajumbe wa NEC Taifa ambaye miezi michache ijayo ataketi katika wale watu Watakaopitisha majina ya Wana CCM waliotia nia Majimboni kuomba nafasi ya Ubunge Kwa nafasi yake Jana amesema wazi kwa Mkuranga ni Abdallah Ulega na wengine hawastahili. Mbaya zaidi katika hilo...
  15. Wanasiasa ndo wenye msemo wa mwisho,,, Injinia na Arafat wanawaza Ubunge huku watu wanasema hatuchezi

  16. Heche anakiri kuwa CHADEMA inawapa ubunge watu wasiokuwa na elimu wala uelewa?

    Nimemsikia Heche akisema Chadema ilimpa Ubunge wa Viti Maalum Susan Kiwanga, anaongeza walimpa ubunge wa viti maalum huku akiwa hana elimu na alikuwa akifanya kazi za ndani So huo ubunge wa viti maalum wanatoa bila kuzingatia merit? Sasa kama "wanawapa" uongozi watu wasio na elimu wala uelewa...
  17. PreGE2025 Buchanagandi Kiiza: Sitokuwa sehemu ya wagombea wa kiti cha ubunge Biharamulo katika uchaguzi huu wa 2025

    UTANGULIZI. Awali ya yote napenda kumshukru mwenyezi Mungu, muumba mbingu na nchi kwa kutujaria uhai, nguvu na uwezo wa kutukutanisha leo tukiwa wazima buheri wa afya. SHUKRANI. Kabla ya kuendelea naomba mniruhusu nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi wafuatao ambao kwa namna moja ama...
  18. Nusrat Hanje kushinda ubunge Ikungi 100%

    Mheshimiwa Nusrat kwa namna anavyokubalika duniani. Kura zote ni kwake Tu. Kidumu Chama Chetu
  19. Gwajima sahau ubunge

    Tafuta shughuli ya kufanya 2025-2030
  20. B

    Baada ya Kanisa lake kufungiwa, kifuatacho ni kuvuliwa uanachama wa CCM na kukosa sifa za kuwa Mbunge ili asipate Mafao yake ya ubunge

    Baada ya Kanisa lake kupigwa pini ifuatacho kwa Askofu Josephate Gwajima ni kuvuliwa uanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) na kukosa sifa ya kuwa Mbunge Lengo la CCM na Serikali yake yake ni mkunyoosha Gwagima ili akose fedha na kumnyong'onyesha kiuchumi awe anyone asiwasemee wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…