ubovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara na kukosa daraja Mto Mpiji kati ya Kibamba kibwegere na Lumumba kwa mazengo

    Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti. Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda kufanya shuguli zao za kiuchumi..Ni bara bara yenye asili ya tope tupu la mfinyazi iwapo mvua...
  2. JamiiForums Tanzania NAUNUA LAPTOP ZILIZO NA UBOVU. 0767953873

    Kama una Laptop au Desktop mbovu lete nikupe pesa bei maelewano nipo ilala - dsm 0767953873
  3. JamiiForums Tanzania Al masry hawakufungwa kisa kukosa ubora bali ubovu wa pitch, CAF ichukue hatua zaidi

    Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbarali: Barabara ya Igawa kuelekea Ubaruku ni finyu, mbovu, ina mashimo yanayopelekea uharibifu wa vyombo vya usafiri

    Wilaya ya Mbarali inasikitisha kuona barabara ina zaidi ya miezi nane hadi kumi, ikiwa imewekwa vifusi na havijasambazwa kwa kipindi cha muda mrefu. Ni kama imetelekezwa pasipo kuendelezwa ujenzi wake hivyo kupelekea usumbufu kwa watumiaji wa njia hiyo, ikiwa ndio njia kuu kutoka Igawa kuelekea...
  5. JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Ubovu wa Miundombinu ya Chuo cha Marian University College (MARUCO) unahatarisha afya za Watu wakati wa mvua

    Kuna kero kubwa hapa chuoni kwetu Marian University College (MARUCO) kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, mazingira hayaridhishi hasa wakati wa kila kipindi cha mvua, maji yanajaa eneo kubwa hivyo kupelekea Wanachuo kukanyaga maji machafu. Jambo baya zaidi kiafya maji hayo mengi yanakuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa Barabara ya Mwandege-Mkuranga!

    Habari wanajukwaa. Leo nimekuja mbele yenu kuleta mada ihusiyo ubovu wa Barabara ya mwandege-mkuranga. Barabara hii ni muhimu kwa mikoa ya kusini kutoka Dar. Kwa kweli barabara hii imejaaa makorongo na mabonde( tunaweza hata kufugia samaki). Kadhia tunayopata wasafiri wa njia hiyo ni kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Responded Ubovu barabara Tabata Kimanga

    Kwa Yeyote Anayehusika, Ninaandika barua hii kama mkazi wa Tabata Kimanga aliyechanganyikiwa, nikilazimika kupaza sauti yangu dhidi ya hali mbaya ya barabara ya Tabata Kimanga. Kwa moyo mzito na hasira inayochemka, ninawasiliana nanyi, mamlaka ambayo imepewa jukumu la kuhakikisha ustawi na...
  8. JamiiForums Tanzania CCM ilshindwa mwaka 1995 , ikashindwa 2010 na ikashindwa 2015 , ila ubovu mkubwa wa mifumo ya uchaguzi ndo unaibeba CCM

    Kwanza hongera Kikwete mwaka 2005 ulishinda kihalali Na hongera Mkapa 2000 ulishind kihalali . Baada ya hapo CCM. Haijawahi kushinda uchguzi wowote
  9. JamiiForums Tanzania DC wa Ubungo, Lazaro Twange azungumzia uhaba wa Maji na ubovu wa Barabara Kimara, asema kuna Mkandarasi amekimbia 'site'

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Jacob Twange amewataka wataalam wanaosimamia miundombinu ya barabara kufanya kazi kwa haraka na kukamilisha kwa wakati ili wananchi wapate huduma. Mh. Twange ametoa maelekezo hayo katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua changamoto mabalimbali za wananchi ...
  10. B

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Singida: Wakazi wa Unyakumi tunateseka na ubovu wa barabara. Ahadi zimekuwa nyingi bila utekelezaji

    Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari tunaomba tusaidiwe barabara. Hali ni mbaya sana hasa msimu huu wa mvua. Watoto wanaenda shule kwa tabu maji na matope ya kutosha. Wanakwenda na School bus zinaishia mbali kwasababu ya ubovu wa barabara. Ahadi zimekuwa nyingi bila utekelezaji...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Itilima na ukimya wa ubovu wa Barabara Nanga-Migato

    Wanajamvi huyu Mkurugenzi amekuwa kimya kwa ubovu wa Barabara Nanga-Migato haswa haswa eneo la darajani karibu na kanisa la Roma, eneo hili limekuwa kikwazo kikubwa sana kwetu wafanyabiashara tunaosafirisha Mizigo na mazao gari inaweza kukwama hata kwa siku 2, ajabu ni kuwa Mkurugenzi mbali na...
  12. JamiiForums Tanzania Ubovu wa kitengo cha huduma kwa wateja MWALIMU COMMERCIAL BANK.

    Napenda kutoa malalamiko yangu kwa bank ya MCB.Hii bank kitengo chao cha huduma kwa wateja hakina msaada wowote kwa sababu baadhi ya namba hazipatikani na namba inayopatikana simu haipokelewi.Ni muda wa wiki moja sasa kila nikijaribu kuwapigia simu haipokelewi kwa zaidi ya saa moja.Hata...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara ya kigamboni/ferry - cheka: Mkurugenzi wa Manispaa, Meneja TARURA/TANROADS mna mpango gani kuelekea msimu wa mvua?

    Napenda kuwasilisha malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara ya Kigamboni/Ferry - Cheka kuhusu hali mbaya ya barabara hii, hususan vipande kadhaa ambavyo lami imekwanguliwa kwa lengo la kufanyiwa marekebisho lakini hadi sasa kazi hiyo haijakamilika. Tunaelekea katika msimu wa mvua za masika...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  15. JamiiForums Tanzania Nani aliwafundisha wanywaji bia kupima ubovu wa bia kwa kuangalia povu?

    Wanywa bia huu ushamba wa kumwaga bia chini ili kuangalia povu kisha kusema bia imeharibika au nzima nani aliwadanganya? Huwa nawaona mnavyobishana na wahudumu kuhusu bia kama ni nzima kwa kumwaga na kuangalia povu natamani walinzi wawapige tanganyika jeki na kuwatupa nje.
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubovu wa Katiba kumuondoa madarakani naibu wa Rais Kenya

    Ni baada ya kuonekana akimuhujumu Rais, akihubiri na kuchochea chuki na migawanyiko ya kisiasa yenye mirengo kikabila na upendeleo wa watu wa kabila na eneo lake la Milima Kenya. Naibu wa Rais amekiuka sheria na misingi ya kikatiba ya Kenya ya kua nembo ya umoja wa Taifa na kiunganishi cha...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa Barabara Masaki eneo la Fitness na Lake Oil

    Kuna shimo barabarani kwenda Masaki eneo la fitness na lake oil na mbele yake kuna tuta. Inakuwa changamoto kwa watumiaji wa barabara hii hasa magari yakikutana kupishana ni changamoto.
  18. JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara Wilaya ya Temeke; Barabara kutoka Kituo cha Polisi Chang'ombe hadi Buza ina mashimo 46!

    Nisikuchoshe usinichoshe..! Wasalaam. Mimi ni mkazi wa maeneo ya Buza ambaye katika harakati zangu kila siku usafiri wangu ni daladala kutoka Buza kwenda mjini kujitafutia mkate wa kila siku Kero zetu kubwa huku ni usafiri na inayotunyemelea ni ya barabara kuharibika pasipo marekebisho tangu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike Kumaliza tatizo la maji na ubovu wa miundombinu hasa ya Barabara vijijini na mijini kuelekea Tanzania tuitakayo

    Kwa miaka mingi hadi Sasa Tanzania imeendelea kukabiliwa na changamoto katika utoaji huduma ya maji Kwa wananchi pamoja na ubovu wa miundo mbinu hasa ya Barabara nchini. Changamoto katika maswala haya zimechangia Kwa namna Moja ama nyingine kufifisha Kasi ya uzalisha Kwa ghrama nafuu, kufeli Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Kosa Litakaloliangamiza Taifa Miaka Mitano ijayo

    Mashuhuda wa ajali wanasema kwamba, eneo ajali ilipotokea ni hatari na huenda kukawa na jini ambaye anasababisha ajali zitokee mara kwa mara. Wanadai kwamba, inawezekana jini huyo ndio sababu ya kutokea kwa ajali hii kubwa na hatari, ajari iliyoondoa roho za watu 65 huku watoto chini ya miaka 18...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…