KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 3,867
- 4,495
Wakuu mimi ni Yanga kindakindaki na hakuna ambae hajui humu.Huwa naumia sana timu ndogo inapokandamizwa pindi zikutanapo na either Yanga yangu au Simba (Mbembwaji mkuu).Tangu msimu uliopita haya madudu ya marefa yalikuwepo na sasa yanaendelea (yaan karia anasema kazi iendelee).Yafuatayo ni maswali ninayojiuliza sipati majibu;
1.Serikali haioneni haya madudu?
2.Takukuru hawaoni haya madudu?
3.Tff hawaoni aibu kwa mambo ambayo yamekuwa yakiendelea kwenye Soka?
4.Bodi ya ligi wakiamka asubuhi kwenda kazini wanafanya nini huko maofsini kama wanashindwa kusimamia ubora wa marefariii??
5.Waziri wa michezo haoneni yanayoendelea kwenye mpira wetu?
Basi tuseme wote hapo juu wamejisahau,Na Raisi nae haoni upuuzi huu?
Tanzania mpira unadidimizwa kizembe na wenye mamlaka