Hi Zeee ni Moja ya Zee lenye ROHO mbaya mnoo.
Mh Polepole aliwahi tuelezea, Namna GANI Lilivyomtukana Nyerere, na namna GANI Magufuli alivyoliweka pembeni.
Ni zee korofi, lenye UCHU, Zee ambalo lipotayari kufanya lolote kwa ajili ya Cheo.
Kwa sasa Linatumia Nafasi yake, kumuumiza Lissu yaan...
Jana nilikuwa namsikiliza Mamba Dudu Baya akiwachana waliokuwa mabeberu wa mziki wa Bongo Fleva. Alitaja orodha lakini akasema kuna mmoja alimtoa mpaka mkewe kafara ili apate ubunge.
Ni nani huyu wakuu
Kabla ya Uchaguzi Mkuu wote ni mashuhuda wa mitifuano ya kisiasa iliyotokea kwenye Vyama vya Siasa hasa Vyama hivi
Chadema
CCM
ACT Wazalendo
Chaumma
Uchaguzi umeisha na kila mmoja amevuna alichopanda ata ambaye hakupanda kitu yawezekana kipo alichokivuna
Lengo la Uzi huu ni maajabu ya kundi...
Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji.
Hatua hii itajenga uongozi bora wa kisheria na kuwepo kwa uwajibikaji mzuri na kuhakikisha usalama wa rasilimali za nchi, vinginevyo mtaona mambo...
Siku chache baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini, Thomas Masorwa, kwa tuhuma za rushwa zinazohusiana na madai ya kushawishi wapiga kura kumpigia Victor Mhagama wakati wa mchakato wa kura za maoni, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemuita na...
Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja
Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
Nimeona taarifa ya tozo ya HIV katika ununuzi wa magari, sijui hii tozo kama ilipitishwa na linaloitwa bunge la JMT au hata kama ilipitishwa sijui ni lini kwa sababu nimeacha kabisa kufuatilia mambo ya bunge tangu mwaka 2021 Hata hivyo pamoja na kutawaliwa na watu waliojipachika wenyewe...
Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu!
Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa hat ubunge wa mchongo!
This CCM hapana
Rest in Heaven ndugu zetu,Damu zenu zikalie masikioni mwa Mwenyezi Mungu.
Kama taifa tulishakosea kitambo sana, kuna mambo yalianza Kama utani ila kwa sasa ndo tunavuna matendo yake na litakuchukua muda kwisha mpaka waje viongozi wenye uchungu na nchi hii.
Kitendo cha kuanza kuwapa watu cheo...
Miongoni mwa mawaziri wote wa Baraza la Mawaziri la 2020-2025, Jerry William Silaa peke yake ndiye waziri aliyeanguka ubunge hivyo kupoteza sifa ya kuteueliwa kuwa waziri tena kwenye baraza lijalo.
Jerry Silaa aligombea ubunge 2025-2030 kwenye Jimbo la Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam kupitia...
Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie.
Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana.
Au nafsi zinawasuta?
Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka?
Uzzuri hakuna Mbunge wa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ameahidi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta za afya, elimu, na miundombinu ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Akizungumza katika kampeni zake, Tausi amesisitiza kuwa atahakikisha wananchi wengi wanapata...
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanga na Naibu Waziri, Ofisi ya waziri Mkuu (Kazi, Vijana na watu wenye ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amesema ndani ya miaka minne ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita mapinduzi makubwa yamefanyika kwenye uwezeshaji wananchi...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
Ile standi ya daladala naona mmekuja kumwaga michanga miaka mitano ijayo muache kumwanga miachanga muweke stendi ya kueleweka maana mnapokea kodi za wananchi.
=====================
Mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Geofrey Timoth, ameahidi kuimarisha maendeleo...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Seif Abalhassan, ameahidi kurejesha heshima ya Jiji la Tanga endapo wananchi watampa ridhaa kwenye uchaguzi ujao.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe...
Mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Enock Koola akiwa anaendelea na kampeni katika kata mbalimbali za jimbo hilo amewahaidi wananchi wa jimbo hilo kutatua kero ya maji inayo wakabili wananchi hao Aidha amewaomba wananchi wote wa Vunjo kujitokeza kwa wingi...