ubora

The Ubora Towers is a complex of two towers in the Business Bay district of Dubai, United Arab Emirates. The development consists of the Ubora Commercial Tower and the Ubora Residential Tower. Construction of the Ubora Towers was completed in 2011. It was sold by to Senyar Real Estate in Mid 2018
The Ubora Commercial Tower, also known as the Ubora Tower 1, is a 58-story building. It has a total architectural height of 263 metres (862 ft). The Ubora Residential Tower, or Ubora Tower 2, is a 20-floor structure. The commercial skyscraper was topped out in 2011. The complex was designed by the architectural firm Aedas, with lighting design by AWA Lighting Designers, and is currently managed by Jones Lang Lasalle.
There is a public transport bus stop on both sides of the road named as U bora Tower which is where people working in nearby towers use to board and get down. All the buses crossing this tower expect bus number 50 leads to the nearest Metro Station which is Business Bay Metro Station.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Website nzuri ya kuverify ubora wa magari used japan kwa kutumia chassis au vin number

    Habari wanaJF kwa mwenye uzoefu aliyewahi verify ubora wa gari used japan wakati anaagiza kwa kutumia chassis au vin number naomba anijuze website aliyotumia. Najua Chatgpt inaweza toa majibu kwa kiasi fulani but napenda nipate uzoefu direct wa mwanaJF maana naamini kuna mengi ya kunisaidia...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
  3. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ligi Kuu-Bara izingatie ubora miundombinu ya viwanja vinavyotumika kuchezewa mechi usiku, vingi havina ubora

    Nimefuatilia mechi kadhaa hasa msimu huu2025/26 na msimu uliopita wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara, kumekuwa na ongezeko la mechi zinazochezwa usiku ili kuruhusu urushaji wa moja kwa moja kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na wadhamini na watangazaji. Lengo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Teknolojia za Uundaji wa Programu: Native vs. HTML, CSS, na JavaScript ni ipi ni rahisi na ina ubora zaidi

    Native ni nini ? "Native" inamaanisha kwamba programu imeundwa kwa ajili ya kufanya kazi kwenye mfumo maalum wa uendeshaji wa kifaa, kama vile Android au iOS, na hutumia lugha na zana za maendeleo za asili za mifumo hiyo. HTML, css, js ni nini ? HTML, CSS, na JavaScript ni teknolojia za...
  5. JamiiForums Tanzania Ubora wa Chid Benz na Ngwear katika wimbo unaitwa “Wakati ndio Huu”

    CHID BENZ FT. NGWEA - WAKATI NDIO HUU VERSE.. 1. "CHID BENZ" Vidole vyangu kwenye mic 🎤 Sauti ndani ya Beat / Niko mbele ya Umati wenye wengi mashabiki/ Me na Amini nimezaliwa kushinda Nimezaliwa jasiri hata Simba nitamwinda / Wengine udhani ya kama naimba Uongo/ Kisa navyo flow Eti...
  6. JamiiForums Tanzania Ubora wa mawasiliano nchini umeshuka sana, TCRA fanyeni kazi yenu

    Nimepitia ripoti ya robo ya pili ya mwaka ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania nimeona TCRA wametujulisha kuhusu kushuka kwa ubora wa mawasiliano ya simu nchini lakini hawajasema wanafanya nini baada ya mawasiliano hayo ubora wake kushuka. Ripoti imekaa vizuri sana na hawajataka kuficha kitu...
  7. JamiiForums Tanzania Kipima ubora wa Maji (TDS Meter): Je, Maji unayokunywa ni safi? Linda afya yako na familia yako kwa kipima TDS

    💧 TANGAZO LA KIPIMA UBORA WA MAJI (TDS METER) 💧 Je, unajua ubora wa maji unayokunywa kila siku? Linda afya yako na familia yako kwa Kipima TDS cha maji! ✅ Hupima haraka kiwango cha uchafu kwenye maji ✅ Sahihi na rahisi kutumia ✅ Kidogo na rahisi kubeba popote ✅ Kinafaa kwa maji ya kunywa...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo yanayoharibu ubora wa Sperm

    KWA WANANDOA PEKEE | NA WANAOTARAJIA WATOTO Ukiachana na Zile Sarakasi | Mibinjuko ya 6 kwa 6 na Vilio vya Mahaba kutoka kwa Ma Mtu Kikubwa Zaidi KinachoFanya Mwanamke Apate Ujauzito au Mimba ni BAO | SHAHAWA | MSHINDO Mimba hutokea pale shahawa (mbegu za mwanaume) zenye ubora zinapokutana na...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli chokaa inachangia ubora na ufanisi wa mbolea katika kilimo cha ndizi?

    Nilikiwa kwenye Mkoa wa Kagera ambapo kuna mwenendo unaoongezeka wa wakulima wa ndizi kutumia chokaa katika mashamba yao. Wakulima hao wanadai kuwa matumizi ya chokaa husaidia migomba kustawi vizuri na kupunguza au kuzuia mashambulizi ya baadhi ya wadudu wanaosababisha kudhoofika au kuharibika...
  10. JamiiForums Tanzania Jipatie miche ya matunda na mbogamboga - gharama nafuu, ubora wa juu

    Wakulima na wapenda bustani, kama ulikuwa unasubiri nafasi ya kuanza kilimo kwa gharama ndogo na faida ya haraka, hii ndiyo fursa yako. Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na inayofaa kwa maeneo mengi ya Tanzania. 🍊 Miche ya Matunda (Kuanzia TSh 2,500 tu!) Aina zinazopatikana...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GUTA

    Jamani naomba kuuliza wenye uzoefu kuhusu guta aina ya KEVLA. Naomba kujua kuhusu ubora wake wakuu
  12. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu ubora wa tv za goodvision upoje

    Habari, kama kichwa cha habari kinavojieleza nilikua naomba kujua kuhusu ubora wa hizi tv za goodvison, kwa mwenye uzoefu nazo.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Elite Home Tuition Services – Tanzania Nzima, Karibu tukuhudumie kwa ubora wa hali ya juu

    Tunafundisha wanafunzi wa ngazi zote (mitaala yote) popote ulipo Tanzania. Tuna walimu wenye uzoefu, waaminifu, na wanaojali maendeleo ya mwanafunzi. ✔ Masomo ya sayansi na arts ✔ Mitihani ya NECTA, Cambridge, na IB ✔ Pia tunatoa huduma za tuition kwa watoto wenye uelewa mdogo Wasiliana...
  14. JamiiForums Tanzania AZAM TV, ubora na gharama zenu haviendani

    azamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni janja njaja. Pia kwenye mpira kuna tatizo la kamera zenu hazionyeshi matukio kila kona hasa offside...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kitu kilichopita kwa fundi kinapoteza ubora?

    Ni kifaa Gani ambacho unaamini kikipita kwa fundi kinakuwa kimeshuka ufanisi? Watanzania wengi wanaamini kitu kikishafunguliwa tu basi kinakuwa sio Bora je ni wapo sahihi?
  16. JamiiForums Tanzania Je, Kamera ya Simu inaweza kuizidi Kamera ya kawaida kwenye ubora wa Picha?

    Habari wakuu, Kuna uwezekano Picha zinazopigwa na Smartphone hizi za kisasa zikaizidi kiwango kamera ya kawaida? (Sio professional camera) Nimeuliza kwa sababu simu hasa hizi High end zinakuja na maboresho sana upande wa Kamera huku zikiongezwa lenzi,zooming na Megapixels na idadi ya camera...
  17. S

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: 62% ya Utajiri wa nchi tajiri duniani haujaletwa na Maliasili walizonazo ila ubora wa Rasilimali watu walionao ampongeza Rais Samia

    Na Mwandishi Wetu, Katika kongamano maalum kuhusu hali ya uchumi na mwelekeo wa Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Bw. David Zacharia Kafulila, mchambuzi wa masuala ya Sera na uchumi ambae pia ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC...
  18. JamiiForums Tanzania Fadlu Davis; Yanga wana ubora kwenye match kubwa kuliko sisi

    "Niwe tu muwazi bado Nahitaji Mchezaji mmoja mwenye X Factor kwenye eneo la ushambuluaji, najua tumepata sapoti kubwa Sana kutoka kwa Rais Mo Dewji na mchango wake Msimu huu umekuwa mkubwa Sana" "Natumai sasa tunapoelekea mwishoni mwa usajili Jayrutty anaweza kutusaidia kumpata Mchezaji huyo...
  19. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya Demokrasia ni mgawanyo wa madaraka kwa zamu, bila kujali ubora wa kiongozi

    Kumekuwa na kauli za "Hata hao wapinzani na wao wanapigania matumbo Yao, utasikia mtu anasema hata huyo LISSU anajipambania yeye na familia yake" Ni ukweli kwamba hata tukiwapa nchi chadema wataila wanavyotaka, lakini ndio demokrasia inavyotaka. Lengo la Demokrasia ni kuua tawala za kifalme na...
  20. JamiiForums Tanzania Asharose hana ubora kwenye uongozi ila connection na Kikwete ndio inambeba

    Kuna wasomi wanawake Kikwete amewabeba awamu yake ya urais kutokana na harakati zake alipokua kiongozi wa wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mtu kama Asharose anajua sana kingereza, ni msomi mzuri wa sheria lakini misimamo gani ya kisiasa anayo inatia mashaka. Kwa mimi ninayeamini katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…